Habari zenu wana Jf.
Katika maisha na mazingira ya kumfukuzia huyu binti alinisumbua sana wakati na mtongoza kiasi cha kujikatia tamaa sana na kumpuuza mno. Nakumbuka nilimfukuzia yapata miezi...
Rejean kichwa cha habari hapo juu.
Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background...
Habari wanabodi
Kumekuwa na gumzo juu ya tabia za wanaume wa Musoma kulingana na maumbile, hulka hata utashi wao na baadaye matendo.
Nikaona si vema jambo hili likaishia vijiweni au mabarazani...
Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.
Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?
Mwanamke kafiwa na baba watoto...
There was a blind girl who hated herself just because she was blind.
She hated everyone, except her loving boyfriend.
He was always there for her.
She said that if she could only see the world...
1. Anajitambua
2. Mpole
3. Ana busara
4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba
5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza
6. Hayuko tayari ku kupoteza
7. Ana risk kila kitu kwaajili yako
8. Ana...
Wakuu mulibwanji? Jana mtu kapgwa kono la nyani. Kuna ndugu yng mtoto wa aunt yng mdada alikuwa uko kijijini aliomba aje town ajiendeleze mambo yake ya ufundi na salon maana ndo alikuwa...
Yani haka ka kauli katafanya watu wengi wakachomwe moto(kama kweli upo) na ndo kanafanya watu wengi awaachi kufanya dhambi mana kila siku wanajipa moyo "hii haki ya Mungu ni ya mwisho" na kesho...
Natumai ni wazima wa afya nyote.
Mimi nahisi nina tatzo langu binafsi la kutumia pesa nyingi pindi ninapokua mpweke, najikuta nafanya vitu vingi vinavyonigharimu pesa nyingi ili moyo wangu uwe na...
Ninaposema uhuru wa kihisia namaanisha ewe mwanaume popote ulipo, iwe kazini, chuoni, mtaani hakikisha hawachukulii serious wanawake, yani moyo wako uwe kama jiwe, mtu asipoliondoa litabakia hapo...
Soko la Joto la body to body limeongezeka vibaya mno, sio suala la one night stand ama show time kwa sasa, ni suala la kupata uhakika wa joto kila siku, na hapa kwa mahesabu ya bajeti watu wameona...
Wale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.
Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe...
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya...
Dah , weep not child aliwai sema mwandishi mmoja mashuhuri
Yah baada ya hili tukio la Leo nmejifungia ndani , inside my room nmelia , i mean i cried a lot , i had to rethink my decisions
They...
Wakubwa zangu poleni na uchovu.
Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha...
Kuna maswali ya kijinga huuliza wanawake ukianza kumtongoza. Nasema ya kijinga kwa sababu anakuwa anajua majibu yake au anajua kabisa hawezi kuambiwa ukweli.
Anauliza
1. Mimi ni mwanamke wako...
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?
Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni
mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa
nakupenda, niamini mpenzi...
[03/11, 12:18] Mr George Francis: IJUE SIRI YA KUPATA MKE/MUME MWEMA.
Ni raha na furaha sana kwa mtu kupata mke au mume mwema.
Lakini kwanza tujiulize,
¶Mke au mume mwema ni yupi.
¶Je wawezaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.