Jamani nyie! Kwanza naipenda hii platform kwasababu ya anonymity feature!
Ila kwanini wanaume ni heartless sana? Inakuaje unamtafuta mwanamke miaka kama minne straight pale anapokupa nafasi...
Ndugu zangu hali niliyonayo sasa naona sio nzuri, kama nilivyowaambia hapo kwenye juu kama kutakuwa kuna mwenye mbinu mpya anipe.
Nimekuwa na mwanamke wangu ambaye kiukweli nilidhani mi napenda...
Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini?
Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.
Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya...
Vijana! Nguvu kazi ya taifa letu, watoto wetu, wakwe zetu, madaktari wetu, wanasheria wetu.
Kijana, nakuambia leo hii Jumapili, usipojipenda hakuna wa kukupenda niamini mimi. Huwa nalia machozi...
Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo...
Ndugu zangu nawatakia usiku mwema na poleni na majukumu.
Naombeni ushauri wa mwisho kuhusu huyu binti wa kimeru, nimuoe au niachane naye..
Nimeingiwa na hofu na woga kuhusu hili kabila kutokana...
Habarini wakubwa kwa dogo, poleni kwa miahangaiko ya usiku na mchana rejea head hapo juu kitaa huwa hawakosekani mademu kama hao unakuta jamaa wanakwambia unamchek huyo demu maji kijiko kimoja tu...
Habari zenu,
Mara nyingi ninapokuwa naperuzi YouTube kuangalia videos mbalimbali nimekuwa nikikutana na videos za ajabu ajabu, videos ambazo mara nyingi huwahusu wanawake ambao huwa wanatoa...
Chakula cha usiku ni kitamu na si tu kwamba ni kitamu bali kinamchango mkubwa kwenye kuimarisha mahusiano na kutatua migogoro midogomidogo kwenye familia.
Ila wakati wa kujipatia mlo huu ni...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku...
Kuna mtu mmoja hivi kampenda rafiki yangu, hawajafanya lolote ila shida ni mke wa jamaa alikufa kwa ajali ya gari sasa huyo dada yupo njia panda anaogopa kama kitamtokea kama kilivyomtokea yule...
Niaje mabibi na mabwana
Kuna manzi angu imezoea sana kunipiga picha tukiwa faragha licha ya kuikataza na kuionya mara kadhaa ila imekuwa ikirudia sana iko kitendo kiasi cha kunifanya nishtuke...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Msione niko kimya mkajua ma story hakuna, yapooo teleee! Mambo ni hiviiiiii! Napata ma story nawakumbukaje wapendaa ubuyuuuu. Napata mastory matamu matamuuu!
Sababu...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
1.Binti akiwa Mzuri tambua kachukua uzuri wa mama yake.
2.Binti akiwa Mang'aa(Maliar) tambua karithi umang'aa kwa Mama yake.
3.Binti akiwa...
Habari za wakati huu ni mbaya sana kwani mwezenu sijalala usiku kucha kazi ni kulewa tuu.
Nilimfukuzia fukunzia sana mwanamke mmoja na kufanikiwa kumnasa katika nyavu zangu.
Mtoto anaingia king...
Ilikuwa mwaka jana mwezi wa 5.
Binti mmoja karibu na home alichumbiwa na kijana mmoja aliyekuwa mpenziwe kwa miaka 2 hivi.
Baada ya kulipa mahari taratibu za ndoa zikaanza, sasa siku moja...
UZURI WA MWANAMKE HUWEZI KUUONA SIKU YA KWANZA, MACHO HUDANGANYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sisi wanaume kisaikolojia tunapomuona Mwanamke Kwa mara ya Kwanza, macho yetu hutuonyesha kama...
Jana niliweka uzi wa kuomba ushauri hapa kuhusu mtu alienipenda halafu kanizidi umri, ndugu jamaa na marafiki wakasema yao humu kuna walioniita mjinga, walionitukana na wakanisema vibaya ndgu...
Habari wanajf
Unajua Mungu kamuumba Mwanamke nakawaekea silaha kubwa sana, Mwanamke akitumia hizo silaha anaweza kuwin moyo wa mwanaume kirahisi kabisa na Mwanaume kumtii yeye huna haja hata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.