Habari za wakati huu,
Nipo kwenye wakati ambao unanifanya niwe na maswali mengi dhahania, japo uhalisia wa mambo nauona.
Nilipopanga, kuna jamaa ameoa mwanamke ambaye nilikuwa nafahamiana naye...
Huyu dada mtu mzima alikuwa anafanya kazi ofisi moja ya serikali ipo katikati ya jiji la dar es salaam manispaa ilala. Alikuwa dada mtu mzima mzuri wa sura na umbo la haja.
Boss wake mara nyingi...
Habari ndugu zanguni,
ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake...
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu...
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na...
Hapa wengi Leo nitawashangaza Kuna Mdau kauliza huku. Hivi mliooa mlipata wapi Wanawake wa Kuoa?
Ni swali ambalo mwanaume ambaye hajaoa anaweza kulichukulia poaaa poaa kabisa.
Ukweli ni huo, na...
Mnaopinga ndoa mnaishi ulaya au America?
Kama ni africa mnazingua.
Sheria za wenzetu zinawabeba wanawake,mkiachana ni pasu kwa pasu,lakini sheria zetu zinawakandamiza wanawake.
Ewe kidume...
Dunia sio…, Maisha yanatesa mno…, ukiona unafurahi basi kuna watu wako nyuma yako wanatesekea furaha yako leo…, siku na wao wakifurahi basi furaha yako itakatishwa kama sio kudhoofika..,.
Maisha...
Waungwana shida ziko palepale!
Twendeni kwenye mada
Nafikiri sote humu tushakuwa kwenye mahusiano kwa muda fulani, na kila mahusiano yana vimbwanga vyake, asikwambie mtu kila mahusiano yana...
Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko,
Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo...
Women's ideal sense of romance is literally cheating.
Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine)
Mwanzoni nilikuwa...
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki...
Hivi Wanaume wa siku hizi ni pre mature au shida ni nini? Mwanaume mtu mzima unajinyongaje kisa Wivu wa Mapenzi?
Wengine wanaenda mbali zaidi Kwa kuua wapenzi na Watoto wao Sasa sijui inakuaje...
Wivu ni sehemu ya mahusiano ila ukizidi huleta ugonjwa wa kihisia na matokeo yake ni muathirika kujikuta anafanya maamuzi ya ajabu na yenye kushangaza Dunia.
Ukiona mtu anafikia hatua ya...
Njooni huku; naona kwenye ule uzi mwingine tumevamiwa na jinsia ya upande wa pili, ngoja tuwaachie.
Mahusiano ni kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu, ila kuna wakati unasema hapana, siwezi...
Nina Girlfriend wangu, nampenda sana. Naye ananipenda sana (kwa mujibu wa anavyodai). Nimeshakutana naye kimapenzi zaidi ya mara 2. Huwa najitahd kumfanyia kila kizuri
Ofisi yangu inapatikana...
Wapendwa heri ya nwaka mpya 2025. Binafsi ninaamini kulingana na maandiko matakatifu katika kitabu cha mwanzo kwenye ile sura inayozungumzia uumbaji siku inaanza jioni (' ikawa jioni ikawa asubuhi...
Hamjamboni wote!
Ukiona mtu yeyote mapenzi hayambabaishi ujue anatumie Kanuni ya kutowekeza kwenye mapenzi na kuwekeza kwa Mwanamke.
Asije Panya yeyote akakudanganya kuwa usipokeeza kwa Wanawake...
Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.