Au pengine hamtaki tena.
Kwa kuwa alikua hapati penzi tangu mwaka jana, akipata mpaka aombe sana…
Mke wake alikua anamkoromea sana, alikua anakuja juu mno…
Alikua anagombana na mke wake kwa vitu...
Jana nimeenda zangu bar moja hapa town, nikiwa pekee yangu nikamwita muhudumu, niletee bia akaleta.
Hapo nikiwa kauzu, nikapiga cha tatu mara nakuta anatia huruma nikamwambia chukua unywe...
Ndoa na Jamii
Je, mbona kuna talaka nyingi siku hizi? Sababu ndio hizi, na kuna nyingi zaidi ambazo hazimo katika orodha hii.
Wakati huo watu wengi huwa na chaguo la kujiondoa mapema kutoka ndoa...
Huyu binti nampenda sana lakini anatabia ya kuongea uongo sanan kuna muda najipa imani kua ataacha lakini baada ya muda yanajirudia.
Shida nyingine hata ukimuuliza ni mgumu ku admit kwamba...
Juzi kati kipindi nagombana na wife kuhusu mambo ya mbususu kiufupi nilikaziwa, kupewa sasa kumbe kipindi tunaongombana na wife, wife kwa mdomo wake mrefu akawa anaongea kwa sauti kiasi kwamba...
Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna...
Mwanamume mmoja ambaye ni mume wa wanawake wengi amewachamba wanaume ambao wameoa mke mmoja tu.
Kaluhana mwenye umri wa miaka 63 anasema wanaume wenye mke mmoja wana akili ndogo sana na hawezi...
Kiufupi ni mwanamke niliempenda Sana. Niliingia gharama kadhaa kama vile saloon, kusomesha wanae, chakula na mahitaji kadhaa ya mavazi na Yale mengine ambayo huwez ukayazingatia kama mwenye jukumu...
Ni wikendi uko kiwanja (zile bar zenye lodge) na mwenzi wako mnapata moja Moto,moja baridi.
Ghafla mnajikuta mnahitaji faragha kutokana na changamoto mbili tatu zilizowakumba haraka haraka kwa...
Sikutaka kusimulia kisa hiki lakini nimepatwa msukumo baada ya jamaa yangu kupatwa na jambo lake la kustaajibisha huko Magu.
Miaka ya nyuma nilikuwa nikifanya biashara ya kuuza kemikali za...
Mlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...
Kwa sasa mko wapi?
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu...
NJIA 10 ZA KUMTAMBUA MWANAMKE ASIYEFAA.
1. Ikiwa mwanamke anapenda kuvaa nguo zinazofunua na kuonyesha viungo vyake vya siri mitaani, katika mazingira ya familia au mkusanyiko wa umma, HUYO...
1. Kujisahau.
Utoto mwingi hukuwi kabisa,
Bado una hasira kama ulivyofanya miaka iliyopita ulipokuwa single.
Bado huwezi kujisahihisha makosa . Bado unakuwa na mahusiano ya nje ya ndoa...
1-hata kama hujui mapenzi yeye HAJUI KWAMBA HUJUI..ukipanda
kama kuku sawa ukicheua dakika 6 sawa ...hana comparison wala
reference...ILA UOE GUBE GUBE looh...Ukishuka tu anampigia Ex Wake simu...
Siongei mengi... vijana acheni kutoa toa hovyo shahawa. Acheni ngono hovyo hovyo wala kupiga punyeto hovyo hovyo.
Tunzeni shahawa!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Nikiwa advance, nilikua na mahusiano na dada wa form 4, nikiri alinipenda, ila mimi sikuchukulia serious mahusiano haya, na mwisho wa siku nilimwambia tuachane kwa sababu ambazo hazikua na msingi...
Nimemtongoza kanikataa kisa eti niliwahi kutoka na mrembo fulani hv ambaye bdae walikuja kuwa marafiki(baada ya kuachana nae). Sasa hapo kuna uhusiano gani jamani?
Mbona anitesa huyu mtoto wa...
Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu.
Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.