Wakuu Leo shemeji yenu amekula kelebu moja matata baada ya kuniletea majibu ya mkato yaliyochanganyika na mzaha wakati ambao mimi ndgu yenu nilikuwa serious.
Mara moja moja kuwakumbusha hawa...
Hakika duniani kuna mambo matamu yenye, raha na ladha, ilikuwa mwaka 2008 pisi moja Kali sana akiuza duka la nduguye baada ya kupita geti kuu la shule ya msingi tandika ukitokea stendi.
Hii pisi...
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua, kuna muda unafika kwa mwanaume unaona kabisa unaitaji kua na Mke ili kuanzisha Familia.
Inafahamika kila mmoja ana vigezo vya mwanamke amtakayae na hua...
Historia inaonyesha mke wa sasa wa Mfalme Charles III wa Uingereza ambaye pia ni Malkia wa nchi hiyo, Camilla Rosemary Shand alikuwa kwenye mahusiano ya siri ya kimapenzi na mfalme huyo kwa...
Wana JF habari,
Samahani mimi nipo katika mahusiano na mpenzi wangu miaka mitatu, sasa kuna tabia anazo ndio huwa zinafanya tunakosana.
Tuliachana tukakaa miezi miwili bila mawasliano...
Hello.
Wanajamii..
Hii ni kwa dhati ya Moyo wangu.. nina penda watoto sana ila sijapata mwanamke mwenye muelekeo wa mke mwema anaye weza kuzaa na kulea mtoto katika maadili.. wengi ninao kutana...
Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far.
Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana...
Jamani msaada wa ushauri,
Kuna dada nimezaa nae lakini cha ajabu na kushangaza nimekuta kadi za clinic za mtoto mbili, pamoja na ya kwangu jumla tatu!
Yaani mtoto yuko na baba watatu, hii...
Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana...
Habari za week-end ni mbaya sana wakuu.
Kwa kweli nime mualika huyu binti nilie kua na mazoea nae ya muda mrefu gheto ila cha kushangaza amenijia chini kavaa chupi na khanga moja tu.
Nimejiuliza...
Ndugu wanajamvi nawasalimu!
Niliwahi kuleta uzi humu kuwa nilimuacha mchumba wangu nilipogundua aliwahi kutoa mimba. Mimba zaidi ya tatu akiwa chuo kikuu. Amefika kufanya fujo nyumbanu last week...
Niseme nisiseme!
Tatizo lenu mnadandia dandia Wanawake hovyohovyo alafu mkija kupigwa za uso mnaanza kutukana Single Mother, Wanawake ni walewale, ukijichanganya wanakufanya kitu mbaya.
Huyu...
Kwenye hoja moja kwa moja.
Mambo si mengi. Hebu tupeane uzoefu wenzangu mnawezaje kutumia condoms na mkafika mshindo chap? Mimi nikitumiaga hiyo mavitu aisee naweza kumchubua mtoto wa watu...
Hello JF,
👇👇👇
Mbuzi kagoma ni style ya ufunuo wa mahaba, chonde tusifanye kwa mazoea, kuna mikao mingi kama 20 ya mbuzi kagoma nawasihi jitahidi unapokuwa unanyanduana usikose angalau mikao...
Mwanaume anaejua (kawatch) hii list yote ya movie za huyu mchina jiwe, Donnie Yen mwenyewe lazima ako na true love.
Muda wa kucheat huwa hatuna, ni wepesi kuridhika na manzi mmoja. Muda wa kuanza...
Wanaume,
-Mwenye kisima hakai foleni kusubiri kuteka maji.
-Epuka kuchumbiana au kulala na mama mwenye mtoto wa mwanaume mwingine.
-Kutoelewana kwao ni kwa muda.
MAANDIKO YANASEMA HIVI...
Hello wana JF!
Kama wewe ni mdada na upo Tanga mjini lets connect,
weekend ni raskazone na tanga beach kwa story za hapa na pale,
kula kushiba usiwaze,
Naomba tupeane location za bata kwa dar
Cha msingi kuwe na kila kitu namaanisha kuwe na kila bata
Popote tutakula bata
Mods kwanini mnafuta uzi kama hapa ni sehemu ya "where we dare to talk...
Hakuna sehemu maalum ya kupata mchumba au mke wa maisha.
Hoja sio hiyo bali ilikuwaje ulipompata mchumba kupitia mtandaoni?
Hasa mlipokubaliana mkutane kwa mara ya kwanza na kumpeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.