Nilikuwa nahitaji mahali pakujisitiri sio kula na kukaa mahali but ni kazi tu ili nisitegemee madanga so huyu mtu alidai atanisitiri mwanzoni ilikuwa mwezi wa sita akadai anaumwa kapata shida...
Wakuu habari za wakati huu,
Natumai hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa.
Wakuu kuna hali naona kama inataka kunizoea aisee namie mazoea sipendi...!! Hiii hali ya ku-date na...
Tangu nizaliwe hapa duniani ni wanawake wawili tu ndio wameweza kuniridhisha kwenye tendo la ndoa, pamoja na umri wangu huu wa miaka sabini.
Mi huwa ni mdhaifu sana kwa walimbwende wenye sura ya...
Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa.
Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali.
Huo...
Jumanne njema.
Kipi bora? Kulia juu ya Range au juu ya baiskeli? Mapenzi ni kizungumkuti, na katika kizungumkuti hiki kuna usumbufu mwingi mno. Sasa si ni bora nisumbuliwe na mke tajiri kutoka...
Ndugu zangu.
Kwa masikitiko makubwa natarajia kuanza rasmi kununua dada poa na yote haya nikutokana na zoezi langu la kupata mke kuniwia vigumu sana kwani hakuna mwanamke ninayekutana naye nakuwa...
1. Kuwa na kifua kipana cha kutunza SIRI za mambo yanayomuhusu na yasiyomuhusu.
Wanawake tunakumbushana,
Wanawake wengi wamezoea kuongea, hadi wanaona ni kawaida kuongea mambo yote wanayowahusu...
Good evening wakurungwa.
Ni muda sasa umepita tokea mzozo wa kataa ndoa, nadhani wale wanaokubaliana na ndoa hawakuwa na hoja zaidi ni hisia tu.
Nikikumbuka moja ya hoja yao kuu ni kwamba wanaoa...
Mwanenu jambo si jambo sielewi kabisa.
Mtaani kwangu kuna mambo nahisi hayajakaa sawa. Uchangamfu wa majirani sio huu ninaoujua, tunezoea kuchangamkiana katik salam na mambo mengine.
Kwa kawaida...
Wakuu.
Kama tunavyo fahamu binadamu tume umbwa kwa kutegemeana na hakuna aliye kamilika, na hii ndiyo maana wanawake wakanyimwa utawala , nguvu na akili za kutosha na wakapewa udhaifu ,hisia na...
Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao...
NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni...
Nimekosa Heading ya kuweka hapa ndugu zanguni
Just imagine, wanakaa kitako kuwajadili waume zao. Boya mmoja anapiga simu kwa mkewe kuulizia maendeleo yake na mwanae, anawekwa loud speaker, baada...
Baada ya wastani miaka mitatu ya vipigo na vitisho vingi vya mara kwa mara kutoka kwa baba ake ambavyo kimsingi vilikuwa vinaniumiza na kunikera, siku moja nikiwa naamini nimepevuka nilimtafuta...
Mkeo ulimgharamikia kiasi gani mpaka kumpata kwa upande wa gharama za kumshawishi mpaka aingie laini na pia mahari ulilipa kiasi gani ikiwemo gharama za kusafiri wewe na wajumbe wako kwenda...
Hope mpo poa wakuu
Wanaume Daima tunakaribiwa na changamoto mbalimbali za maisha katika kuhakikisha familia zetu zinapata chochote kitu Kila siku.
Kwa namna Moja au nyingine wanaume wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.