Nimekaa nikakumbuka wakati nikiwa chuo Kuna mdada nilitokea kumuelewa Sana.
Picha linaaza hivi huyu mdada tulisoma wote advance but wakati tukiwa advance sikumconsider sana means tulikuwa...
Habari wakuu
Sina mengi ya kusema nilikuwa nahitaji marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo.
Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22, elimu yangu kidato cha sita, kazi nimeajiriwa...
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea...
Mzee wangu ni moja ya wale wazee ambao ni "typical mkurya"
So katika jamii yetu huku wengi unakuta kijana anaolea nyumbani then baadae ndio anatoka kwenda kujitegemea.
So, kipindi hicho mimi...
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza...
Story za hapa na pale na uzoefu wa maisha, tunashare!
Katika upambanaji dhidi ya umasikini tunafanya kazi mbalimbali. Niko kwenye bus nasafiri, nikakumbuka miaka kadhaa nyuma, nilifanya kazi ya...
Nikiwa kidato Cha sita nilikutana na manzi mmoja mrembo kweli kweli katika story za hapa na pale mwamba nilifanikiwa kuchukua namba za simu
Nilianza kuzoza zoza (kurusha mistari tongozo) lakini...
Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi...
Ndugu ..
Bila ya kupepesa macho
Taka usitake kuitwa "dady" na mwanamke wako ni ishara mbaya sana na ni dalili za wazi kuwa wewe siyo mpenzi wake au mume wake, bali wewe ni baba yake.
Sasa nyie...
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha.
Habari ya leo wakuu
Leo napenda kuwapa kilichotokea kwenye ile thread kuhusu kufanya udukuzi kwenye simu ya mke wangu.
Tujikumbushe kidogo kwa wale ambao hawakupata ile thread. Ni hivi mimi nipo...
Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona.
Siku...
Sijui hii hali kama kuna wengine Ishawahi wakuta, Umri wangu Niko kwenye late 20's miaka ya nyuma nilikua tongoza tongoza, aisee lakini sasa sijui nimekuaje, kama mwaka uliopita nimetongoza mdada...
Vijana wengi mnakimbilia ndoa. Ni jambo jema, ila wengi wenu mkishaingia humo mnasahau malengo yenu katika maisha (career, business/ investment) maisha si kukopa benki na kununua IST/Crown baadae...
Salaam wanajamvi, naombeni ushauri
Mimi ni mwanaume 29, nina mchumba ambaye tumekuwa kwenye mahusiano karibia miezi 8 na wote tunafanya kazi.
Licha ya kuonyesha kuwa ananipenda na kunijali...
1) Huwa tunakosea wapi kwenye kuwaandaa katika swala zima la kuelekea katika kufanya mapenzi?
2) Nyie mnapenda tuwe tunawaandaaje, na nini hamkipendi tukifanye tunapowaandaa?
Yale maneno ya...
Unakijua kisa cha Leyla na Majnun (mapenzi bikra)?
Leyla na Majnun ni kisa maarufu duniani kilichotokea kweli katika Uarabuni, na kwa kisa hiki kimepelekea kutungiwa mashairi mbali mbali duniani...
Habari wana MMU? I got this somewhere!!! Read this grateful story..
I met Thandiwe Zulu in 2005 during a United Church Of Zambia church conference at St Paul's church in Kabwata.
She was one of...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Sio kwamba nimerudi rasmi kwenye hii fani, hapana, i am gone for good. Hii ilikuwaga reserve, katika pita pita zangu katika story zangu nikaikuta hii imebakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.