Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
MSICHOKIJUA KUHUSU DADA WA KINYAKYUSA (MBEYA) Msikurupuke tu kuoa Dada zetu kabla hamjahesabu gharama. Hivi kwanini nyie wajanga hamjiulizi wanapooana mnyakyusa kwa mnyakyusa ndoa inaenda tu, ni...
48 Reactions
350 Replies
44K Views
Maisha ni fumbo kubwa lililojaa somo kubwa iwapo tu utasimama thabiti na ukiwa na msimamo chanya na kuwa mtu unayependa kujifunza kupitia na magumu unayoyapitia. Nilipoingia kwenye biashara na...
11 Reactions
54 Replies
5K Views
Kila msichana ana ndoto ya ndoa ambapo anaishi "kwa furaha milele" na mumewe. Lakini ukweli una njia ya kutuambia kwamba hadithi na sinema ni hati zilizoandikwa na kuigizwa kwa burudani yetu...
13 Reactions
80 Replies
4K Views
Wana JF shusheni visa vyenu kuhusu jinsi ulivyokula tunda kwa mara ya kwanza na ulifanyaje
3 Reactions
25 Replies
4K Views
https://www.jamiiforums.com/threads/je-ni-kweli-tunauishi-upendo-halisi-ama-ulio-kizuizini.2154202/ Je, ni kweli tunauishi upendo halisi ama ulio kizuizini?
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Habari! Maumbile ya mtu si jambo la kukosoa kwani hakuna anayejiumba yeye. Miongoni mwa tafiti zangu zilizofanikiwa kwa 99%, ambazo si rasmi, ni hili suala la vitovu, hasa kwa wanawake. Kwa...
2 Reactions
16 Replies
976 Views
Habari Nitajie pick up line ya ucheshi unayoeza tumia kumuambia pisi ili u catch attention yake..
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Story fupi yenye mafunzo kwenu wanawake. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile...
12 Reactions
85 Replies
6K Views
Wakuu mulibwanji? Nipo njiapanda, ninaishi na mwanamke wangu na nduguye kwa muda sasa, tatizo limekuwepo la dada mtu na mdogo mtu kupishana mara kwa mara kitendo ambacho kimepelekea kuwepo kwa...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Jamani jamani wanawake mtatuua na sisi wanaume tumebaki wachache sana. Ndugu yapata nilijichanganya kwa mwanamke aliyekua ananielewa na kunipenda sana ila mimi nilikua nakaza fuvu kwa makusudi...
3 Reactions
10 Replies
859 Views
Habari zenu wana jamvi. Nisiwachose sana. Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari.. Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari...
12 Reactions
117 Replies
9K Views
Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea. Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana...
14 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwenye nyanja za kupigana vibomu ambavyo kwakweli vinapendezesha mahusiano, unajua bila kuhonga wengine hatujisikii raha na huwa tunapenda watu wanaotuombe hela. Asikudanganye mtu bwana, ukiwa...
19 Reactions
99 Replies
3K Views
Wakuu salamu kwenu, Mimi naishi mwanza nataka niende shinyanga nikajipatie mke msukuma Naomba kuuliza kwa anaye pafahamu vizuri shinyanga ni wilaya gani au kijiji gani kuna mabinti weupe
3 Reactions
26 Replies
1K Views
1. Never take photos with him/her. 2. If you called and she/he hangs up, don't call back immediately. 3. Never text love-messages. 4. Satan should not tempt you to sleep at his/her house even...
3 Reactions
3 Replies
593 Views
Nadhani tumeshawahi kuona katika baadhi ya ndoa iwe ukumbini au kanisani unakuta bibi harusi anaanza kumwaga machozi Wapo baadhi ya watu wanapoona hali ile wanasemezana kwamba "umeona analia...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Ndugu wa salam.. HUU UZI USIFUTWE NAOMBA kama tujuavyo maisha ya chuo ni ya uhuru sana na kujiamulia chochote kwa kuzingatia akili lazima iwe kichwani mwako. Ndugu ndani ya nchi yetu kuna...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu ndoa zina changamoto zake asikwambie mtu, hawa wake zetu ni mtihani ni viumbe ambao hawajui wanataka Nini. Juzi tumelala na wife hataki ata ni mshike ni wiki Sasa imekata, nikaona huu...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Shida kubwa ya wanadamu ni kwamba wengine hufikiria sana bila kutumia hisia na wengine huhisi sana bila kutumia akili. Aghalabu wale wote wanaofikiri sana bila kutumia hisia hao mambo yao hukosa...
1 Reactions
1 Replies
761 Views
Mpaka leo sijaelewa maana ya hii kauli, ngoja niwaambie kitu labda mnaweza kunijuza. Nimeingia kwenye ndoa nikiwa na miaka 19 sababu ya kufanya hivi binti kwao maisha yalikuwa magumu wazazi wake...
2 Reactions
11 Replies
813 Views
Back
Top Bottom