Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hello Twende kiwikiendiii... Mapenzi yalikufanyia nini hadi ukayaona hayana maana? Nilianzisha saving acc. na mwanamke ilipofika 5M hata sijui alienda wapi yule mwanamke! Kinachoniuma zaidi...
53 Reactions
149 Replies
11K Views
Salamu jamii, Tunazaliwa tunakutana na taratibu za jamii na za mungu. Pamoja na vijembe vya wanaume desperate na wenye chuki za kitoto na za kimaskini. Nawaambia kweli iliyo kweli, ukipata...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari za Majukumu wanajukwaa..... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa. Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na...
25 Reactions
129 Replies
45K Views
Habar za asubuhi wana J/Forums. Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada...
34 Reactions
269 Replies
19K Views
Kwa mnaoishi Wilaya ya Same mjini maeneo Gani ya kujidai nna ziara ya week 2 hapo nipate ata mwenyeji wakunifariji wa kike tupeane connection.
0 Reactions
4 Replies
601 Views
Kwema Humu? Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito. Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada...
25 Reactions
206 Replies
11K Views
Jaman wanaume mnaitwa huku Mmemtumia dada WA watu alafu mkamuoa Mlipomuoa mkaenda kumweka aishi shamba Kwani wakati mnamtumia mlitumia akiwa shamba au unaona alikaa mjini wenzio watafaidi...
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Nmetoka kuandika uzi flani kuhusiana na mwanamke mmoja anapenda kufanya mambo ya kishenzi.kuna mtu akagusia juu ya member ambaye ameamua kuanika kuwa ni mwathirika. Haraka nikaenda tafuta huo...
72 Reactions
426 Replies
53K Views
Kumekucha Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa "Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA Haina ex anaemsumbua Madeni...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Hii ni tabia ya wanawake wengi kama sio wote kuwaona wanaume kama takataka Fulani.Nachoshukuru Mungu ni kuwa wanaume hatuna hii tabia. Usipopendwa kubali usijishushie heshima kama mwanaume kisa...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
Nilikutana na huyu Bibie kupitia mtandaoni yaan nyie mnaita social network nikapiga vocal dogo hakupangua , hiyo ilikuwa January. Baada ya zile vocal dogo akaonyesha ushirikiano wa kiwango cha...
14 Reactions
51 Replies
3K Views
Katika maisha, tunakutana na Watu wapya wenye Tabia na sifa mbalimbali ambazo kwa namna moja ama nyingine huweza kuleta mabadiliko katika maisha yetu, aidha katika hali chanya au hali hasi. Hivyo...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Usijesema sijakwambia, kama mahusiano yenu ni ya mbali na kila ukimtaka mama nanilii ukufollow myajenge anakuwa hakuelewi na muda sana umepita sasa, ila ghafla anakuambia anataka kuja iwe mvua iwe...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Kama mwanaume utahitaji show utoe hamu zako na hauna bajeti nzuri gharama ya chini kabisa ni Tsh 30000-50000 kwa raundi 3. Jijini Dar gharama ya kupata ngono haizidi 15000 kwa raundi 3
16 Reactions
105 Replies
8K Views
Habari za humu jukwaani! Natumani wazima. Naomba ushauri wenu juu ya hili maana linanitesa sana. Kuna manzi namuelewa sana. Nina malengo ya kutengeneza familia na yeye maana ana sifa za mke...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kulingana na namna ndoa ilivyo watu hufunga na kupewa cheti kabla ya mtihani na kuingia katika masomo yenyewe. Hapo ndio wengine huona utamu wa...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
Wadau wa jamii naomba kujua hili, Je, ni sahihi kumwambia partner wako kwamba una zawadi ambayo alikupatia ex wako? Hii taarifa ni sahihi kushare na partner wako au ni bora kukaa kimya au...
3 Reactions
103 Replies
3K Views
Tuachane na shughuli kitandan tuongelee makazi (Geto) Kuna kadada kamoja nlidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hiv alafu huna hata mke" Tupeane maujanja ni Vitu gan...
16 Reactions
154 Replies
46K Views
mtoto wa kike akishachagua maisha yake huwez kumbadilisha na wala usisumbuke 1. Huwezi kumbadilisha mdada anayejiuza 2. Huwezi kumbadilisha Mtu anayetumia Madawa yakulevya 3. Huwezi kumbadilisha...
7 Reactions
11 Replies
685 Views
Mwanafunzi wa kidato cha tatu wilayani Arumeru mkoani Arusha mwenye umri wa miaka 15 ambaye alitoroka nyumbani kwao kwa zaidi ya siku 30, amerejea akiwa na ujauzito na kudai amefukuzwa na fundi...
35 Reactions
161 Replies
7K Views
Back
Top Bottom