Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi.
Nilimpa maelekezo kuwa...
Wana JF habari,
Hivi kuna anayepitia changamoto kama ninazopitia? Dah kuna muda natamani nipige kelele kwa ninayopitia labda nitapunguza machungu. Kazini changamoto, nikirudi nyumbani nako...
Ndoa zetu zimeweza kudumu miaka na miaka, kwa sababu tulioa wanawake wakawaida; wasiokuwa na chura ya ushawishi, wasiokuwa na kiuno cha nyugwi au umbo namba nane, wasiokuwa na sura ya kumshawishi...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kutangaza Nia
Kutangaza Nia
"Mwangaluka wa mayo!"
"Mwangaluka! Mhole mola?"
"Mola duhu"
"Mliho?"
"Tuli mhola"
Stanley alikuwa anaangalia kutoka dirisha la chumbani...
Yeah ni pasi na shaka , nyama utamu inatolewa inaliwa then inarudishwa. After sometime baada ya mzagamuoooo............. Viji notes vya baadae ni kama shukrani ya kisela tuuu. And not udangaji...
Nawasihi vijana wenzangu wenye nia ya kuoa,
Nafahamu kabla ya ndoa kuna kile kipindi cha uchumba na kuchunguzana. Naomba muwe makini na watulivu katika kipindi hiko, mkijichanganya tu imekula...
Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa...
Habari za usiku huu wana JF...
Niende kwenye mada mimi mwenzenu kwenye mapenzi na maisha General huwa sipendi tabia ya uongo yaaani UONGO UONGO....
Mfano kuna demu niliwahi kuwa nae kwenye...
Wanajamvi Heshima kwenu
Juzi katika kupiga stori na washikaj zangu pale kijiweni, si tukaanza kuzungumzia Yale Mambo ya chumbani. Eti jamaa mmoja akasema yeye hulala na mwanamke for a whole night...
Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kuwa huyu simjui na simfahamu na sina mtoto.
Unashindwa nini kumroga na kumpeleka kaburini haraka sana kibwengo msumbufu asiye na...
NDOA NI AGANO LA MILELE
Neno la Mungu linasema,
MATHAYO 19:3-12
"Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu?
Akajibu, akawaambia...
Habari!
Wanawake, hivi mwanaume insecured mnamtambuaje? Nimeuliza kwa sababu mara nyingi mnapenda sana nice guys, ila baadaye mnawang'ong'a.
Mfano mmoja kuna mtu alileta uzi humu, akisema kuna...
Habari wanaJF!!
Hivi sahihi kumwita rafiki yako wa kiume kumwita "MY" kwenye SMS au kivyovyote vile?
Au kumwita mzazi wako "MY" nayo imekaaje?
Tofauti na mchumba wako au mkeo,mpenzi wako hao...
Wadau kati ya hiyo mikoa ipi mzuri Kwa familia na makazi na biashara .
Wajameni siitaji majibu ya hovyoo kama mdomo wako ni mchafu sana kapige mswaki kimya a
Maisha yanapoandamwa na shida za saikolojia ni shida. Misemo kama hii huweza kuibuka.
Kwa sasa nautumia
Mtaani kwangu naona nanuniwa. Nimeamua kudeal na kaz zangu tu.
Kazini kwangu kuna...
Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?
Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
Habari zenu Wakuu.
Kama kuna jambo halina formula na halieleweki kwa njia yoyote ile eg. Mahusiano, kazi, biashara n.k basi nakushauri achana nalo.
Usijitese akili kwa jambo ambalo haulielewi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.