Hakuna Urafiki Kati ya Mwanamke na Mwanaume..
Kama Mwanamke Wako Ana Rafiki Wa Kiume, Achana Naye..
Wanawake Kuna Kipindi Wanakua Wadhaifu na Wanalijua ili..
Siku Ukimkorofisha Anajua Ni Sehemu...
Wasalaam!
Kwenye haratakati za hapa na pale nilishawahi kukutana na Mikasa kadhaa ya lodge/gest nilizowahi kulala !
1. Dar es Salaam
Nilienda lodge moja nzuri tu yenye hadhi, kufika reception...
Wasaalam!
Ni ukweli pasi na shaka, hakuna kitu kizuri duniani kama mapenzi, kupendwa, iwe na ndugu (familia), rafiki ama mpenzi.
Love is most beautiful feeling in the world, yet people are...
1.JALADA LA KWANZA
Hii ni true story. Japo nina ndoa mbili lakini nimezaa watoto kadhaa nje ya ndoa.Hadithii hii ambayo ni ya kweli ni jinsi nilivyozaa mtoto wangu wa pili wa nje ya ndoa. Ni...
Mimi ni mwanaume mwenye miaka41, nipo mzima kiafya na ni mcha MUNGU.
Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu kupata shida ya kupata mke sahihi, nilikuwa napata wapitaji. Sasa juzi, Kuna ushahidi...
Umeshawahi kuambiwa au kusikia siri ambayo endapo ingetoka nje au kujulikana na wahusika ingevuruga au kuharibu kabisa maisha yao? Mimi nitashare yangu ambayo inaniweka mimi na ndugu zangu kwenye...
Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya?
Upi mtuzamo wako kwa...
was a happy family.
Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni.
Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali.
Mwanamke...
Habarini za JIONI wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 32 mnamo mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke kutoka Kanda ya ziwa{Tabora}..,nilimpenda sana na nahisi nae alinipenda japo siwezi semea nafsi ya...
Mama wa Taifa la Afrika Kusini Winnie Madikzela-Mandela amefariki dunia. Amefariki miaka minne tangu alipofariki Nelson Mandela na kuzikwa Desemba 15, 2013. Winnie atazikwa Jumamosi ya Aprili 14...
Good morng Tanzanian
Nina shemeji yangu mke wa kaka yangu ambae alikuwa rafiki kwangu tuna shauriana mengi sana mazuri na wakati mwingine kaka yangu akimkosea bas huja kwangu kulalamika nami...
Baadhi ya wake hawajui hata kwamba waume zao wanafanya kazi zaidi ya moja ili kuhudumia familia.
Dunia ni mahali pagumu kwa mwanaume.
Rafiki yangu alipoteza kazi yake mwaka jana. Jamaa...
SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA
Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji...
Daaah, ila maisha yanaenda Kasi sana.
Alipokuwa msichana mrembo pale ITV na Redio One alijulikana kama Beatrice Chalamila Binti kutokea Mkoani Iringa.
Baada ya kupagawa na usakataji kabumbu...
Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea 🙌🏽🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽.
Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange 😅😅😅😂.
https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha
1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu...
Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri...
Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.