Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara...
Miaka yote sijawahi kujua maana ya amri ya SITA wengi watashangaa sana ila ndio ukweli , .
Lala na mume wako tu tofauti na hapo utapata shida ambazo ndio tunaenda Kwa waganga kutolewa nuksi...
Asili ya mwanamke ni kuharibu mambo.
Asili ya mwanaume ni kuweka vitu pamoja/ kuvifanya viwe vya sawa/kawaida.
Kwaiyo ukiona mwanamke anakufanyia vitu vya ajabu, anachafua mambo, anaharibu...
Habari za majukumu wana JF,
NAHITAJI kupata uhakika na maelekezo juu ya mademu chotara au shombeshombe wa kiarabu nimepata tetesi kua mkoa wa TABORA.
Wanapatikana kwa wingi na maisha yao ni...
Wiki iliyopita nilikutana na mwanamke niliyefahamiana zamani sana, tena utotoni kabisaa, hata ugwadu wa barehe niliumalizia kwake, sio mimi tu, hata na marafiki zangu waliponea kwake na kwa...
Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu.
Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili...
Habari zenu!
Kama isemavyo hapo juu...
Enyi vijana na wazee ni nani aliyewaroga?
Ingefaa wanyama waendelee kuishi hapa Duniani na nyinyi kupuuzwa kabisa!.
Hata sasa hamjafikili bado?Mahusiano...
Katika maisha kosea vyote ila sio kuoa. Huyu kaka etu ana roho ya uchuro yani sisi wadogo zake tumbo moja tukiwa na shida ya kifedha jibu lake atasema Sina pesa ukibahatika sana basi utapewa nusu...
Ni Jumanne njema!
Niende kwenye hoja yangu.
Kutokana na mabadiliko na mapinduzi ya teknolojia, baadhi ya tamaduni njema kabisa za kiafrika wazazi wengi mmeziacha.
Sasa siyo mbaya kwani kutenda...
Wanawake ukipata fursa yoyote kwenye maisha yako usiiache eti kisa kuogopa mwanaume au kuwaza kuwa mbali na huyo mwanaume. Wanawake jifunzeni kujiweka wa kwanza kwenye kila kitu kwani hao wanaume...
Katika Mapenzi Wakati Mwingine Gharama za Maumivu ya Mtu Mwingine ndio Gharama za Furaha kwa Mtu au Watu Wengine...Sikia!
Elie Taktouk, ambaye Ni Milionea Mwenye Asili ya Lebanon alifunga Ndoa na...
Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto...
Wakuu tuache mbamba
Mademu wazuri kuwala ni pesa sasa usijifanye unalia lia tu hapa wakati kinachotakiwa ni pesa.
Pesa pesa pesa pesa pesa pesa
Shauri yako kama unatafuta vipesa unahonga...
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri...
Miezi mitatu iliyopita nilianza uhusiani na binti ambaye hatujawahi kuonana mpaka leo. Tumejuana fb lakini msichana huyo ametokea kinipenda sana kiufupi amezimika namimi.
Sijawahi kumwambia...
Habari wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na story inayotrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na wanandoa wawili waliofanikiwa kufikisha miaka mitatu kwenye ndoa yao na kufanikiwa kupata...
Mwanaume wangu kafanya kweli ️
Ni mshabiki wa Simba huyu jamaa, kanishangaza hadi kunishika mtima wangu baada ya team yangu kufungwa na Simba, nilikuwa shabiki wa yanga lakini sasa.... .
Akii...
Habari zenu,
Naombeni ushauri wenu ili niepuke na hii hali,
Kama mtu atashindwa kunishauri naomba aache maana sipendi kutukanwa.
Mimi ni binti ni mkazi wa Dar ila kikabila nimetokea mkoa uliopo...
Kizazi cha sasa na ndoa nyingi zenye ukame wa tendo la ndoa
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
23 Oktoba 2022
Vijana wa kizazi cha sasa wanapaswa kuwa katika ubora wao wakati wa kujamiiana.
Kwa nini...
Naomba nikiri kuna nyakati ukikaa ukazikumbuka unatamani zijirudie najua labda yupo jf amebadili username au alishafariki au alijitoa jf naomba kama yupo akumbuke namkumbuka sana na natamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.