Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Iliwashwa taa tupo ukumbini,picha iliyotokea malizia,ila nilikimbia mji miaka mitatu. Je umewahi kukutwa na usiyoyategemea ghafla bin vuw ?
1 Reactions
5 Replies
419 Views
Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa...
29 Reactions
145 Replies
6K Views
Unamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka. Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim. Walau...
21 Reactions
118 Replies
5K Views
Habari zenu Wakuu. Leo katika pitapita zangu mtandaoni nikaona video wanafunzi wa Secondary wanacheza Singeli huku wakiwa wamevaa Hijabu. Kwenye video hiyo visichana hivyo vinaonekana vikikata...
4 Reactions
19 Replies
585 Views
Ni pale unapovuta hewa safi yenye rutuba ambayo inapita kwenye mapafu yenye afya njema, huku moyo wako ukidundadunda kwa shangwe na mwili wako ukiwa tulivu bila kashkash!.. no stress, no harmful...
7 Reactions
17 Replies
742 Views
Ama kwa hakika unaweza kusema Mungu wa kanisani na msikitini, na kwenye milima na majabali amekauka kwenye nafsi za binadamu. Kila post ya kingono ngono, maudhui ya mapenzi yanapata mileage...
1 Reactions
3 Replies
508 Views
Kama wazazi, tunapenda kuona watoto wetu wakijifunza mambo mapya. Si ajabu kumuona mama akimuuliza mtoto maswali huku akijua mtoto atatoa jibu la kufurahisha. Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo...
13 Reactions
39 Replies
4K Views
Kwanini siku izi mbususu ni kubwa mno halafu mishedede inakua midogo mno kuikabili mbususu kwenye mgegedano? Au ni kwasababu mbususu inakua tayari inataka kwahiyo inajichanua yenyewe halafu...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
1.Uwe na siku njema leo, mpenzi wangu! Ulifanya asubuhi yangu kuwa ya ajabu sana. Natumai asubuhi hii itakuwa siku nzuri! 2. Kila asubuhi, wazo la kwanza linalokuja akilini mwangu ni jinsi...
2 Reactions
5 Replies
976 Views
Nilitoka nikaenda sehemu kupata vyombo na kuchill na washikaji! Sasa tangu niingie pale, meza moja alionekana njemba akiwa na mdada na kwa ukaribu wa jinsi walivyokaa inaonekana ni wapenzi au...
2 Reactions
16 Replies
776 Views
Yamemkuta jamaa huko mtaani. Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanawake wengi wamekuwa wakitaka wanaume wajitoe Kwa ajili yao lakini wao hawako tayari kufanya hivyo. Mwanaume anastahili kupendwa kama wewe unavostahili kupendwa, japo wengi watakuambia hapana...
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Yaani mwenzenu leo kuna kadada kamenikera sana kanajiona kuharibu ndoa ya mwenzake . Sijui yeye ninani kamfuata mwenzake kazini nakumtafuta uchokozi. Na akahakikisha atamchukua mume na watoto na...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Hi guys, Hope mmekuwa na mapumziko poa, Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari. Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi naye siye yule...
35 Reactions
383 Replies
21K Views
Tumezoea kuona au kusikia wanandoa wanapata matatizo au hitilafu za urijali au uanawake katika suala linaloathiri tendo la ndoa wakati washakua wazee au washaoana na wanawatoto wanabaki kuishi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Sometimes wanawake huwa wanajiuliza maswali mengi, wafanyeje ili wapendwe, wanahisi wana bahati mbaya. Kila wanapoitoa mioyo yao mabwana wanakula mzigo wanatembea. Mioyo yao imejaa matundu...
14 Reactions
85 Replies
13K Views
Wadau hamjamboni nyote? Wanaume wa Songea wamepewa sifa mbaya ya kupenda zaidi wanawake kuliko makabila mengine. Nasema kwa dhati sifa hiyo siyo ya kweli hata kidogo na haiwastahili kabisa...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Wakuu, Yaani hapa nilipo nimejikuta Niko down Sana na Sio kwa sababu eti Nina shauku ya kutaka kumla manzi wangu...hapana ni just mzuka umekata tu na hiki kibaridi Cha dar sielewielewi. Iko hivi...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Vijana wengi wakishafikisha umri wa balehe au baada ya hapo huwa hawapendi kuwaita wazazi wao baba au mama, mara nyingi utawasikia Mama wakimuita bi mkubwa na baba akiitwa Mzee. Je, kuwaita hivyo...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom