Wanawake wamekuwa wakiringa na kujitutumua wakizania wao ndiyo wenye kumiliki utamu jambo ambalo siyo kweli kabisa.
Wanawake endeleeni kujidanganyeni, mtabinua matrako, kuvaa nusu uchi ili...
Wapenzi.
Mwaka unaisha huu nimeamua kuacha kujiuhusisha na mambo ya mahusiano.
Nifanye kilimo hasa mkoa wa Moro.
Faida umekuwa ndogo zaidi ya hasara.
Hasara nazokutana nazo.
Sijapata Mwanaume...
Kaka mmoja akanifata Inbox yangu Kule Instagram na kiukweli nilivyomuona alikuwa kijana shababi, alikuwa na six pack(kama mziitavyo), alikuwa mrefu mweusi.
Aliponitumia picha zake nikaziona...
Habari zenu ndugu wana JF,
Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.
Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka...
Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna.
Ikiwepo siku moja,mbili.
Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani...
Assalaam,
Ni hivi kuna mmama wa mwendo kasi hapa jirani,
Huyu mama kahamia hapa kasema ana watoto watatu na kiila mtoto na baba yake,
Akapata ka kijana akamuoa kwa ndoa na kazaa mtoto mmoja...
Habari wana JF , Nakumbuka siku mmoja nilienda Bank pale UDSM sasa nikawa najaza jaza zile fomu zao za kuweka pesa. ,nilienda si kwamba ni mwanafunzi wa pale sema tu ni tawi lililo karibu , Sasa...
Msije mkasema sikuwaambia mabinti na wanawake ni hivi. Mwanaume yeyote ambaye ameota nywele kwenye matundu ya masikio yake ujue moja kwa moja anakiwango kikubwa sana cha hormone za kiume inayo...
Wakuu Salaam?
Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi.
Njia niliyoitumia ni baada ya...
Kama ushawahi pata msala wa kudate na mwanafunzi aisee ule motoo sio wa kawaidaa...nakumbuka Ilinitoka kama 700k hivi[emoji24][emoji24][emoji24] sasa usiombe uwe umempa na kitumbo duuh miaka 30...
Wakuu Jana bana wakati napata kifungua kinywa,mpenzi wangu akanicheki kunijulia hali.
Bhasi bana baada ya salamu akanipiga mzinga Tena...eti ananiomba hela akasuke...nikamwambia embu subiri...
JE, HUU NI UUNGWANA?
Mama wa rafiki alikuja na picha ya frem ili aiweke sebuleni, kwenye picha yupo yeye, rafiki yake mwengine na ex wake.
mke wake alipofika nyumbani aliitoa hio picha, mama...
Ndugu zangu wanaume,
Kwa kweli ile kitu ya hawa wenzetu ni tamu sana na wakati mwingine wakiinama ukazoom kwa nyuma unaona kabisa hapa kitu ilivyo meta meta na mashamvu dede.
Ndugu zangu nakuja...
Ndugu wana Jf salaam
Ndugu zangu kiukweli nime choshwa na hii tabia ya huyu mwanamke wangu na nime muonya sana na kumkwepa kijanja lakini bado hasikii kabisa.
Ndugu huyu mwanamke kila ninapotoka...
Dah leo nimegundua kukataliwa inauma sana😐, iwe hadharani au hata huko pm😪.
Nikaona sio vibaya tukija na operation ponya Moyo, we tema cheche ili utoe sumu.
Habari za Muda Huu Waungwana,
Samahani kama nItakuwa nakosea kuwasilisha hii Mada lakini naombenii ushauri kwenye hili, Juzi Kati nilikamata mdada mmoja kutoka Bar fulani Maeneo ya Ubungo, Sasa...
Habari wadau.
Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao.
Baada ya kuitazama hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.