Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani.
Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu.
Sio...
Naomba niende madani moja kwa moja!
Sikuijua hali hii mpaka siku moja dada mmoja aliponikaribia na kuhisi joto mno.
Tukapeana mikono akashangaa mno mwili wangu una joto.
Mbali na wakati huo pia...
Habari wana jamvi wenzangu. Leo nitazungumazia juu ya aina ya wanawake ambao wanaume wengi hupendelea kuoa.
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke...
Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni.
Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza...
Habari wakuu,
Husikia na kichwa cha habari,
Nimeona niwashirikishe jambo hili wakuu ili niweze kujua ni zipi changamoto ambazo zinawasibu wanawake wanaolewa kwenye familia za kishua.
Imekuwa ni...
Nina dogo anafunga ndoa Jumamosi, anatafuta sehemu tulivu
1. Ya usiku wa harusi, ambayo inatakiwa kuwa hapa mjini kabisa.
2. Ya kuspend like 4 to 5 days baada ya usiku wa harusi akiwa na mke...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,
Nikiwa kahama nilifanikiwa kukutana na mfanya biashara mwenzangu yeye amejikita zaidi kwenye Madini, katika kuzungumza ikafika usiku mimi nikamwambia ndugu...
Wakati watendo huwa analibeba tumbo langu.
Kwa sasa kaniambia niende gym na ameshaanza kuniamsha saa kumi kila siku alfajiri nifanye mazoezi
Ni hivi kila nikimueka doggy au kifo cha mende ni...
Habari za Leo
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nimeoa na kubahatika kupata watoto wawili.
Nimeoa takribani miaka 6 iliyopita na mke wangu nilimtoa kijijini kutokana na hali yangu ya uchumi...
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma...
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike, sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu...
Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia.
Okey...
Kwema Wakuu!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hakika ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
Baada ya tangazo LA ajabu la kubuniwa Kwa ma-Robot ya kike yenye mvuto WA kimapenzi, kumbe MKE wangu...
Hope mpo salama,
Niende straight kuhusu mwanamke ambaye niko naye kimahusiano.
Mwanamke huyu ananishangaza saana,
Kwanza nilishamwambia mimi sina mpango wa kumuoa wa kuoa karibuni coz siamini...
Mi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma...
Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa.
Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana...
Wenye pesa na wasio na pesa tatizo sio nguvu za kiume bali umechoka au kumzoea uliyekuwa naye.
Ukichepuka unakuwa na nguvu mara ya kwanza na mwisho wa siku unabaki kama kupunguza hamu.
Wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.