Nimeamua bora tu nirudi island japo home nilikanyaga juzi tu lakini bora tu niwe kule. Kama jina langu lilivyo ndo uhalisia wa job yangu.
Nimetimba home nakuta kashanuna eti sijatimiza ahadi ya...
Aiseee hatari na nusu, kama juzi hapa niliandika thread kuwa mwanamke wangu anaolewa kumbe nimeepushwa na Mambo ya hatari ambayo nimeyafahamu baada ya mfanyakazi mmoja wa kazini kwa binti kutoa...
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Mimi ni kijana wa miaka 30+ hapo awali nilikua na mahusiano na binti nilie mpenda na nilitarajia kuja kumuoa ila alikuja kuniacha katika harakati za utafutaji...
Kipindi cha nyuma kidogo, nilizani mtandao huu ni maalumu kwa ajili ya watu wakubwa tu na wenye nyazifa zao duniani
Pindi nilipounda akaunti na kuingia humu nilikutana na watu wazito wazito kama...
Kikawaida mwanaume anaweza akamuona mwanamke kwa mara ya kwanza na hapohapo akamtamani, mimi huwa inanitokea sana hiyo, unakutana na msichana either mzuri au aliyeumbwa vizuri na ukamtamani hadi...
Kama unataka hela yako ipotee basi mkopeshe mdada,hawa watu huwa hawalipi madeni kabisa hasahasa ikitokea mdeni wake ni mwanaume hata wakidaiana wao kwa wao huwa hawalipani,hivi ni kwanini?
Habari wakuu,
Mapenzi ni moja ya nguzo muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku, na haijalishi ni aina gani ya mapenzi mtu aliyonayo as long as mapenzi basi ni strong emotion inayoweza kumuongoza...
Nina tatizo sugu ila nahisi sio peke yangu, nilisikiliza comedy moja ya black america yule aliepigwa kofi na Wily Smith, alisema usisikie sijui unaweza kunyuri mara mbili au tatu, alidai hayo ni...
Nimepita kwenye uzi wa mhanga mmoja aliyechekesha wanajukwaa na kukutana na maoni ya baadhi ya watu eti "Wahi haraka ukamuone daktari". Huu ni upotoshaji
Cha kushangaza, wanawake wote ambao...
Habari zenu wanajamii forum.
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Kuna hyu binti nmekuwa naye na mahusiano ni mwaka sasa na miezi kadhaa. Mwanzo katika mahusiano yetu tulikuwa tunawasiliana...
Nilirudi nchini baada ya kuwa nje ya nchi karibia miaka 10. Kabla sijaondoka nchini nilikuwa nimepanga sehemu moja hivi hapa Dar es salaam. Miongoni mwa watoto wa mwenye nyumba kulikuwa na mtoto...
Aisee nisiposema nitakuwa mbinafsi ..
Mazingira niliyonayo sijui ni wangapi wanaweza toboa hii life style
Kwanza Mama mwenye nyumba wangu anamiliki Bar na hana mume, sasa bitch zinazopishana hapa...
twendeni moja kwa moja katika jambo ,Kuna rafiki yangu alikua akiuguliwa na mke wake nae hakua na pesa ilimbidi amwone mshkaji amkope pesa akalipie matibabu , mke akapona na akaruhusiwa kutoka...
Urafiki na mwanamke unayemtaka kimapenzi sio mzuri.
Aitha utaishia kuchunwa au kuumizwa. Huwa inauma pale unamfikiria mwanamke kimapenzi lakini anaishia kukufikiria kama rafiki au ndugu. Japo...
Aiseee ahahahahhaa kwel Dar kuna Joto sana.
Kuna thread nilianzisha buana kuhusu binti fulani ambaye nilimkuta bikira, ni nurse kwa kwel ni mrembo sana.
Nakwambiaje mpaka juzi tumewekeana Miadi...
Habari wa JF.
Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili.
Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe.
Walipofika wakakutana na...
Wakuu sijui ni upendo ama nini maana wazazi wananigeukia balaa.
Mfano ;
Mwanangu akikosea nikimuadhibu mzazi wangu anakua mkali mno ananishambulia mpaka naona aibu,
Nifanyaje maana watoto...
(1 ).Low Arch Feet Personality Traits
Hii ni kwa watu ambao nyayo zao Hazina uvungu.
Hizo hapo chini ndio Hali zao za maisha.
low arch feet personality
If you have low-arched feet with little...
Natumai mko poa wana jamvi, Sasa Niende moja kwa moja kwa Mada tajwa hapo juu. Watu wa aina hii ni lazima uwaepuke katika kuingia nao kwenye mahusiano au kufanya nao urafiki wa ndani sana kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.