Tuwakumbuke wazazi wetu bila kujali walipo au sisi tulipo. 👌
Mzee alipeleka simu yake kwa fundi ikatengenezwe, Fundi akamwambia mzee mbona simu yako hii sio mbovu kabisa, Mzee akamuuliza fundi...
Salaam!
Mie binafsi wakati nipo 20s nilipanga kuwa na watoto 12 maishani mwangu. Kwa sasa nipo na early 40s ila nina watoto 3 na mama amesema imetosha hataki kabisa kusikia tunaongeza mtoto au...
Mwanaume linapokuja swala la SEX hautakiwi kabisa kuwa mvumilivu.
USISIKILIZE maneno ya kijinga kutoka kwa mwanamke kama vile:
• Tufahamiane vizuri kwanza
• Mimi ni mlokole sex ni mpaka niolewe...
Sina mengi ya kusema
Dada zangu mliokomaa hivi majuzi na kufikia hatua ya kuwa watu wazima nawaombeni Sana mjitunze msijihusishe na mapenzi yasiyokuwa na umuhimu wowote.Hakuna madhara yoyote...
Mimi ni kijana, miaka 27. Ninaishi na kufanya kazi mkoani nyanda za juu kusini huku. Nina kazi nzuri na vibiashara vya hapa na pale vya kuniweka mjini. Nilikua na malengo mengi sana na swala la...
Wakuu habari zenu,
Inawezekana hili ni jambo ambalo linaonekana kama ni gumu sana, lakini nisiwe mnafiki, maisha yangu yote sijawahi kuuonja upendo wa mama.
Nyumbani tuko wa tano, mimi ni wa...
How much of an age gap in a relationship is too much?
Age gaps in relationships have been a topic of curiosity and discussion for ages. People often wonder how much of an age difference is too...
Wanajukwaa habari zenu,
Kuna jambo nahitaji msaada wenu, mimi weeknd hii nina kwenda kutoa mahari ya kumchumbua binti X ndugu zangu wote muhim watakwepo, sasa nawaza kumvalisha na pete kabisa...
Hizi ni nyuzi special kuelezea akili za mtu mweusi, naanzia hapa.
Akili za mtu mweusi season1.
ep 01 :
Kuchangishana pesa kwenye raha binafsi za watu( hizi wanaita sherehe za harusi, ubatizo...
kama kichwa cha habari tajwa
nilikua na mahusiano na mke wa mtu aliye mkimbia mume miez kadhaa sasa bhana na mimi kanikimbia karudi kwa mume wake
sasa kila nawaza kumtoa kichwani hatoki...
PSYCHOLOGY: SAIKOLOJIA ISHARA 7 KUWA MKEO ANAHITAJI UMSIKILIZE
Wakati fulani kitu pekee ambacho mwanamke anakihitaji ni mtu wa kumsikiliza. Njia maridhawa ya kumsaidia mkeo katika
matatizo yake...
Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini.
Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa...
Wakuu,
Sina haja na mwanamke anayehisi ananivumilia, sihitaji kuonewa huruma na mwanamke
Nataka mwanamke ambaye kama sio kunipenda mimi na leo yangu basi awe ameiona potential kwenye kesho yangu...
Habari za wakati huu ndugu zangu
Hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na mabinti wawili kwa wakati mmoja ikabidi nianze kuwafukuzia sana ili atakae jaa nichomoke naye kimaisha.
Binti mmoja alikua...
Kwa kiasi kikubwa hili jambo, kimsingi limepitwa na wakati.
Watu kuumizana kihisia,wengine kupoteza maisha.
Kuna gharama ya fedha na muda katika jambo hili.
Wengine huingiamo kwa ajili ya...
Usikate tamaa kwenye maisha hata kama unapitia magumu kiasi gani, simama tena jikaze na songambele, usiogope kuanza upya haya matatizo unayopitia leo ipo siku yatakuwa ni kama historia. Usimkufuru...
Kwakweli kwa tamaduni zetu hili suala limekuwa likifumbiwa macho na la kukwepa, ila angalau zamani tunapobalehe wavulana tulienda jandoni na dada zetu walienda kufundwa unyango, kwa sasa wavulana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.