Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Binadamu ni kama maua, hukua, huchanua na hata hunyauka. Na kama binadamu nina amini hakuna aliye kamilika. Je, ni tabia zako zipi ambazo mtoto au watoto wako waki zirithi? Zinaweza kuwasaidia au...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Palikuwa na kijana mmoja aliekuwa na mpenzi wake, wapenzi hawa wawili walipendana sana. Walipendana mno kiasi kwamba hakuna mfano wa kuelezea juu ya upendo wao. Basi siku moja mwanaume alipata...
4 Reactions
2 Replies
993 Views
Bila salamu hiyo.. Mabinti hubaki kuzurura tu baada ya kuzaa. No direction of life hubaki nyumbani tu kama Volunteer House girl. Hawa nazungumzia wale mabinti wanaomaliza la saba na kidato cha...
0 Reactions
1 Replies
555 Views
Hatua ya kubalehe ni mbaya kama usipokuwa na mshauri au uangalizi wa mzazi na kupitia ndoto nyevu na zile nyege za kubalehe wengi wamezama humo kwenye NYETO na mpk leo hii wengine wameshindwa kuoa...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
Ni muhimu kumsikiliza mwanamke wako kwa makini, hata kama unaona anaongea maneno yasiyo na maana au anajieleza kwa njia ambayo haieleweki kwa urahisi. Kila mtu anastahili kuheshimiwa na...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mwanamke fulani ambaye nilipendana naye sana. Mwaka 2016 mpaka 2020 penzi letu likafa kutokana na migogoro ya hapa na pale, wote tukaamua kuachana ili kila mtu abaki na amani na atafute mtu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Vip hii kitu ishawai kukutokea.. binafsi imenitokea mara 3 kwa wanawake tofaut tofaut na mpaka leo sijui kwa nin inakua ivo. Ni ivi unakuta demu umemkosea na ukiangalia kweli haujamtendea haki...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini...
12 Reactions
187 Replies
38K Views
Signed Out
30 Reactions
176 Replies
9K Views
Habari ya asubuhi ndugu zangu. Mimi ni kijana wenu mwenye umri wa miaka 30+, sijaoa wala sina familia na pia sina mwanamke yeyote wa kudumu,nakuja hapa kuomba kwenu ushauri wa kina juu ya haya...
9 Reactions
138 Replies
7K Views
Na kama kuna kanisa linavunja ndoa nje ya hizo sababu basi ni wazi hawaheshimu dini yao. Huko mahakamani kumekuwa kimbilio la kwaristo wengi kuvunja ndoa kwa sababu zingine kabisa nje ya hizo...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna kisa nimekisikia Leo, Mdada mmoja ameamua kuachana na mpenzi wake ambae wamekuwa kwenye date for six years Na sababu ya kumuacha man wake ni because ex wa mdada kamwambia kama hatomuacha...
2 Reactions
12 Replies
747 Views
Habari, [emoji24][emoji24]Hapa nipo na majonzi, baada ya Madikteta Moderators kufuta Uzi wangu bila sababu ya msingi. Any way najua Moderators wana wivu tuu, jinsi mzee ninavyofaidi. Twende...
11 Reactions
63 Replies
17K Views
Utamu wa mapenzi ni miguno. Narudia tena, miguno. Na sio miguno tu, bali migugumio. Hapa unaeza mwaga hadi ubongo. Yaani mwanamke wa namna hii hata akikwambia, "Baby tuuze kiwanja chenu cha...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Bonjour, Nyie wazoefu wa kudate na hivi vitoto vya miaka 20s nipeni experience basi. Maana kuna kitoto kimoja cha Kisukuma nimekielewa kinoma, yaani huniambii kitu, dah! Naogopa asije akanipiga...
11 Reactions
59 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu.. katika pitapita za huku na kule niliopoa binti wa miaka 24 mlokole sana na mwimba kwaya, mtoto smart hasa rangi ya andazi na akili zake zinachaji kweli kweli...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mausiano ya kimapenzi ila nahisi sasa hivi hanipendi, ila zamani alikuwa ananipenda sana. Kunitafuta ananitafuta ila hana stori nyingi kama zamani, hataki kuchat sana...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Mda umefika nahitaji kuweka jiko ndani ila Katika haya yote nataka niwe na usiri mkubwa sanaa juu ya mm na mke wangu kwenye swala la mahusiano, nitamuweka mbali na mji ninaofanyia kazi ila sitaki...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Yani mtu mmeanza kuchati tu ghafla umeshaitwa "My" na invoice juu. Hivi hawa viumbe wanatuchukuliaje? Nilichokifanya nimempa block tu, sitaki ujinga.
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom