Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala.
Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu...
Ni swalii ambalo nimekuwa najiuliza mara nyingi na limekuwa likitokea sana wale wanawake ambao unakuwa unanipa ya dhatii na mna mahusiano muda mrefu HATUWAOI na unakuwa KUOA watu tusiotarajia...
Kisa cha kweli nilikuwa na mpenzi ambae kwa tulipenda sana kwa jina lake letina cosmatiko mtoto huyu kaumbia pia mzuri mimi ashampoo huwa napenda mataka mtoto alikuwa nayo nilikutana posta huko...
Ilikuwa siku ya jumaa tatu asubui nipo mbezi stend nikiwa nimewasindikiza ndugu kusafiri baada yausiku wajana kumalizika harusi yamdogo angu'
Baada yakuakikisha kuwa wamesafiri namimi nikasema...
Habariini za Muda Huu! ( MFANO MIMI.....)
Bwana Mimii Nina Ex Zangu Watatu
MMOJA TULIDUMU MIAKA MITATU
MWINGINE MINNE
NA MWINGINE SITA
Ambao Kiukweli Niliwahi Kuwaumiza Sana! Lakini...
Habari zenu wadau, mambo vipi?
Moja kwa moja kwenye mada.
Juzi kati nikiwa katika harakati zangu za kuzunguka sana mikoani kuuza maneno (marketing) kulingana na nature ya kazi nayofanya ili mradi...
Habari za jioni wana jf,
Kwa Takribani muda fulani sasa nimekua nikiona hii changamoto tunayoipata vijana wengi wa kitanzania.
Hii changamoto ni pale tunapotafuta mtu mpya wa kuwa nae katika...
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na...
Uumpende,usijiweze juu yake uumpe raha,umsikilize yeye tu.
Mali zako ni zake
Akili yako ni yake
Ndugu zako ni wako ila ndugu zake ni wake na wako
Benki yako ni yake
Pumzi yako ni yake
Watoto ni...
Mimi bado sijaoa,lakini hupenda kuwauliza watu waliooa na kuolewa hili swali. Cha kushangaza asilimia kubwa ninao wauliza, hunijibu wasinge mchagua mume au mke walienae kwenye ndoa.
Na asilimia...
Hata ukiwa naye kwenye mahusiano we sio namba moja kwake.
Mwanamke ambaye bado anatafuta mwanaume.
Mwanamke wa hivyo atakuumiza kichwa.
Atakua na wewe kwa maslahi fulani tu wala si upendo...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Huwa ni rahisi sana kwa mwanamke anapopata mwanaume au anapotongozwa na mwanaume na kumkubalia kuomba kabla ya tendo la kujamiiana wapime kwanza hasa...
Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania...
Za wakati huu ndugu zangu wa Tz, ni matumaini yangu ulikuwa na week njema kabisa mpaka sasa tunafika weekend, kwa ambao hamjui leo Prince Dube kapiga hat trick huko Chamazi, 😊😊
Leo sina maneno...
Nilikuwa na mahusiano ya mda mrefu na binti mmoja tangu tukiwa masomoni kiasi kwamba mpaka ndugu na wazazi wa pande zote wakayafahamu mahusiano yetu.
Tuliendelea kuwa pamoja hata wakati ambapo...
Habari!
Mwezi wa pili alikuja mtoto wa dada yangu kutoka mkoa wa X kuja Dar kutembea.
Inavyoonyesha alikuwa na lengo la kuja kukaa kwa ndugu yetu (mama mdogo) ila maza mdogo alichomoa mkeka kwa...
Huyo mdada mreembo kama malaika, PISI KALI 🧚🏻♀🧚🏻♀🧚🏻♀ kama hujui historia yake mmekutana kwenye
1.Daladala
2.Ulimpa lift na chombo chako cha usafiri
3.Amekuambia ni mwanachuo hujui chuo...
Nianze kwa kujitambulisha Eeeh Mimi ni kijana wa miaka 28 Nina kil0 93 Naishi dar....Nina Visa vingi katika mahusian0 yangu ya MAPENZI,vingi nishawahi p0st humuhumu...
Nip0 katika nd0a mwaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.