Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kama YUSUFU alimlea YESU, Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA. Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu. Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Ndio ni kweli nashindwa kuelewa hii ni hali ya namna gani kwa huyu mwanamke wangu tabia zake naona sio za kawaida natamani kuachana nae lkn nimeshamzoea na inakuwa viguma kiasi flani ndio maana...
10 Reactions
74 Replies
4K Views
Juzi nimemsikia mchungaji mmoja akisema kwa wale mnaoishi maisha ya unyumba ukitaka kujua mkeo ndio rafiki wako mkubwa basi ugua ugonjwa wa kulazwa wa kukaribia kufa au ugonjwa uzidiwe mpaka...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Tukumbushane ili tujue tulipokosea. "mwanaume atakula kwa jasho, mwanamke atazaa kwa uchungu" Aliyesema haya alifocus mbali sana. Habari za; mwanamke awe mchapa kazi, sijuwi mpambanaji, asiwe...
6 Reactions
10 Replies
841 Views
Sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na nguvu. Unahitajika kuwa na nguvu kubwa Ili ukatatute ridhiki, siku hizi maarufu kama hela, ndio ridhiki yanyewe. Ukiwa na nguvu utafanya kazi Kwa umakini na kwa...
2 Reactions
4 Replies
599 Views
Hapo vipi, Kwanza kwa tafsiri ya Kizazi au uzao ni ile hali au hasili ya muendelezo wa watu wenye asili ya damu, sura, umbile, rangi na tabia ya watu wenye asili inayofanana kutoka nyakati na...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa uchungu sana, Kweli wanawake kwa mabinti wanatuambia tutafute hela , ila amini na waambieni wanaume wenzangu ukifika umri wa miaka 30+ utajua hujui yani hutopata mwanamke wa kuendana na umri...
14 Reactions
73 Replies
4K Views
Habarini wa jf natumai mko wazima licha ya hii changamoto ya ugonjwa wa korona 19/21 chamsingi tuendele kujilinda pamoja na familia zetu. Siku ya leo nimeona ni share pamoja nanyi hiki kisa...
28 Reactions
166 Replies
38K Views
Watu wengi wanakuja na polojo zao kuhusu kipimo Cha maisha,Leo mm nakuletea kipimo HALISI Cha maisha ya mafanikio. Tukumbuke Kuna mafanikio ya aina tatu 1.kimwili. 2.kiroho. 3.Kinafsi. 1...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Habarini wakuuu. Mimi kwetu tulizaliwa wengi (8), Ila Kati ya hao nane nina uhakika 100% 3 sio wa ndani ya NDOA. I mean mama alichepuka. Nilipokuja kugundua mama anachepuka Nilikuwa Kama...
37 Reactions
244 Replies
24K Views
Habari za muda huu ndugu zangu Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu, Ndugu zangu mimi ni kijana ambae sijaoa na wala sina mtoto kabisa ila nimevutiwa sana na huyu bi dada anaeitwa financial services...
26 Reactions
458 Replies
14K Views
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada,..miezi kadhaa iliyopita wakt nikiwa katika harakti zangu za utafutaji wa ugali ..nilijikuta niko mkoani ambako nilipanga chumba kwa kuzingatia siku ambazo...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanasema mgeni njoo wenyeji wafaidi. Sina fedha wala dhahabu za kuwafaidisha nazo ila nitawanufaisha kwa kutoa michango mizuri kwa kadiri ya upeo wangu. Nimekua naogopa kuingia kuchangia ila ndo...
25 Reactions
313 Replies
7K Views
Salaam! Katika kusaka faraja murua, juzi kati nilikutana na mdada mmoja hivi murua kabisa. Zoezi la kubadilishana namba likaenda vizuri. Leo asubuhi na mapema kaniomba hela ya chai; nami, kwa...
48 Reactions
133 Replies
6K Views
Habari Wanajamvi Leo naomba niwasilishe mkasa wangu unaonisibu hivi Sasa katika Maisha Yangu....Ndoa...Ndoa..Ndoaaa.. Baada ya kusaka Life Miaka 2 Nyuma na kujihakikishia Uwezo wa Kula kuvaa...
22 Reactions
131 Replies
9K Views
Ilikuwa kama siku ya alhamisi hivi, mwaka juzi; rafiki yangu mmoja akanipigia simu, na kunijulisha ana ujumbe wangu, nikamuuliza ujumbe gani? akasema kuna dada fulani anakutafuta sana, anasema...
4 Reactions
98 Replies
4K Views
Hii ndio tafsiri yake... Kila mtu ana njia tofauti linapokuja suala la ngono lakini je, unajua kwamba uwazi kwenye mapaja yako unaweza pia kusema mengi kuhusu ujuzi wako wa kufanya mapenzi? Jua...
9 Reactions
89 Replies
7K Views
Mwaka Jana wandoa wanaume wanadai wamama wabaya Wakaenda Kwa michepuko, Mwaka huu wamama na shida zao na comments zao na michepuko . At least mna watoto bwana hebu shukeni mtuambie shida nini...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Jumatatu njema kwenu nyote! Huwa nafikiria mengi mno, na hawa kaka zake ni kutoka mkoa ule karibu na Tanga, wilaya ile inayoanza na herufi M na kuishia na herufi E. Hapo kabla kulizuka maneno...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Mmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko poa hivyo tangu niwe nae nimekuwa najitahidi sana...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom