Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hello, Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja...
10 Reactions
83 Replies
5K Views
Salaam. Kuna wakati mwanamke unaona mwanaume wako unayempenda na kumuheshimu hakupendi wala kukuthamini kama ilivyokuwa mwanzo/kabadilika. Na hali hii inawaletea stress wanawake wengi. Wapo...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine. Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa...
8 Reactions
105 Replies
3K Views
Habari wadau. Wengi tumeona trend kubwa mtandaoni ya divorce ya mcheza mpira Hakimi. Nimekumbuka story ya Marehemu Bilionea Msuya wa Arusha. Mali zake alizoacha zimesababisha dada yake...
1 Reactions
4 Replies
997 Views
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Dada zetu tunajua urembo ni jadi yenu ila haya makucha hapana aiseeeh. Embu fikiria dada mwenye makucha kama haya eti ana ndoto za kuolewa,subutu hakuna mwanaume ndezi namna hiyo akuone na...
26 Reactions
282 Replies
12K Views
Hello JF, Nimepata kamanzi kamoja Nyerere square hapa Dodoma kanyiramba khaaa mashauzi kama yote kubinua midomo kama antena za chadema, nimewaza niende nae Royal village ila sio kwa ule ushamba...
2 Reactions
7 Replies
377 Views
Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji...
7 Reactions
113 Replies
2K Views
Salaam wakuu! Mimi kama mwanaume natoa haya.... Wanaume wa siku hizi baadhi yao ni kwamba tunafail sana yaani, Ona hizi kero. Wanaume wengi ndani ya ndoa hawatoi mahitaji, wanaachia wakina mama...
2 Reactions
25 Replies
987 Views
I remember those day when i was young, leo hii mimi zero iq nipo natanga tanga kama digi digi, Nawindwa kama mwewe kisa utelezi tu. Mke wake kajichanganya mwenyewe kutaka utamu mi ile kutia tu...
30 Reactions
124 Replies
5K Views
Wadada wa mjini ukiwaomba namba, hawana shida na wewe, watakupatia ila wanajua ni wapi watakubana na usihangaike kumpigia pigia au kumsumbua sumbua. Siku moja nilikutana na dada mkali, kutokana...
12 Reactions
53 Replies
2K Views
Habarini wadau Tokea nimekuwa single imekuwa kazi kweli kupata mpenzi mpya, kila napojaribu naona bila bila bila bila. Tumia nguvu ya pesa wapi ila nilivyo kuwa na mpenzi wengi walinishobokea...
5 Reactions
99 Replies
8K Views
Ni siku njema! Ndugu zangu Waislamu nawatakia muendelezo mwema wa mfungo wa Ramadan!. Haya twende kwenye lengo kuu la uzi. Nilikuwa napitia pitia kwenye 'media' fulani jana na leo, nikisoma visa...
3 Reactions
19 Replies
903 Views
Nawasalimu kwa jina la mmu.. Kuna kisa kimoja cha mwisho kati ya vingi ambavyo nmewahi kukumbana navyo ningependa kuwashirikisha.. kilinitokea miaka miwili nyuma kipindi bado nipo chuo ambacho...
10 Reactions
58 Replies
5K Views
FIRST YEAR: Nikiwa nimekaa "lecture room" nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa namuita 'Bestfriend' . Nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna hii tabia ya wadada mkishazoeana mambo yanakuwa freshi mnasalimiana vizuri tu na hata sms za kusalimiana na kutakiana kheri ni kawaida. Tatizo linakuja pale mkishakuwa na mazoea hayo...
4 Reactions
18 Replies
849 Views
Ktk tembea zangu mikoa tofauti hapa nchini nimegundua watu wanaoishi kwenye mikoa yenye joto sana hawaridhishani kimapenzi kwakuwa hawawezi wengi wao hawawezi kupiga show ipasavyo hata bao4...
2 Reactions
18 Replies
640 Views
Kila Siku Kitandani..... Kila Mara Kifo Cha Mende, Mmmh Mwenzangu Hebu Siku Moja Chukua Busati Liweke Chini. Chukua Mito Yako Uipange Kwenye Busati halafu Tuliza Akili Yako Pahali Hapo. Si...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwanza nimeamua kutumia ID mpya kwa ajili ya kusema hili suala. Asante leo nimeamua niseme ukweli wangu huenda ikasaidia wengine. Kwanza nikiri wazi nilikuwa muathirika mkubwa wa kujichua kwa...
67 Reactions
228 Replies
78K Views
Nimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale. Asee kweli...
12 Reactions
50 Replies
3K Views
Back
Top Bottom