Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kijana Aliyeachwa na Mpenzi User Andika stori ya kuhuzunisha kuhusu kijana aliye achwa na mpenziwake anayeita devota ChatGPT Kulikuwa na kijana aliyejulikana kwa jina la Adamu ambaye alikuwa na...
0 Reactions
2 Replies
927 Views
mliowahi kuitumia kwa kuogeshana mtupe uzoefu hapa zinaongeza ashki ? zina maajabu yapi mengine ? na
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hili suala nilikua nalisikia tu lakini sasa niko asilimia nyingi kuamini kua kuna wanawake ukiwanao au ukikutana nao wanakua na bahati sana. Kuna mdada kila tukikutana baada ya hapo nitapata...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanashiriki kupoteza ufahamu wa kimwili au akili wapenzi wao kupitia waganga wa kienyeji. Wanawake wamekuwa wepesi sana kwenda kwa waganga...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii nawakumbusha wanaume wenzangu waliooa kua watendeeni wanawake zenu mema, nikimaanisha kuwajali. Msidhani mliwaokota vichakani, mliwatoa mikononi mwa watu, labda kama umeoa bikra ila kama mkeo...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna wanaume wana tabia ya kusomesha wanawake/vibinti ambao hawajawaoa, kwa kuwalipia ada ya shule au chuo na gharama za makazi/malazi. Yani ukisikia kuchambia sime ndo hii
1 Reactions
8 Replies
683 Views
Natumaini mko poa Kiukweli wakat nakua kua nilikuwa nawaona watu wako pamoja nikawa nahis mambo ni rahis sana huko ndoani Kiukweli hali ni mbaya sana na ndoa nyingi za umri wetu zinapumulia...
59 Reactions
184 Replies
8K Views
Nasikia Masela Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ile ya Bundesliga ( Ka:zi Kazi tupu ) na Wanaume wale Wakishua ( Mabrazameni ) Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ya Primera la Ligi ( ya...
6 Reactions
19 Replies
860 Views
Wana jamvi kama title inavyojieleza, karibuni jukwaani tujumuike kwa story za hapa na pale. Kufungulia jukwaa naomba nianze na swali kwenu, hivi kwanini siku hizi warembo wengi wanaosoma vyuo...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Hello, Unafanya nini ukiyakinai Mapenzi? Kiukweli kuna majukumu yakibana mapenzi yanakuwa sio kipaumbele tena. Yaani mama wa mjengo akikupa unachomeka tu no romance, no sweet sms like first...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo na baalia wangu hapa tunapata vyombo Kwa baa ya Juliana🔥 Ananipa Stori kuwa amempata mrembo mmoja anaitwa Manka😂😂😂 Nikampongeza maana jamaa amekaa muda mrefu (Miaka 2) bila kuwa na demu...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Nina rafiki yangu kwasasa ametimiza miaka 25 lakini wadogo zake wameolewa ambao ni watoto wa mjomba ake sasa yeye kwa sasa anafanya kazi hizi za kujitolea katika shirika X kwahiyo kuna muda anakua...
7 Reactions
128 Replies
5K Views
CHAPTER 1 " I can't believe that Mark married that fatty bitch .. how could he?!, after all that we've been thru he chose her!? That sun of a bit, huku anagonga meza, kwanza Mwanamke mwenyewe...
17 Reactions
437 Replies
55K Views
Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha. Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila...
27 Reactions
118 Replies
5K Views
Kwa kweli hawa watu inabidi tuwape tu maua yao ikibidi hata sanamu wachongewe tu! Imagine majukumu wanayobeba: Kutunza kiumbe tumboni Kulea familia (watoto na baba yao) Kuweka sawa mazingira ya...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
nilikua nikieperuzi peruzi humu nikana kuna mtu anatafuta mume mtu mzima akanikumbusha mbali sana kwenye moja wapo ya kisa nilichokutana nacho, ilikua hivi nilitokea kupata danga la kizee, ni mtu...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Me bado nashangaa 🙄 Demu unatumiwa SMS au unapigiwa na namba ambayo huijui na mwanaume, Anakueleza shida yake kuwa amekupenda, alikuona mahali, amekufuatilia mpaka amepata namba yako ya simu...
20 Reactions
113 Replies
12K Views
"Ukiona unatongozwa Sana ujue wewe NI rahisi, cheap Wazuri hawatongozwi ovyo au Kila mara, Kwanza hawapatikani jitahidi na ukiwapata hawatongozeki" Sio maneno yangu ni ya Dr Mwaka, msikilize kwa...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi? Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Jana usiku, a bunch of single friends of mine gathered at home, aged 32 - 35! Wakawa wanalalamika, sikuhizi hamna wanaume kabisa, wamekuwa single for 3 yrs, na inawaumiza sana Friend 1: MP...
3 Reactions
69 Replies
45K Views
Back
Top Bottom