Salaam,
Leo nimeona niwasaidie vijana hasa wenye ndoa sio wahuni.
Pamekua na changamoto za kumfikisha mwananmke kileleni hasa kwa wanandoa na kusababisha wanawake wengi (waliokosa maadili)...
Nahitaji kukutana na single mother yeyote ili tupate pamoja lunch na kumbadilisha mawazo pamoja na kuombeana.
Gharama za lunch ni juu yangu, aliye tayari aje pm tufanye appointment.
Offer hii ni...
Hivi unachukua uamuzi gani baada ya kujua kua mtoto uliemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wakwako? Nini cha kufanya?
Then yule mke wako unamfanyaje kwa mfano?
Wapendwa poleni na majukumu.
Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike...
Jana nilikua Beach nafanya mazoezi ya viungo, wakati naendelea na kujinyoosha nyoosha likaja gari kali aina ya Prado jeusi, kwa speed yake ikanifanya niache nilichokua nafanya niangalie...
Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani.
Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu...
Wakuu kwema?
Mwezi wa 3 mwaka huu nilimpoteza mpenzi wangu, na uzi nilileta hapa
Ilimradi alikufa kipindi tukiwa hatuko sawa kutokana na yeye kunisaliti sasa tulikua tumepanga mengi kama mke na...
Hii ndio Taarifa inayotamba ndani ya masaa 24 yanayoendelea hadi hivi sasa, kwamba Bwana Harusi Godlisten Mmbando, week end hii, ndani ya ukumbi wa Sherehe amemkabidhi Bi Harusi zawadi kabambe...
Helllo,
Kuna watu sijui tupoje, mimi nainjoi mapenzi kiasi kwamba mpenzi au baby mapenzi akinivuruga ujue hapo kibajeti na kipesa ntavurugwa matumizi yanaongezeka ikiwemo kula sana bata, kukesha...
Habari za leo ndugu wana jukwaa,nimekaa hapa natafakari haya maisha ya Karne yetu sijui tunaenda wapi,kuna baadhi ya mambo yanatafakarisha sana hasa nikiwaangalia hawa wanangu na ulimwengu unavyo...
Hiki kisa naeleza hapa ni nyakati zili kwisha kuyoyoma.
tangu enzi za elimu yangu ya msingi nilikuwa natumia mmea wa uzima, yaani kilevi Cha bangi.
hii ni kulingana eneo la jeografia niliyo...
Hakuna kitu kinacho umiza moyo kama kumpenda mwanamke zaidi ya anavyo kupemda. Mwenzenu Mimi nimewahi kumpenda mwanamke mmoja kipindi cha nyuma hapo mpaka nilifikia hatua nisipo muona nyumbani...
Habari za asubuhi ndugu zangu..
Nahitaji kubadilisha godoro nililo nalo kwa sababu linaumiza sana mgongo wakuu inafika mahali unalala inabidi uamke katikati ya usingizi uanze mazoezi ya kunyoosha...
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.
Wenzako hatutaki kufa kwa stress...
Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.
USAFI BINAFSI
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda sana usafi. Ni aghalabu...
Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia...
Wasalaam..
Nimekaa zangu gheto sielewi, mikeka inachanika nikakumbuka siku moja nlikula mbususu kwenye mazingira ya hatari sana.
Ilikua nimetoka club mida ya SAA nane hivi kuna manzi akaniomba...
Nilikuwa sitaki kuingia kwenye huu mjadala wa Nan mwenye akili kati ya mtanzania na mkenya ila Sasa inanilazimu niingie kufungua mjadala huu iliodumu kwa muda mrefu.
Kuna matukio MAWILI yametokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.