Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwa wale vijana mnaotaka kuoa mnataka kuoa mnatakiwa muwe makini wazee wengi saivi ndoa wanaichukulia kama source of income kupitia binti yao kuanzia hatua kutoa mahali, kuwasaidia wao na ndugu...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Nina brother wangu, tunachangia mzee ila kila mtu yuko na mama yake. Brother ananizidi kama miaka 6. Miaka ile nakuja kusoma chuo kikuu, nilifikia kwa brother kwa sababu yeye tayari alikua...
18 Reactions
25 Replies
3K Views
Ukifanya utafiti chanzo cha vifo vya mapema vya wanaume wengi ni stress za ndoa. Mwanamke mmoja ukiishi nae anakuzoea anakuona sawa na mtoto mwenzake. Majukumu ya nyumba wanaachiwa wadada wa...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyosema. Mimi nikijana wa miaka 26 nimeoa ila sijapata mtoto bado, ila katika ndoa yetu nimekuja kugundua kua mwanamke alikua akitoka nje na nikamuuliza...
22 Reactions
147 Replies
8K Views
Nimepatana na binti mrembo kanieleza kwake ni Ubaruku na huko yeye ana mashamba ya mpunga. Kwenye kumwaga sera zangu nitawale jimbo, ananiambia ana HIV. Wakuu huyu ananikataa au anakimbia mbio...
4 Reactions
19 Replies
765 Views
Katika maisha ya sasa kumekua na wanawake wengi sana wasiojielewa kabisa, wanawake wameongezeka na wenye mtazamo hasi wa kuwatizamia wanaume kwenye mahusiano au nje ya mahusiano kama chanzo cha...
2 Reactions
2 Replies
667 Views
Ndugu zangu ikiwa ni siku nyingine iliyo zungukwa na hali ya hewa nzuri pamoja na haya maua tuliyoumbiwa huku duniani nawatakia siku njema na majukumu mema Ndugu kama kichwa cha somo kinavyo...
1 Reactions
7 Replies
545 Views
Wana Jf natumaini mko poa kabisa. Ndugu zangu kuna wimbi la vijana na mabinti chipukizi wanao dhurura hovyo nyakati za jioni kwanzia mida ya saa kumi na mbili jioni (18:00) mpaka saa tatu usiku (...
16 Reactions
72 Replies
4K Views
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi. I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane. To be honest...
59 Reactions
246 Replies
18K Views
Miji ambayo unaeza pata mwanaume tajiri na kuazisha nae serious relationship ni Monaco, Geneva, Zurich, London, Hong Kong, Frankfurt, New York, Paris, Toronto na Sydney. Hii miji ina wanaume...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Wakuu, kwanza poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima ya leo. Ndugu yenu nataka kufanya maamuzi ila sitaki nionekane nimedhulumu haki ya mtu. Miezi 3 iliyopita kuna jamaa ambao sifahamiani nao...
24 Reactions
162 Replies
7K Views
Wakuu mulibwanji? Aisee nimetafakari sana jinsi ambavyo dunia ikishirikiana na mwanamke kummaliza mwanaume, kufuta nafasi ya mwanaume, kufuta haki zake ikibidi zinachukuliwa na kupewa mwanamke...
5 Reactions
14 Replies
822 Views
Au vipi wana maneno Maana kamenonaa kwa sasa kana stahili mb*o*0 za ki ethiopia ili kaendeleze kizazi ....maana za kizungu zitaleta half cast(muethipia muzungu) aseeeee! ALL IN ALL DAMU NI...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Unjani sabuwona Wakuu kiukweli mimi ni mtu wa kushukuru katika maisha yangu Iwe neema kubwa kubwa au ndogo ndogo wakuu ninayo furaha kuwatangazia kuwa nimempata mchumba miss ...... Jina lake...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Guys huwa sipendi sana kuanzisha uzi ila huwa naanzisha uzi ndani ya uzi wa mtu. Leo nimeona tu niweke uzi mpya. Iko hivi kwa miaka zaidi ya 8nimekuwa nikihangaika kutafuta mke mdogo. Napenda...
3 Reactions
118 Replies
6K Views
SUCCUBAE Ni Neno La Kilatini Cha Kileo Maana Yake Ni "Malaya" Ambacho Asili Yake Ni Succubare Ikiwa Na Maana Ya ''Kulala Chini Ya" Kwa Kiingereza Ni Succubus, Kwa mara ya kwanza neno hili...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Kuuliza si ujinga. Nauliza kutokana na kichwa cha habari kuna siri gani wadada wanapokata au wanapoonekana wanacheza ngoma,huwaga kama wanashindana ,sielewi ndio kuwa uyaone au uyajue. Na mara...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu mulibwanji? Kuna jamaa yangu alikuwa anaishi na mdada mmoja wa kinyiramba alimtoa bush uko, sa alipomfkisha town yule mdada akamwambia anataka kujifunza kushona, jamaa akasema poa...
21 Reactions
98 Replies
6K Views
Tangu kuwa naye kwenye mahusiano nakosa amani kabisa. Maisha yangu hayakwendi kama ninavyotaka Ni jirani yangu kwenye hii nyumba ya kupanga. N.B: Nimejenga mkoani, niko hapa Dar kikazi kwenye...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom