Huu mwaka wa kuchanganyikiwa kweli!
Huyu mrembo tangu niwe nae kwenye mahusiano simuelewi kabisaa! Bora tu nijikatae au mapenzi sio vitu vyangu.
Huyu mrembo nilimblock miezi kadhaa nyuma kwa...
Ni nani ajitokeze awaambie ukweli hawa wanawake? Hali inatisha kila siku wanalilia kulipiwa mahari na harusi, yaani siku hizi mwanamke anahitaji harusi (sherehe) kuliko anavyohiyaji ndoa (kuishi...
Never heard of her before! But I guess she’s an OnlyFans entrepreneur.
So what’s her claim to fame? Getting ran through by 101 men in less than 24 hours.
But that wasn’t enough, apparently! Now...
Hii huwa naona kwenye vyumba vya kubadirishia nguo (changing room) hasa kabla na baada ya kazi mnapojiweka sawa ili mrudi ma kwenu. Hata chuo ma bwenini nilikuwa naona sana wanaume wa aina hii...
Kaka ni miaka miwili Sasa hatuja wasiliana
Nilikukera Sana kwa simu za mara kwa mara . Nisamehe bro Kuna hali nilikua napitia iliniumiza Sana
Lkn bro kwanini ulinitafuta na kutaka kujua mipango...
Nipo kwenye mahusiano na dada fulani, tunaweza kusema hii kazi alinipigia promo sana, ni sekta binafsi ila ukweli ni innocent girl (hana makuu).
Tupo taasisi moja ila branches tofauti najua...
Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka.
Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae.
Pang Fung Mi
Habari ndugu zangu,
Kuna watu wapo kwenye mahusiano ya urafik, uchumba, ndoa na wapendwa wao ambao pengine kabla ya kujuana hawakuwahi kuwa na mazoe kabisa na walikuwa wakionana mara Kwa mara...
Habarini wadau
Yapata miezi kadhaa sasa tangu nipate mwenza, lakini ugomvi wake na mimi ni pale nitakapo acha kuswali swala moja tu kwa siku, hapo lazima nitoe maelezo na kununiwa.
Yeye ni...
Nimeamua kushare hapa hiki kisa cha kweli kilichonitokea kwenye maisha yangu. Nikiamini wengi mtajifunza na kuburudika pia.
NB: Majina ya watu na baadhi ya Majina ya sehemu yatakuwa sio halisi...
Tukiweka kujifariji pembeni ukweli utabaki kuwa umri sio namba tu bali zinazungumza kitu na tena kwa kumaanisha hivyo sio vizuri kupuuza.
Ipo mifano ya wachache ambayo inatembea ikiwemo ya...
Ndugu wanajamvi,
Katika harakat za kutafuta mtu wa kuanza naye maisha kuna yule uliyemchumbia au aliyekuchumbia kwa mara ya kwanza.
Je, kipi kilikufanya usimuoe /kuolewa naye?
WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen!
Mapenzi Mapenzi Mapenzi
Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia...
Nimekuja tena mzee wa fact naanza kwa salamu habari zenuu !!!?
Twende mbele turudi nyuma HAKUNA mwanaume mwenye kibamia ,
Early 1999s mpaka late 2009s hakuwa kabisa na haya mslalamiko kutoka kea...
Team Kataa Ndoa Mpo?
Sidhani kama kuna haja ya kusalimiana. Kama kuna mtu ana lolote anaweza akasema linalomsibu kwenye nafasi niliyoiacha hapo juu.
Najua humu jukwaani kuna movement ya Kataa...
Ngono ni tamu sana, lakini inaweza kuharibu maisha yako na mustakabali wako mzuri.
Somo la kwanza – Uume wako si rafiki yako; unaweza kuwa adui mkubwa mpaka utakapojifunza jinsi ya kuudhibiti...
Leo nimegombana na rafiki yangu wa damu, "hustler" mwenzangu. Juzi kati aliniambia anataka kumuoa mwanamke mzee, "kibibi" mwenye umri wa miaka 28, ambaye kazaliwa mwaka 1997 kama sijakosea .
Huyu...
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?
Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..
Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake...
Umekuwa omba omba wa upendo, unahitaji mtu wa kukupa upendo lakini upendo wenyewe ni asili
Unaye muomba upendo kosa huanza hujui ni namna gani anajipenda, nikweli ana upendo lakini hufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.