Wanaume hawajui kutofautisha jamboo.
Leo nawaelewesha jambo hili na nikuhusu SINGLE MOTHERS.
kuna muda na pitia post nyingi na niza single mothers.
Hawa single mothers ni wakina nani??
Single...
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/47761647
Mrejesho wa Thread hapo juu
Baada ya vuta ni kuvute kati ya familia ya kijana na binti kuhusu mahari.
Wanafamilia wa kijana wengi...
Habari mdau wangu,
Pole na hekaheka. Leo Sina mengi zaidi tu ya kukukumbusha kwamba unachokifata kwa mchepuko wajuba wanakipata kwa mkeo.
Tena kiukaini kabisa usijesema sjakusanua.
Baada ya kusoma nyuzi kadhaa humu hususani ktk hii wiki kwenye jukwaa letu hili, nyuzi nyingi zimekuwa zikifunguliwa na wanaume zikizungumzia juu ya wanawake na pesa!. Kila nikifungua hili jukwaa...
Habari wanajamvi, Me buheri wa afya.
Nataguliza shukrani kwenu enyi wote mliopo humu JF kwaajiri ya mambo mema na kusaidiana.
Mimi ni kijana mkristu, familia yangu wote ni wakristu pande zote...
Wasalaam JF,
Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu...
Japo ni kama nadharia tu ila underground ni kama ndio uhalisia wa maisha, once you get good and satisfying sex, life becomes nutritious, you see plan, growth, progress and success unto you.
Eyes...
Utandawazi umetuharibia mabinti kwa kweli. Kipindi cha nyuma, confidence ya kuropoka ropoka walikuwa nayo kwenye simu, leo hii wanakutamkia huku jicho likiwa kavu
Eti "Una hela?". Na mimi...
Mwanamke ana kifua kizuri lakini hana chuchu.... yaani ni kama zimeingia kwa ndani. Mmoja alishawahi kuzaa sielewi sasa why awe hivyo.
Mwingine hajawahi zaa. Ana kifua kimesimama na kujaa vyema...
Wakuu natumaini mnaendelea salama kabisa.
Kwa kweli kuna wanawake ukiwanao unaweza kumuua kabisa au ukamtelekeza moja kwa moja.
Yapata na wanawake kadha wa kadha ila naona kabisa hawa hawana...
Itatimia wakati flani ambapo utahitajika kuoa. Na kuoa huwa kuna harakati zake. Mtu hafai kuingia katika mpango wa ndoa bila ya kutambua yule ambaye ataona naye.
Ikija katika maswala ya kuoa...
Wakuu amani ya MUNGU WA MBINGUNI IWE PAMOJA NANYI. Kuna jamaa yangu ana mwanamke wake ambae hawana muda mrefu kwenye mahusiano, kuna ka mgogoro kalitokea ni kama kwao na mwanamke wanamsema vibaya...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika.
Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati?
Wako katika ujenzi wa Taifa,
DON YRN.
Masela wameacha sofa nyumbani, wapo hospital kumfariji mchizi wao.
Hakuna shada la maua, hakuna chocolate zilizoletwa kama zawadi, wahuni wapo wao na mioyo yao tu.
Hapo zishapigwa story za...
Salamu nishawaachia waswahili!
Hii Emoji sijajua kwenu ina maana gani lakini kwangu ninavyofahamu ni Tunda aina ya Fulisi(Mafulisi) au kwa kisorongai uitwa Peach(Peaches).
Mimi huwa ni mdau...
Akiongea na Jarida la People, Mwigizaji Jada Pinkett Smith ameweka wazi kuwa huu ni Mwaka wa 7 tangu atengane na Mumewe, Mwigizaji na Mwanamuziki Will Smith, waliyeoana tangu Mwaka 1997, ambapo...
When you look at a man directly in his eyes, you can tell if
He masturbates
He's addicted to porn
He's chaotic
He's confident
The eyes of a man tell the story of his soul.
Eyes are the windows...
Katika zama hizi za utandawazi uliotuacha wazi, jinsia ya kiume imekuwa ikikumbana na changamoto nyingi. Katika kuutetea na kulinda uanaume-asilia kuna masuala ambayo hatuna budi kuyajadili...
Habarii hivi ushawahi kupitia hii
Ninaishi na bint wa miaka nane mimi ndio mama nyumbani tupo .
Usiku ninapika chai naiyacha kwenye chupa, asubui mm huwa ninawai kutoka kabla yake namuacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.