Sijui kwanini, ila katika pita pita zako unakutana na mtu ukamwelewa but ukawa huwa mawazo ya kukutana nae kimwili hivi karibuni. ila baada ya muda unaanza kuonekana hauna mapenzi ya kweli au...
Wakuu,
Bila shaka mnamfahamu yule Mchepuko wangu fundi cherehani mwenye mtoto ambae kila Mara nmekua nikimsifia humu kwa heshima,adabu,utii na akili kubwa Sana ya maendeleo.
Huyu mwanamke tangu...
Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau...
Ewe mwanamke ambaye umeolewa na mume bahili wa mapenzi, mumeo hajali hisia zako, kila siku ni kutoelewana ndani ya nyumba kwa sababu ya tabia zake mbovu. Nafsi yako haina utulivu, unatumia nguvu...
Poleni na changamoto za kujikinga na corona,kwa kuzingatia maelekezo ya wataalamu wa afya tutashinda hili janga,na hili nalo litapita.
Naomba nijielekeze kwenye mada,
Nimekaa na hili moyoni kwa...
Habari wakuu!
Mwanamke ni msaidizi wa maisha kwa mwanaume. Ukipata mwanamke bora mwenye sifa za kuwa mke
Basi uwezekano wako wa kutoboa kwenye maisha ni mkubwa. Tupe experience alianza vipi...
Habari wadau wangu wa ukweeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Leo nimeleta kwenu MADA ambayo inahusu kujadiliana hivyo unachangia kile ukionacho wewe na sio kuponda wengine kuhusu Swali hili: JE ELIMU INA...
Huyu binti kalelewa na mama yake pekee yake. Baba yake yupo hajafa ila binti hajawahi kukutana ana kwa ana na baba yake wala katika upande wa baba yake hamjui ndugu yeyote.
Je, kwa scenario kama...
A GIRL IS ONLY RELATIONSHIP MATERIAL IF SHE
1. Has never cheated before
2. Knows how to cook properly
3. Uphold traditional family Values
4. Supports your goals wholeheartedly
5. Learned to...
Kuna watu nawaona hawana akili au ni malimbukeni hivi unaanzaje mwanamke kumnyanyasa dada anaekuesaidia kazi hapo nyumbani kwako (housegirls) mtu ambaye anaingia nyumbani kwako kila sehemu, mtu...
Katika harakati za kutafuta mtu wa kuanza naye maisha naona ugumu sana nimchague nani kwan nina marafiki wa kila aina.
moja, ninaye rafiki msomi sana a lawyer lakini simwelewi mwelewi kwan ni...
Kuna jirani yangu jana aliingia matatizoni na simu kuvunjwa vipande vipande, yaani sisi wanawake sijui tuna matatizo gani?
Yaani unakuta mtu ana mimba halafu anafanya umalaya. Mumewe akiwa kazini...
Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya masuala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira. Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.
Ila...
Hellow Africans
Hivi inakuwaje mwanamke unamgeuza mwanaume kuwa kitega uchumi? Unakuta mwanamke anasema mimi mwanaume simuombi vocha wala nauli mimi namuomba hela kubwa kubwa yaani kidogo 200000...
Wanawake nawakaribisha mtoe neno moja kwa dume lililokutoa bikra, inawezekana bado uko naye au yuko mbali mshaachana naye.
Kupitia uzi huu nimeona siyo busara kuwasahau hawa watu muhimu katika...
Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana...
Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada
Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem wiki tu ameshakubali.
Haya Wiki...
Wakati nimefika ofisini nikakutana na bonge la joka limekaa mezani likanipa ishara niketi chini uku linikitizama.
Nikaketi kitini nalo likatoka mezani na kuketi kwenye sofa huku linanipiga jicho...
Wanawake jifunzeni basi, hata kama mme wako nakushirikisha mara chache kwenye deals zangu za biashara usijiweke uhusika ambao sijakupa. Kuna mwanamke nimezaa nae na anakaa kwenye nyumba yangu huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.