Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari.. Katika okota okota zangu za wanawake kama ilivyo jadi yangu ya kufurahisha nafsi na watoto wazuri, week kadhaa niliangukia kwa binti mmoja kiumri anaonekana mdogo sana. Nilimlagai kwa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni mwanachuo, na ni kijana wa umri wa wastani tu. Nilikutana na msichana mrembo tu hapa chuoni. Kiukweli tulianza kuwa marafiki na most of the times urafiki wetu uliunganishwa...
8 Reactions
100 Replies
5K Views
Be Honest. Kwenye Maisha ya mapenzi kuna yoyote yule ameshawahi kukupigania kwa lolote lile. Au wewe bora lieende. Nakumbuka kuna mwanamke wangu mmoja alinipa Laki 5 zamani izo nifungue...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna muda nilikuwa nikikaa peke yangu najihisi huzuni sana, na nilikuwa sijui huzuni inatoka wapi. Au kuna muda mwingine nikiwa peke yangu najihisi kutaka kulia, kuna mwanamke miaka miwili...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari, Mkee wangu mdogo anatimiza mwaka mwingine hapo kesho. Nataka wimbo vijana mnajua, nimeamua nije niulize jina lake waimba hivi ooooru maaa laaaaa. Ni wimbo mzuri nataka nimsuprise hapo...
4 Reactions
14 Replies
836 Views
Mimi namjibu kama ifuatavyo. Fanya kama mchezo wa kombolela Mwanamume anadokoa kidogo unakimbia sebuleni akikushika anadokoa tena unaponyoka unaludi chumbani anadokoa hakikisha kilA Akidokoa...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Wazazi naomba tuongee kwa dakika 5 tu… Sisi Tumechoka sana Tukija kuwatembelea makwenu Iwe kipindi cha matatizo Au matembezi ya kawaida, ila Naomba Niongelee sisi ambao tunaofikia makwenu Kuja...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Ndugu zangu.. Habari za wakati huu Mimi kijana wenu umri miaka 30+, sijaona na wala sina mpenzi maalumu wa kuja kunipikia hata mara mojamoja, Nimekua kijana mtiifu sana wa kula katika magenge...
0 Reactions
5 Replies
972 Views
Ni hivi, Tangu tar 25 June niliachwa rasmi Tena kwa karaha na kublockiwa namba zote kila mtu ashike 50 zake NIKAKUBALI MATOKEO. Leo jioni Nashangaa simu zake nyng ananipigia ila SIJAPOKEA HATA...
16 Reactions
148 Replies
10K Views
Wakuu Ijumaa usku nmewasili kwa mpenz wangu, nmeacha simu chaji sebleni, Tumewasha mziki mkubwa Kisha tukaelekea chumbani KUFANYA ya KUFANYA. Baada ya mapumziko ya kipind Cha Kwanza, kainuka...
13 Reactions
227 Replies
8K Views
Jaman nilikuwa na ziara ya kikazi mkoa wa manyara, nimezunguka Mbulu, Haydom, Babati, Karatu na vijiji vingne kama dongobesh, bashay, labay, mto wa mbu, masqaroda, dareda, magugu, bashnet, tumati...
5 Reactions
62 Replies
36K Views
Habari za mida wana MMU, Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna...
41 Reactions
527 Replies
33K Views
Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano. Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Wakati fulani, wanakijiji wote waliamua kuomba mvua. Siku ya maombi watu wote walikusanyika ila kijana mmoja tu alikuja na mwamvuli. - Hiyo ndiyo Imani. Unapomtupa hewani mtoto wa mwaka...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Je, unaweza kukubali kupigwa mbele ya mkeo au mpenzi wako? [emoji25][emoji855][emoji104]
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Kuna watu huwa wanapitia maumivu makali sana katika ndoa zao na hawana ujasiri wa kuondoka wengine hupigwa mpaka kuvunjwa miguu au kulazwa lakini hawawezi kujiondoa. Leo utajua chanzo na utajua...
7 Reactions
9 Replies
3K Views
Moja kwa Moja kwenye mada;- Mwanaume akipata stress za kuudhiwa na mwenza wake huwa anasikia maumivu makali (kama moto unawaka) katikati ya kifua au chini ya titi la kushoto. Note 1: Hayo...
16 Reactions
94 Replies
4K Views
Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au...
12 Reactions
61 Replies
8K Views
Habarini? Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo...
6 Reactions
86 Replies
4K Views
Dah, inasikitisha sana Ndio maana nilikuwa naona watu wanaagiza wali nyama, wanakula vijiko viwili tu, kisha wanatupa msosi na sahani zake kwa dastibini Kuna binti kaagiziwa kuku rosti mzima na...
26 Reactions
66 Replies
4K Views
Back
Top Bottom