Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu. Moja kwa moja kweny point. Madam Donatila ameanzisha uzi leo ambao unasema; Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi Bac mm kwa sababu nilikuwa nina mawazo ambayo yako tofauti...
6 Reactions
14 Replies
893 Views
Mpendwa: Money Penny, Mimi nipo na Mpenzi wangu, anasema ameokoka na tunasali, tunaomba, tunafunga, kanisani anakuja fresh Tu, Money Penny: Hongera Mpendwa: hakuna cha hongera ndio maana nipo...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Kwa sasa nipo mkoani Tanga maeneo ya Muheza. Mimi ni mzaliwa wa jiji la Mwanza ingawa sijakulia huko Hapa Tanga ni pazuri kwa kweli kutokana na ukarimu walionao watu wa huku hususan wazee (Kwenye...
13 Reactions
85 Replies
6K Views
Boss la DP World leo nikaenda saloon kujiandaa kwaajili ya kuhudhuria kwenye hafla moja ya heshima sana. Baada ya kumaliza kupunguza nywele nikaelekezwa kwenye chumba kwa madai ya kwenda kuosha...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa salaamu pendwa,ya kitaifaaa. Kazi iendeleee. Endelea na kazi ya kukitafuta hicho kitu kwa mchepuko, lakini kumbuka Kuna mtu KAKIONA kwa mkeo. Na tukumbushane tu kuwa, ukisema cha...
3 Reactions
6 Replies
373 Views
Wakuu poleni na miangaiko ya apa na pale siku tatu zilizopita namaanisha alhamisi Kuna mwanamke mmoja hivi Ambae tuna muda mrefu sana katika kujuana kila nikimtongoza Kona Kona nyingi Sana, so...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo. Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima...
29 Reactions
488 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu. Kwa maisha ya sasa kama utaamua kuoa ili upendwe na Mke basi unajidanganya, maana wanawake wengi wasio na Bikra washaumizwa na watu waliowapenda kabla yako na hawamuamini...
13 Reactions
32 Replies
1K Views
Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa Mpaka naanza waza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah. Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa...
15 Reactions
70 Replies
9K Views
Habari. Kwa asilimia kubwa wanawake ndio wanaongozwa kwa kudanganywa na watu wengi sana katika mitandao ya kijamii. Kwa utafiti wangu mdogo nitawataja makundi au watu wachache waliobahatika...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa nini sisi wanaume tukifumania ndio mwisho, labda wapo wanaoendeleza ila mimi nikifumania ndio mwisho wa safari yetu, ila wanauke wanakuwa ving'ang'anizi? Kwa nini?
4 Reactions
17 Replies
687 Views
Happy weekend wapenzi [emoji849] Niende kwa mada. Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini maisha ya sasa yamekuwa magumu sana.[emoji6] Jamani wapenzi wangu wa jf kitu gani kifanyike tuweze kupata dawa...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Tukiachana na pale kati sehemu nyingine muhimu katika mwili wa mwanamke ni kifuani aisee kama na wewe ni titi lover basi you already know what I'm talking about. Kuna vitu havihitaji kufanya...
20 Reactions
107 Replies
5K Views
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida. Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku...
88 Reactions
600 Replies
38K Views
Wanaume wengi sana hua tunadanganywa na wenza wetu kua tumewaridhisha vya kutosha lakini ukweli hua hakuna kitu Hua wanafanya kwa nia njema tu kwani wanaume hua tunajiskia amani sana kuambiwa...
26 Reactions
404 Replies
146K Views
Habari zenu wakuu. Kwenye maisha ni vyema tukakubaliana kuwa sio kila binadamu ana moyo wa kukubali kuwa a second Option. Kwa Dunia ya leo Wanawake wengi wanaolewa na watu ambao hawakupanga wawe...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Mamboz wanakaya. Ebu tuongee tunaenda kumaliza kaweekend kazuri sana. Leo tupige story za weekend. Nauliza kaswali kakiuzushi. Niambie,kitu gani unaenjoy katika ulimwengu wa kimapenzi au...
2 Reactions
8 Replies
459 Views
Morning all guys humu ndani. Nafsi yangu mie inaumia moyo wangu unatoa machozi kama nitapata nafasi ya kulipiza kisasi katika maisha yangu basi sitasita kufanya katika watu wengi washuhudie. A...
10 Reactions
157 Replies
6K Views
Mm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa. Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom