Salaam jukwaa la MMU
Ni kweli mtoa mada kaongea kishamba kwamba wasipewe simu kubwa ila mimi niko naye bega kwa bega kwa sababu hizi.
1. Hawa wa kutokea kolomije wa darasa la saba sio lazima...
Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida?
Nimeuliza watu wa karibu wamekuja na majibu tata, eti kuwa uyaone (sentensi ninayoichukia kushinda zote duniani).
Ninavyofahamu...
Hello wakuu,
Nina dogo yupo pale Chuo Kikuu kikongwe nchini, sasa na hii sikukuu dogo kafika nyumbani kwangu katika maongezi akanionyesha picha, nikahamaki, akaniambia huyu dada amekuwa...
Hivi kuna haja ya kulipatia heshima tendo la ndoa baada ya kuoana? Mlio tayari kwenye ndoa tujuzeni japo kwa ufupi kuhusiana na uhai wa tendo kabla na baada ya ndoa. Ile mikunjano, mibebano na...
Habari za jumapili wana jf,, mnamo siku ya jana mpenz wangu aliniomba ela kwaajili ya kiingilio cha FIESTA hivi leo.
Pesa nilikuanayo lakini sikuwa tayari kutoa kiwango hicho kwaajili ya...
Nikiwa naelekea kula usiku huu wa sa 1,ghafla ikanipita gari aina ya V8 mpya hivi ikielekea njia ya hostel, muda narudi nikashuhudia yule msichana white mkali akifungua mlango wa V8 na kuingia...
Uzuri Mimi pamoja na ulevi wangu nimekaa na mwanamke zaidi ya miaka miwili sijui labda kwa sababu alikuwa mdogo ama alinipenda sana ila kila mwaka wenye siku 365 za mwaka nimegonga zaid ya siku...
Ninachofahamu ni kwamba maandalizi ni kwa ajili ya kutafuta utelezi.
Sasa mwanamke mjamzito, kwa uzoefu wangu, huwa utelezi upo muda wote (unatokea naturally kama maandalizi ya kuja kwa mtoto)...
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu...
Mjini mimi sio mwenyeji sana na wala sio mgeni pia, siyo chini ya mara tatu katika sehemu tofauti tofauti nikiwa kwenye mishemishe zangu nakutana na mwanamke [sio mmama] akiwa na mtoto, mtoto...
Kuna utafiti nimeufanya miaka ya hivi karibuni watu wengi wamekuwa wakiwachukia ndugu za waliofanikiwa.
Yaani ukikaa na mtu ukimsikiliza utamsikia katika story au maongezi yamejaa chuki na hasira...
Salamu, Mnakua katika penzi zito lakini kusalimia na kupiga simu unaanza wewe kila siku. Yani yeye hakutafuti mpaka awe na shida.
Ukiona simu yake inakuwa ni ya baby nikuambie kitu!! Tambua...
Hello,
Leo nimeamka nimewaza na kuwazua na walla sijapata jibu.
Kwanini kitendo tunachokiita mapenzi kufanyana kimekuwa kina nguvu sana kuliko kitu chochote kile duniani.
Imeonekana ni Dhambi...
1. Ukiona muda mrefu umepita au mwanamke ambaye huwa hana kawaida ya kukutafuta amekutafuta. Ujue kinachofuata baada ya DEAR MAMBO, I MISS YOU. ni kuombwa Pesa. Ujue atakueleza shida flani kapata...
Kuna hii kasumba kwamba mwanamke akifunguka kwa mwanaume kwamba amemuelewa; basi labda atajishushia heshima; kwetu sisi wanaume (sio wavulana), kasumba hii haina ukweli hata kidogo.
Nimeandika...
Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu.
Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki...
Kwa kawaida, wanaume wengi wanapenda kuoa mabinti wenye umri mdogo. Ndio maana wanawake wengi wenye umri mkubwa wanapigania ndoa zao kuliko wanaume. Na wanawake wengi wasio na waume ambao...
SIKU YA KWANZA HONEY MOON!
Katika umri wangu wote wa miaka 30 sikuwahi kutembea na mwanamke zaidi ya kuota kwenye ndoto, Ukiachana na tabia yangu ya kuangalia video za ngono pamoja na kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.