Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Je wajua kwanini unapoonyesha kumpenda sana na kumthamini sana mtu mwengine papohapo mwenzako huanza kuonyesha dharau kwako ,anakujibu vibaya kwa makusudi,anafanya makosa lakini haombi msamaha...
6 Reactions
11 Replies
431 Views
Huyu bidada nlikutana naye ofisi moja hivi nikampenda maana utadhani mtutsi au msomali. Shape anayo, sura anayo, rangi anayo. Akili? Sijui. Anyway mi sina lengo la kumsomesha wala kumtungia...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
1. Ni bei ya Samaki kilo moja 2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki 3.Unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi 4. Sukari kilo 3 5. Dona kilo 4 6. Mchele super kilo 4 7. Maziwa ya Ng'ombe...
54 Reactions
237 Replies
4K Views
Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu...
15 Reactions
182 Replies
2K Views
Huyu mdada alievaa miwani ndio models ninazozielewa sanaaa Huniambii kitu kwa demu wa namna hii. Tangu niione hii video Instagram nikaidownload kabisa. Wenye kujua kabila la huyu demu au wapi...
2 Reactions
8 Replies
258 Views
I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa...
7 Reactions
47 Replies
817 Views
Nlikutana na huyu dada muda mrefu kidogo. Nikampenda. Dada ni mzuri sana na anapendeza yaani ukitembea naye unajisikia hasa. Mimi siyo tajiri kama members wengi humu walivyo kipato changu ni cha...
44 Reactions
78 Replies
5K Views
Ninaandika haya nikihisi huzuni na machafuko. Mimi ni msichana ninayejipenda na kujiheshimu, lakini nimejikuta katika hali iliyojaa maumivu na kutokueleweka. Nimeolewa kwa miaka mitatu, na...
8 Reactions
111 Replies
3K Views
Mi huwa nawapaga visa ambavyo vimetokea either kwangu kwa familia yangu ili mjifunze Mkiambiwa kunapoelekea mtakuja kukuta wanawake kumi wanabembeleza mwanaume mmoja awaowe wala msikatae ndio...
5 Reactions
14 Replies
662 Views
Nimegombana na mke wangu, ni kama tumekaushiana hapa ndani ila sasa nataka tunda, najua nikiomba sitakataliwa ila itaondoa uzito wa makosa yake na baada ya hapo nitakosa nguvu ya kuwa mkali. one...
9 Reactions
28 Replies
680 Views
Yesu alianza utume wake rasmi baada ya kufikia umri wa miaka 30, kama inavyosema katika maandiko ya Biblia. Katika Injili ya Luka 3:23, inasema, "Yesu alipokuwa na umri wa miaka 30, alianzisha...
2 Reactions
0 Replies
181 Views
Siku ya Kimataifa ya Wenzi wa Ndoa:kuheshimu mume na mke kama msingi wa familia Siku ya kimataifa ya Wenzi wa Ndoa ni sheherehe ambayo inahimiza kuheshimu mume na mke kama jiwe kuu la pembeni la...
3 Reactions
35 Replies
457 Views
Kwa Wanawake tu. Ile baada ya ugomvi husband wako kanuna na kapanda kitandani mapema tu Sasa umeivisha chakula hebu mkaribishe chakula bwana husband? Acha tuone Wife material hapa 😁
5 Reactions
77 Replies
2K Views
Muhali gani wana JF, Ebana nahisi na naamini hii tabia sio mimi pekee ambaye ninayo, Naomba wenye tabia kama hii tukutane hapa na tushauriane mnaweza vipi kuji control?, au wataalamu wa...
6 Reactions
30 Replies
624 Views
Habari za muda waungwana wa hapa jamvini........ Hakika ujana una harakati na changamoto nyingi sana....... Kijana Umekuwa katika mazingira magumu huku ukiipata elimu kwa tabu kutokana na...
4 Reactions
18 Replies
486 Views
Binafsi naamini purpose kuu ya mwanamke katika dunia hii ni kuwa mama bora wa familia yenye furaha na Amani. Mimi ndoto na matamanio yangu ni siku moja nimuone mwanangu wa kike akiolewa kwa...
12 Reactions
42 Replies
411 Views
Tupu ya mwanamke inatabia ya kujisafisha yenyewe napia ina bakteria walinzi wa kuilinda hata kama utaingiza ulimi hao bakteria walinzi watajua ni adui kaingia hivyo watakushambulia, Japo kuna...
25 Reactions
123 Replies
8K Views
Nipo na mchumba, mwezi wa 4 sasa. Anadai yeye hapendi hard sex, akifika kileleni, analegea na kuishiwa nguvu. Hataki umguse kabisa mpaka kesho yake. Hata kama mimi sijafika, nalazimika kuvumilia...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
Sababu hizo 5 ni hizi zifuatazo 1.HAUNA MIPAKA Kama unaishi na mwenza wako huku unamnyenyekea sana,upo tayari kuvumilia tabia zake ikiwemo kukufokea, kukutukana, kukupa vitisho, vipigo...
1 Reactions
7 Replies
744 Views
Sidhani kama kuna mwana JF alishawahi kupita mitandaoni na kukosa kuona picha za hawa mabinti. Hata kama nia yako sio ku-search mabinti mitandaoni utashangaa unaona picha zao na mara nyingi...
8 Reactions
172 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…