Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni hata mjikute warembo vipi, mna pesa kiasi gani lakini ndoa ni jambo mnalolihitaji tu. Ehee, haya tupe plan yako B endapo mabaharia tumeamua kukususa?
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki. Nimekutana na kitu...
32 Reactions
1K Replies
193K Views
Jumatatu iliyo nzuri. Binafsi si date na mtu mwenye hulka za makundi makundi au mashosti. Nishapiga wengi sana chini as I realised ni watu wa makundi makundi! Mwanamke organized hawezi kuwa na...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here. Kabla...
47 Reactions
84 Replies
6K Views
Wakuu Nimetafakari sana , wanawake wana danga sana kutokana na sisi wanaume na wavulana kuhonga honga hovyo wanawake, unakuta kijana anapigika anapata kakipato kiduchu kama posho ya kibarua kwa...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Lengo moja kuu la kuoa/kuolewa ni kukulinda wewe mwanandoa na Magonjwa kwenye maisha yako. Unapokuwa kwenye ndoa kula kavu ni suala la kawaida na ni jambo la msingi katika...
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Hi guys, Hope mko na weekend poa...!! Naomba niulize hili swali hasa kwa wababa wenye wako na watoto wa kike..!! Nina rafiki yangu mmoja mrembo, niliwahi fanya naye kazi pahala flani miaka flani...
15 Reactions
299 Replies
20K Views
Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
21 Reactions
160 Replies
7K Views
There's this girl, she's not my girlfriend but she holds a special place in my heart. It's both thrilling and terrifying to admit that she has captured my thoughts and emotions in a way no one...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana. Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure. Na sitaki mtoto wangu...
33 Reactions
212 Replies
10K Views
Dear babe, Nothing scares the shit out of me like the thought of 'what we have was never meant to be', been craving, dreaming and fighting for whatever little thing left in us but the naked truth...
42 Reactions
568 Replies
36K Views
TGIF, Hi guys Naomba niulize wanaume swali ambalo laweza kuwa la kijinga ila kwetu sisi wanawake lina mantiki kubwa sana. Hii hasa ni kwa wale baadhi ya wanaume ambao wapo tayari kwenye Ndoa na...
18 Reactions
271 Replies
14K Views
Ndugu zangu salaam, Katika maisha yetu wanaume hakuna dhambi mbaya sana kama kuhonga hela zako mwanamke ni vile tuu hatujui au tunakaza mafuvu kutokana na kutumia akili za genye Kuhonga...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Yaani kama mtoto amezaliwa bila mama kufanya hivyo vitu anakuwa na akili lakini kama mama yake angefanya hivyo wakati wa uja uzito basi uwezo wa mtoto huyo kiakili ungekuwa mara mbili ama mara...
2 Reactions
6 Replies
599 Views
Aloo nikimpata mdada mwenye shape kama hii hata million 2 kama ninayo natoa, sio kwa mzigo huu, eti wazee mzabzab mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania
8 Reactions
90 Replies
10K Views
Kaka yenu shetani kabla sijaoa nikajilipua kwa binti mmoja alikuwa anapenda sana ngono ,basi ile tabia yake ukianza naye siku hiyo mpaka kesho yake. Nikawa na choka ikabidi nimfanyie ukatili...
9 Reactions
38 Replies
8K Views
Guys , ni muhimu sana tukajua mustakabali wa kizazi chetu. Tumeona Vijana wengi sana wakiingia kwenye wimbi la kutumia madawa ya kuongeza size ya uume ikiaminika kwamba ni kitu ambacho mwanamke...
19 Reactions
111 Replies
33K Views
Wanawake hata wakiwa wacha Mungu namna gani wanashindwa kukubali rukhsa moja iliyotolewa na Allah aliyetukuka, nayo ni mume kuoa mke wa pili. Allah Aliyetukuka kwa hekma yake ametoa ruhusa hii...
9 Reactions
65 Replies
4K Views
Habarini za wakati huu wandugu. Naomba niende kwenye mada kama jinsi kichwa kinavyosomeka. Binafsi nimewahi kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti na binadamu tuna mapungufu yetu...
35 Reactions
432 Replies
39K Views
Back
Top Bottom