Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
UCHOYO KWENYE NDOA, MKEO NA WATOTO WAMEKONDEANA ALAFU WEWE UMENAWIRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati nakua Wazee wangu walitupiga marufuku kula bingo. Bingo ñi chakula ambacho vijana...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Hivi hawa wanaume wenzetu wanaoendaga studio kufanya photoshoot na kuzitupia mtandaoni wako sawa kweli kiuanaume Dume zima linaenda studio kupiga picha eti apost siku ya birthday yake huo ni...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Baada ya kuacha nyeto kwa miezi kadhaa hii ilitokana na kuwa mpango wa kando ulionihakikishia kula papuchi muda wowote ninaohitaji Ila kwa Sasa sipo nae baada ya fitna za majirani na kupeleka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Niliacha mazoea ya kuwashobokea watoto wa kike mwaka 2019, hii ni baada kusikia tetesi eti ninajipendekeza sana, mara namtaka kila mwanamke aliyeko mtaani, mara shobo shobo zimekuwa nyingi, mara...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Just imagine kijana kajaliwa pesa, kazi nzuri, elimu nzuri na maisha mazuri lakini bado mtu haoi mwanamke na kuanzisha familia bora. Vijana wenzangu taifa linaitaji familia iliyo bora kwani ndio...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu yeye amekuja kuniomba ushauri, iko hivi; Yeye (rafiki yangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Kiukweli Hakuna mwanaume Anayependa kuchepuka. Wakati unaanza kuishi na Wewe ulikuwa mwanamke kigoli.unayenivutia Mwenye kujua kila update ya jambo. Sasa naomba nikuambia kwanini mwanaume...
3 Reactions
8 Replies
572 Views
Samahanini naomba mnijibu baadhi ya maswali yangu; Ni kwanini vitabu vingi vinasema "Ogopeni wanawake"? Au kwanini katika dunia ya sasa watu wengi mashuhuri na hata wasio mashuhuri wanaume...
11 Reactions
64 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, tumshukuru Mungu kwa uzima aliotujalia na kwa walio wagonjwa poleni sana. Nimeona ni vema kuuliza hili jambo kwenu wana jamvi kwani humu kuna watu wengi na wenye uelewa wa...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Katika harakati za kutafuta mke wa kuoa, classmate wangu mmoja ni mwanamke aliniunganisha na mfanyakazi mwenzake ni mwalimu. Kweli tukapanga nikaenda kuonana nae mchumba mtarajiwa nyumbani kwao...
30 Reactions
68 Replies
5K Views
Naomba Tulijadili hili kwa umoja maana hiii imekua kama kawaida sasa kwa mamazetu wenye pesa kutembea na vijana wadogo ambao hata wao wenyewe wanaweza kuwazaa. Swali langu 1 Je, ni sawa hili...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Yani unakuta mdada mzuri tu sura na umbo ila akivua sasa kama panya kaoza mmh [emoji57][emoji57][emoji57], wadada jamani Kuweni wasafi eti mnatia aibu mmmh, kwenye kwapa mnakuwa weusi kama kambale...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu tutumie kinga maisha hayasomeki haya, Nakumbuka mwaka 2020 kabla sijaoa nilikuwa natafuta mbususu za kujipigia hapa na pale, yaani naitoa sehemu x inakuja kwangu kulala. Nakumbuka hiyo siku...
12 Reactions
67 Replies
5K Views
2015 Nilipomaliza form 6 nilipata binti anauza duka tukaweza kuanzisha mahusiano na muda ukiruhusu nilikuwa namvusha kwao nampeleka geto kumchakata, baada ya wiki alianza kuleta ujuaji + vizinga...
11 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam. Kwenye kulea mara nyingi Kila jinsia ina nafasi yake mahususi kwa watoto. Mtoto wa kike analeleka vyema kwa mama na kidume kinaleleka vizuri mno kwa baba. Katika kasi hii inayoendelea na...
2 Reactions
0 Replies
578 Views
Ni mwanadada amejitoa na kuandika bango kuwa amemtunzia bikra kicheche Sasa sijui kicheche anakwama wapi? Kwa Nini asile chuma
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu...
7 Reactions
21 Replies
972 Views
Kama nakupenda, nakupenda tu. Kunihonga fedha ni mazoea mabovu ya Watanzania baadhi. Ukiona unampenda mtu na ushawishi wako zaidi umeegemea kutoa fedha huo ni uhusiano dhaifu. Mapenzi ya dhati...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
1 Reactions
4 Replies
663 Views
Wadau huyu manzi nafanyanae kazi ofisi moja kama kawaida nikamuanzishia mission target yangu niwenae ni settle ikiwezekana kuoa hapo baadae. Nimemfanyia attempt kama mara mbili ajaeleweka...
15 Reactions
190 Replies
8K Views
Back
Top Bottom