Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi. Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari. Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao. Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni...
20 Reactions
100 Replies
7K Views
Habari wanajamvi Swali langu la leo katika tafakuri, Je ni kitu gani uliwahi kuhonga(kwa wanaume) au kuhongwa (kwa wanawake) ukiwa na miaka chini ya 25? Burudika weekend na hicho kibonzo juu...
1 Reactions
8 Replies
633 Views
Wakuu kwema Kuna mdada kazini tulikuwa vi tukonae vizuri mwanzo From no where akaanza kunichukia bila sababu,chuki imekuwa kubwa mpaka anisalimii Nashindwa kumuelewa wakati mimi ni mkuu wake wa...
7 Reactions
77 Replies
4K Views
1 ILIKUWA ghafla, kama pigo la kisu ambalo lilipenya mwilini na kuujeruhi moyo wa Inspekta Kombora. Kati ya yote aliyoyatarajia jioni ya leo, simu kama hiyo, ya maafa, haikuwamo kabisa akilini...
13 Reactions
238 Replies
92K Views
Wasalaam Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu...
25 Reactions
134 Replies
9K Views
Mapenzi yanapoanza yanakua matamu kama asali ila mkishachokana yanakua machungu kama shubiri mwishowe mnaachana Katika kuachana kuna sababu mbalimbali huwa zinatolewa na wapenzi wetu ambazo...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za Leo Wana MMU? Nakusihi jumapili ya Leo kama Mwenyezi Mungu amekubariki basi, umguse mwenye uhitaji Alie karibu yako. Wapo wengine tunao wafaham pia wanapitia changamoto za kimaisha...
2 Reactions
8 Replies
593 Views
Wasalaam wana wa Mungu, Kosa au dhambi unayoichukia kwa mwingine basi nawe usifanye kwa maana machukizo mbele ya Mungu ni yale yale. Wanadamu sisi sote tu wana wa Mungu na makosa yote...
0 Reactions
5 Replies
389 Views
Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?
20 Reactions
173 Replies
7K Views
Wakuu mmebarikiwa sana. Juzi mke wangu amefanya tukio lililonishangaza kwani hajawaifanya alichokifanya muda wote nilioishi naye. Tunaishi kwenye nyumba ya kupanga ndan ya geti tupo wapangaji...
15 Reactions
64 Replies
6K Views
Habari wanajamii, Katika mazingira ya sasa ya malezi na makuzi huwa najiuliza sana hivi ni nani anapitia changamoto nyingi kati ya msichana na mvulana hasa wanapofika kipindi cha kubalehe hadi...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Ogopa sana aina ya wanawake ambao kutwa kucha wanaendekeza makundi ya ki rafiki wao wanaitana mashosti hawa wanawake ni hatari sana katika afya ya ndoa na huwa hawana adabu kwa waume zao...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwamba utapata kuona rangi halisi za watu wanaosema wanajali kuhusu wewe. Angalia ni nani anayeshikamana nawe na ninani asiyekupenda, na kuwashukuru wale wanaokuacha na kukutenga, kwa kuwa...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Nawapenda tena nawapenda sana. Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu! Sasa naomba nianze na mada yangu...
10 Reactions
203 Replies
6K Views
Habari wakuu, Katika pitapita zangu vijiweni nikaskia stories kuwa kuna uchawi wa ulinzi ambao kuna baadhi ya wanawake wanawekewa ili wasichakatwe na ikitokea ukamchakata umejila unaweza kumbwa...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Wapenzi za weekend. Mapenzi yamekufanyia nini hadi leo unajivunia. Mie yamenipa HELA.
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Ulifanya au ulichukua hatua ipi yule umpendae aliposema SIKUTAKI. ukizingatia una sifa zote Hakuna kitu ulichokosa kama mwanamke. Na una mpenda sana. Ulifanya maamuzi yapi?
1 Reactions
3 Replies
571 Views
Eti wakuu wa jamii forum,je? hi ni sahihi kweli?ama Hamna mwanamke hapa ananichuna tu. Iko hivi wiki iliopita niliomba namba kwa demu huyu ambae nilikuwa namuonaga Sana eneo anakofanyia kazi...ni...
39 Reactions
197 Replies
10K Views
Back
Top Bottom