Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Parental Guide: 18+ Explicit Content. Mates; Hua nikisoma visa vyenu humu vya mapenzi na uhusiano hua nashangazwa kwakweli, mara huyu kaachana na mwenzie,Yule kampiga mwenzie, huyu hampendi...
31 Reactions
111 Replies
49K Views
Nina experiences nyingi kama hizi na nimepoteza washkaji kibao but kosa si langu wengi walijilengesha wenyewe!
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwa nini watu hawapendi kuachika jamani? Ukiachwa achika, mbna kutiana mikosi kwa zawadi za kishingo upande kama hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi ndo maana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungemuoa soon ungebaki mgane. Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Nguvu inayomsukuma mwanamke, kuingia kwenye mahusiano, kwa asilimia kubwa huwa ni umasikini. Wengi wanaingia kwenye mahusiano, ili kupata uhakika wa kula, kuvaa, kumiliki majengo, magari...
13 Reactions
56 Replies
4K Views
Marriage is dead & women played a big role in killing it. Here are 5 reasons why young people aren’t getting married: 1) Too risky Men no longer see any benefit to marriage. 70% of divorces are...
7 Reactions
155 Replies
4K Views
Red flags in women 1. Watches mindless shows like the bachelor/bachelorette 2. Tattoos everywhere 3. Unnatural hair colors (Purple/Green/Bright Red) 4. Daddy issues 5. Single mommy with kids...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu. Nilishindwa kuwatembelea Jumapili ya Pasaka nikasema niende jana Jumatatu ya Pasaka. Wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Peace be upon you all. Nimekuja kugundua wanawake wenye vijitabia vya ufeminism sina muda wala sitaki shobo nao hata punje. Binafsi ni mwanaume ninaeamini katika jinsia tofauti zenye majukumu...
92 Reactions
529 Replies
25K Views
Jina: KIPEPE a.k.a Full package Kazi: MWANASAIKOLOJIA Location: Mabwe pande Nipo Hapa tena aseee! Eebanae! way back kidogo nilitembelea mkoa wa Mbeya, nilishuhudia kuona wadada kwa wamama...
2 Reactions
72 Replies
16K Views
Watu humu mambooz. Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili. Ni hali tu ya kuwa...
15 Reactions
279 Replies
8K Views
Habari, Mke wangu mdogo amenifungia mlango hataki niingie chumbani kisa na mkasa alisoma ujumbe kwenye simu yangu na kuona ujumbe wa mke mkubwa, ameshikwa na wivu. Nalitatuwa vipi? Nivunje...
12 Reactions
73 Replies
4K Views
Habari! Picha linaanza kwa kumuangazia bwana X ambaye kutokana na tabia yake ya uzinzi imekuwa ni kawaida kwake kutamani kila mwanake anayekatiza mbele ya macho yake. Hali hii imemfanya awe na...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Leo nikiwa nipo kwa mshikaji tunapiga stori za hapa na pale, alinionyesha baadhi ya picha, video na rekodi za sauti anazotumiwa na mpenzi wake. Zinaonyesha utupu wake, akiwa anajishikashika...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Inawezekana ulikua naye muda mrefu lakini akakuacha. Inawezekana hamkuachana rasmi lakini alikupotezea tu lakini saivi anarudi. Inawezekana mlikua mnapendana lakini ukajikuta umebweteka, au...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe...
8 Reactions
85 Replies
3K Views
Hakika nilitawaliwa na pepo la ngono kipindi hicho. Nikikumbuka najikuta natetemeka. Sitamani hata kutembelea nyumbani. Inasikitisha[emoji24][emoji24] 1. Mama wa rafiki yangu Nilikuwa na 19 yrs...
19 Reactions
118 Replies
17K Views
Kidogo macho unaweza kusema uyafumbe, na masikio je? Mimi hii kitu imenitokea mara nyingi tu katika mazingira ya maisha niliyoishi ila kuna siku naikumbuka nikiwa nafanya kazi kwenye boti jamaa...
12 Reactions
34 Replies
6K Views
Abali.najuwa kinawajuzii umu sivwo. Naidafuta muvii ya eligi fodi,,tumemuhona. Ejiki fodii tumemuwonaa Hameniyag.iza mkewagu natuna migoholo tokeyajana hujiku. Nirimwamusha hanipe akiyagu...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom