Nawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana.
Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe...
Habari za Jumapili wana Jamvi,
Bila kupoteza muda, ngoja nielekee kwenye mada husika:
Katika pita pita zangu mjini Morogoro nikakutana na binti wa Kikaguru kutoka huko pande za Gairo.Ni mwenye...
Hapa namaanisha wabena, wahehe na wakinga.
Hawa watu ni wazuri kuolewa, Ni waifu matirio kweli kweli ingawa Wana mapungufu yao japo ni machache.
Kwanza ni wavumilivu, ila ukiwachukiza sana...
skia tu kwa mwenzio
kuwa na mshkaji mropokaji inaboa asee
yani bora awe wa kike
sababu kwanza Automatically kuna baadhi ya mambo hawezi kuyajua
sababu ww n wa kiume yeye wa kike
Daah nna huyu...
Mwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu.
Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa...
Furahia MUDA ulioanao na yule unayempenda. Kila mtu tuliyenaye kwenye maisha yetu hatadumu milele.
Wengine tutakuwa nao kwa muda mrefu sana na wengine tutakuwa nao kwa muda mfupi.
Mungu hutupa...
Hawa viumbe wenye kale kauweusi ka Chocolate bila kusahau visura fulani hivi vya huruma sio huruma, furaha sio furaha, mawazo sio mawazo! Wanawake wa namna hii ni watamu, watamu tena na tena...
Baada ya kumuona akiwa mpweke nikaamua kumpandia juu. Kama kawaida yangu ya ucheshi wa hapa na pale bila kusahau utani mwingi. Kanijibu "Mimi sio mwanamke wa hivyo, katika maisha yangu sipendi...
Ni binti mgeni tu aliamia kitaa chetu, sasa wakati anakuja hakuna aliyekuwa anajua kwamba ni dada poa yaani anauza,
Sasa bwana Zero iq nikajitosaga kumfukuzia ili nimsajiri kwenye daftari la mtaa...
A. Kutokusamehe
B. Kuwa na Matarajio yasiyo halisi
C. Kutokuchukuliana madhahifu
D. Kutokujua wajibu wako katika mahusiano
E. Kipato
Jambo la kwanza
Kutokusamehe
Kwakweli kuna kitu ambacho...
Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye...
Eti kuna uzee, nani alisema utafika hatua ya kuzeeka, kula Nyama ingali meno ipo,
Hapa ndio naamka nawaza je nitatoboa kweli kwenda sokoni kuchukua masaga ya pale kiwandani kwangu maana,
Usiku...
Habari,
Kuna rafiki yangu mmoja nilizoeana nae mda kidogo na tunafamianane kutoka na biashara zetu yeye anaumri wa 43 now. Ila kwa sasa anahali mbaya ya kiafya anaumwa magojwa yasiotibika haya...
Jamii hii inapatikana huko Amazon Marekani ambapo wanaume 7 tu wamegeuzwa tegemezi la wanawake zaidi ya 3000. Hii ni kutokana na uchache wa wanaume uliopo. Kutokana na shughuli pevu na nzito...
Wadau Naomba maelekezo, ivi Kwa mwanaume timamu anaweza akaowa mwanamke wa kimtandao??
Kuna mshikaji wangu ameyakanyaga kaowa Dada wa Facebook ahsee [emoji23][emoji23][emoji23], ila washamba bado...
Hope mko poa
Aisee mpaka najishanga now days siku za karibuni mara nyingi nakuwa moodless yaani nakuwa na kisirani haswa, sijisikii kuongea na mtu mpaka job na watu wa karibu yangu wanaanza...
Habarini wakuu.
Nimekuja kutoa mrejesho wa thread yangu iliyopita.
Unaweza soma apa
Kwanza nitoe shukrani kwa kutiwa moyo kwani kipindi nilichopitia kilikuwa kigumu sana kwangu, pia nakiri hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.