Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

VYANZO VYA TATIZO LA KUJIKOSOA SANA Mtu ambaye anasumbuliwa na tatizo la kujikosoa sana huwa amepitia historia ifuatayo Vyanzo vya tatizo la kujikosoa sana ni 3 kama ifuatavyo 1.KUJICHUKIA KWA...
1 Reactions
0 Replies
152 Views
Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi...
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa. Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia...
18 Reactions
190 Replies
7K Views
Ukija kwenye ngazi ya familia 50/50 haifai kwa sababu huwa kuna muingiliano wa majukumu baina ya mwanaume na Mwanamke. Kuna haki za mwanaume na vilevile kuna haki za Mwanamke.Mwanaume apate haki...
3 Reactions
21 Replies
301 Views
Ushauri gani ulipewa na mzazi, iwe ni baba au mama, ukaufuata na umekusaidia kufika mpaka hapo ulipo? Naanza: “Atayekulisha ni mwema, ila utampa pia uwezo wa kukulaza njaa wakati wowote...
4 Reactions
12 Replies
280 Views
Mke alipekua simu ya mumewe akakuta haya majina; 1. Tender one (Mwangalizi mwema) 2. Amazing one (Mtu mwema) 3. Lady of my dreams (Mwanamke wa ndoto zangu) Akahisi ni michepuko ya mumewe...
5 Reactions
11 Replies
375 Views
Kimaumbile mabinti wa kimeru wapo na siha njema sana. Wamebarikiwa pakubwa sana kimaumbile. ni dream come true kwa wanaume wengi. Wana shingo ya upanga na sura flani nzuri za kupigia picha...
6 Reactions
37 Replies
900 Views
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo: Kuhusiana...
25 Reactions
142 Replies
4K Views
Mimi ninachokumbuka ni mshikaji kuleta demu na demu kulala wote usingizi haukuja huku mm nikiwa bado sijawahi fanya hayo mambo.
1 Reactions
4 Replies
246 Views
Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa. Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu🤔...
17 Reactions
147 Replies
5K Views
Nambari 3 na 4 zitakuokoa. Kama mwanaume au mwanamke, mara tu unaposhinda tamaa yako ya mwili, unakuwa mtu usiyeshikika. Hasa WANAUME. Tujadili njia chache zenye nguvu za kudhibiti tamaa: Kabla...
6 Reactions
27 Replies
881 Views
Katika ujana wangu, nilikuwa mlafi sana; nilikuwa nikiona tu pisi kali inayoshawishi na kuuteka moyo wangu, nitaanzisha naye mahusiano na hatimaye tunajikuta tayari tuna mtoto; ingawa tangu...
29 Reactions
243 Replies
5K Views
Moja,mtongoze mwanamke lakini usimuonyeshe bila yeye huwezi pata mwanamke mwingine,kadri utakavyo zidi kumfuatilia sana basi tambua ndio jinsi atakavyo kaa mbali na wewe na kukusumbua sana...
30 Reactions
40 Replies
2K Views
Vimiaka vyangu kadhaa katika mapenzi nimekuja na uzoefu ufuatao.. Mosi: Hakuna haki kwenye mapenzi,, the game is too brutal sometimes. 2,, Kuwa single ni level fulani ya uhayawani so avoid being...
24 Reactions
58 Replies
2K Views
Wana-JF, mimi nawasalimia. Kwa muda sana natafakari haya maisha ya hawa vijana hususani wa kitanzania, ambao wanakataa ndoa. Kwa tafiti zangu 'informal', nimebaini kuna tatizo kubwa sana...
7 Reactions
44 Replies
641 Views
Wanaume wengi huwa wanaamini kwamba ili kudumu na Mwanamke wanatakiwa kuhakikisha mwanamke anakuwa na furaha sana saa 24/7 . Ukweli mchungu ni kwamba hakuna mwanaume yeyote hapa ulimwenguni...
5 Reactions
18 Replies
859 Views
Salaam jamiiforum. Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo huwa tunajuana na watu mbalimbali, tukikutana safarini,mikutanoni, sehemu za ibada na maeneo mengi. Watu hawa baada ya...
2 Reactions
0 Replies
128 Views
Nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo ukifanikiwa kula hata ka denda basi yule binti anaanza kukuogopa au ukifanikiwa kula tunda lake yule binti kesho yake hawezi kuku face yaani hata akikuona ana...
12 Reactions
32 Replies
5K Views
Kuwa na michepuko mingi na uweze kuimanage isijuane ni kipaji aisee. Vile vile nilichoexperience wanawake ukiwaendekeza wanafilisi, usipokuwa makini hutofanya maendeleo, mimi huwa napiga na...
3 Reactions
7 Replies
523 Views
Kama nilivyowaambia awali, yule shemeji yenu Mkenya alienda nchi za Gulf kufanya kazi. Sasa imepita miezi miwili, na kila akipokea pesa huwa ananitumia Ksh 10,000 kila mwezi. Kwa haraka haraka, ni...
6 Reactions
11 Replies
304 Views
Back
Top Bottom