"Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini.
Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na...
Habari wana JF,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja binti wa miaka 4. Mtoto akiwa na miezi 3 tulishindwana na baba wa mtoto hivyo nikaondoka kwake, tulikuwa tunaishi pamoja (alinitolea mahari...
Wasalaaaaam....
Wazee mimi naishi na manzi sasa ana mimba yapata miezi saba sasa, ila kinachonitatiza sina mzuka kabisa wa kumgonga mwanamke mwenye mimba. Yaani mimba kubwa tumbo hiiloooooo...
Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again.
Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA"
Iko hivi.....
Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na...
Huwa kuna demu mzuri mitaa ninayoishi nimekuwa nikipata bahati ya kukutana nae huwa kwa bahati mbaya au nzuri nimekuwa nikijikuta nimevaa nguo ileile.
Nina nguo nyingi nzuri tu kama kijana wa...
Wakuuu
Kwanza kabisa hiyo miaka kumi nimeweka kama wastani tu, maana mwingine leo ana miaka 25, naongelea miaka saba iliyopita, yaani wakati ana miaka 18, mwingine leo ana 27, naongelea...
Tumekuwa katika mazingira ambayo tunaambiwa ukimuota unafanya nae mapenzi mwanamke unaetaka kuwa nae kimahusiano au unampenda hutakuja kumla kamwe. Mi nikiangalia kunaviasilimia fulani hivi kuna...
Nimeamua kuacha kazi na kuingia kwenye udalali huku bosi akinisaka na polisi Mbosso alisema mapenzi Gharama? Ufisi Gharama zaiiidi. Hii haikua kwa kupenda kwangu bali ni tamaa ya kupenda Uchi na...
Mida fulan nimetoka kupata huduma Duka jirani hapa.
Sasa wakat natembea Mbele yangu alikuapo Mdada mmoja na wamama wawili wanatembea wakipiga stori
Haka kadada kiumri ana miaka 20-25...
Leo jioni jioni nilikua nimekaa sehemu mtaani kwetu tu hapa,
nimekaa pembeni mwa barabara wakapita wavulana wawili wamebebana kwenye baskeli wanaelekea kushoto, haikupita dakika 2, kuelekea mkono...
"Naomba tu unionee huruma Melki, nioe tu jaman! Fanya hivyo basi, kweli tena!", Alisikika sister mmoja mpole na mwenye macho ya kusinzia, akizungumza kwa uchungu na hisia kali
Nimemuuliza kwanini...
Duuhh wakuu Kila kukicha Kungwi wa Wanawake ana lake jambo !!.
Unaambiwa siku hizi ,wakitaka kukutembelea.
Bamia zinatengenezwaa, Kisha inachujwa ivi , unapatikana ule utelezi wa Bamia.
Baaaasi...
Wakubwa shikamoni, Wadogo hamjambo?
Dadaangu ameolewa mwezi wa 10 mwaka jana alikua mjamzito mimba kubwa tu. Wamehamia mkoa wa mbali anaishi na Bwana wake. Sister alijifungua mwezi wa 3 mwaka...
Jana nilikutana na fundisho kubwa sana kwenye maisha yangu baada ya kukutana na mzee wa bodaboda aliyenipa ushauri mzito utasema alitumwa na Mungu juu yangu.
Mwakyoma: Mzee umemuona yule dada...
Uko kazin?
Upo wapi sahiz?
Umekaa na nani?.
Umekula nn?.
Umelala na nani?
Mnaongea nn?.
Hizo ndio Stori za Bidada wangu Mchepuko wangu madam Fulani Hivi Mwalimu 🤣🤣
Hana Stori kabisa, yeye...
Jana nmeshangaa sana yaani, nmetoka sehemu nikakaa, nikampigia simu mwanamke wangu aje tupate vinywaji kidogo Mimi nilikua nakunywa wine, baada ya nusu saa akaja ila hakuja mwenyewe akaja na...
Katika umri wangu wa kubarehe, nilikua nafanya vitu viwili tu, kusoma na kufanya mazoezi (kucheza mpira) yaani sikujua chochote kuhusu mapenzi.
Ipo hivi! Kuna dada mmoja alinizidi umri tulikua...
Wakuu tupo pamoja.
Mimi hapa nina mwanamke mmoja bwana ana mtoto mmoja ila sio wangu nataka kumuoa, nimeridhia kabisa na nimempenda mwanamke licha ya kuwa na mtoto, ila kipengele kinakuja kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.