Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia
"Sawa basi nimekosa"
"Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse.
Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea...
hello[emoji7]
Urgent
Nahitaji ushauri seriously naombeni sana wenye hekima tu ndo mnishauri nimechanganyikiwa mie
Jana baada ya kutangaza ofa wanaume waje kwa pm yangu ,nashukuru sana walikuja...
Aiseee Morning Glory wanandoaa!
Basi bwana week yote hii uku kwetu Mbeya Vijijini nimetembelewa na Mama yenu mdogo wengine Bibi yenu wengine Shemeji yenu na wengine wifi yenu na Wengine...
Mambozz wakubwa na wadogo.
Ebu niwape ka umbea fulani ila naomba msinichambe jamani wala msiniulize maswali mengi nasema kwa mtazamo wangu binafsi Mimi MZURI SANA.
mwanamke yoyote mwenye miaka...
Wakuu napitia kipindi kigumu sana.
Baada ya mzazi kugeuka mtetezi wa wanangu.
Shemeji yenu amekua akiweka hand bag yake kwenye chumba cha mabinti wa kazi.
Nahisi mwanzo wa jambo la hatari...
Salam sana wana Jf na wasio fungamana na upande wowote kwa imani zenu tofauti tofauti.
Ndugu na waandikia , katika pilika pilika zangu za kimaisha kwenye ulimwengu wa mahusiano na uchumba sugu...
Kwa muonekano wa nje ni msichana mzuri sana mwenye kila sifa ya urembo, msafi anajua kuongea mpaka unamtamani awe zaidi ya rafiki mpenzi na kadhalika blah blah.
Nimeamua niseme manake nimekaa...
Hizi ndio aina za wadada ambazo ni ngumu sana kuolewa, huwa wanachezewa tu na wahuni ,kisha wahuni wanaenda kuoa chombo safi mikoani.
Na wengi wao ni single mothers. Na ukiwaoa jua umeyakanyaga...
Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31...
Nimegundua mapenzi yana mapana yake na ukizama kwa kina utagundua kila mtu ana namna yake yakufurahia mapenzi, Mimi sio mjuzi sana kwenye secta yamahaba nachojua zaidi ni majukumu yangu kama baba...
Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana.
Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu.
Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi...
Ni muda gani kwenye mahusiano inakuchukua kuonesha tabia yako halisi kwenye uhusiano Au ile ku act and be yourself mfano, kutoa gesi tumboni, kula chakula uanchokipenda hadi kulamba sahani...
Ndugu nimejaribu mara kadhaa kutaka kununua dada poa ila kila nikisogea buchani kununua nyama najikuta nimeghairi.
Sijui ni hofu au ni nini ila ghafla nasahau kabisa nilichokusudia kununua, ndugu...
Ujue ukitaka kupata kilicho bora ebu waza kinyumenyume na walimwengu baadae utanishukuru!
Leo fundi SAMICO Baada ya kumaliza project kwa amani na mteja wangu niliamua kwenda bar kutafakari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.