Kwakweli kama kuna kitu ambacho ni kero ya mazoea ya wafanyakazi katika ofisi, yani kama mimi ofisini utakuta mtu anakuita beb, mara amekukumbatia, mwingine anakushika shika tuu...
Jamani najua...
Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe
Asanteni
Mwanamke bana kabla hujamuoa bana mtaenda nae sawa kwa kila jambo atakuheshimu bila kukuletea jeuri yeyote ile
Ila ikitokea mmefunga ndoa tuu pale ndo jeuri ya mwanamke inapoanzia yaani kama...
Nitampa heshima yake na kumhudumia kadri ya uwezo wangu ila akiringa tu mbele zangu biashara imeisha.
Wife analijua hili na anaishi na Mimi kwa umakini mkubwa.
Mtu anayeitwa mwanamke hawezi...
Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana.
Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3...
Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke...
Kumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za...
Nipeni maua yangu mimi ndo mbongo wa kwanza kugundua kwamba mademu zetu hawa wa hovyo walioshindikana wana stress za kudaiwa kodi na mara nyingi huwa ni 60000 wanazonitajia.
Kwa siku ya leo tu...
Mi sio mwanasheria ila najua hakimu hapaswi kusikiliza shauri ambalo ana maslahi binafsi. Lakini uyu hakimu wa mahakama ya mwanzo kihonda (mheshimiwa J) aliamua kuweka kando maadili ya kazi na...
Habari wana JF!
Hivi mdada kuolewa kabla ya dada yake kuna shida yeyote??
Maana wadada wengi huwa hawataki ikiwa dada yao alietangulia hajaolewa.
Kwahiyo kama dada haeleweki ndo mdogo mtu...
Nina sababu chache kudhibitisha hili;
1 Baadhi ya wanaume wapo tayari kuwa na mahusiano na Mwanamke wa aina yeyote Ile; Mwanamke mwenye tatoo mwili mzima, mwanamke aliyelala na wanaume weeeeengi...
Habari wana MMU,
Muda si mrefu uliopita nilikua nimekutana na mpenzi wangu katika harakati zangu za kujiona kiasi gani nipo fiti tangu niache puli.
Tulianza kuandaana kama kawaida lakini nikiri...
Habari za zenu wana MMU,
Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito...
Hi everyone. Natumaini your Monday is Mondaying[emoji4][emoji4].
Cool...Nina swali hapa naombeni mnijibu na tujadili kwa pamoja.
Wanaume Huwa mnamaanisha nini mkiwaambia wapenzi/ wake zenu "una...
Tukiwakataza vijana wasichukulie mapenzi serious hawaelewi.
Huko Dodoma kijana mmoja kamchinja mpenzi wake na kisha kujichoma kisu tumboni na kufariki sababu ikiwa ni wivu wa mapenzi.
Kijana...
Mwanzoni unapoanza kutumia pombe na kutoka na wanawake inaonekana ni tabia kama ya kujipooza mwili na kustarehe lakini baadaye unapoamua kuoa na kutulia biIla kutumia pombe au kutoka na wanawake...
Msinichoke kwa post za kila mara.... Napenda sana kuandika...!!!!
Mimba za bahati mbaya ninazozungumzia sio zile watu wanaosingizia kuwa iliingia kwa bahati mbaya HAPANA... Mkishavuliana nguo na...
Nimeshangaa sana hii ishu na huenda ndio maana wamarekani huwa wanalia sana ukiendekeza wanawake unafilisika.
Yaani kununua dada poa ni dola 300 (Tshs laki 7 na nusu), ukiomba upunguziwe na...
Mungu wetu alipokuwa akimtafuta Adamu aliiita kwa sauti kuu Adamu uko wapi? Ukisoma vizuri utagundua kuwa swali hili lilikuwa la kijiografia(a geographical question on location) cha ajabu Adamu...
Anyo-Ashi-Mikaaa!
Leo katika kupitia pitia baadhi ya documents zangu, nikawa nasoma quotation moja kutoka kwa intellectual mmoja.
Ikanikumbusha ujumbe na AMRI kutoka kwa Mtume Paulo iliyokataza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.