Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

C&P Wise words! Don't lose a good man because of temporary financial struggles. Here's why: Good Character is Rare 1. Kindness, empathy, and compassion are valuable traits. 2. Integrity...
6 Reactions
12 Replies
262 Views
Nimeshirikishwa kwenye mgogoro wa kifamilia ambao wazazi waliooana wote wakiwa na watoto waliozaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa. Wakati wanaoana, mtoto wa kiume alikuja na mke / mama akiwa na...
4 Reactions
29 Replies
769 Views
Kwema wadau? Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume. Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau. Nimei experience hii hali zaidi ya...
14 Reactions
228 Replies
12K Views
Wakuu namshukuru Mungu baada ya kuhamia huu mji kwa zaidi ya miezi 5, huku nikitaka wa kunipunguzia upwiru ninapokuwa mbali na wife . Pia si mnafahamu kuwa michubuko inaimarisha ndoa. Nimefanikiwa...
11 Reactions
35 Replies
870 Views
A man who can control his sexual urge is a man who can live many years on earth. Men don't know that some of their failures are caused by multiple girlfriends Not all girls have good spirit. Some...
3 Reactions
2 Replies
318 Views
Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers. Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha...
7 Reactions
22 Replies
540 Views
Mpo Salama Kabisa! Huwezi kuta Msichana Mrembo, mwenye Haiba ya kike akawa Feminist. Huwezi kuta. Yaani umkute mwanamke mwenye shape lake alafu feminist utasubiri Sana. Au umkute mwanamke mwenye...
9 Reactions
22 Replies
633 Views
Mwanaume mmoja alikuwa akimpa ombaomba $1000 kila mwezi. Mwanaume huyo aliendelea na hali hiyo kwa kipindi fulani. Siku moja, alimpa ombaomba $750 pekee. Ombaomba alishangaa, lakini akajiambia...
2 Reactions
3 Replies
187 Views
Habari za asubuhi. Kila mwanaume mwenye homoni za kiume ni mtu mwenye kutamani wanawake Muda wote.lakini haikupi uhalali wa kuwa nao. Wapo utatamani kushiriki nao ngono ,lakini mwingine...
5 Reactions
69 Replies
1K Views
Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi. Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem...
18 Reactions
202 Replies
4K Views
Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka. Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri. Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku...
25 Reactions
137 Replies
4K Views
Ni ngumu sana mwanamke kukuheshimu ukiwa mwema sana kwake. Mwanamke anamuhesmimu mwanaume anaemuogopa. Hapa siongelei physical appearance, violence au abuse. Am talking about the respect that...
56 Reactions
124 Replies
4K Views
Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba. Ni tendo muhimu sana...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari za muda huu waungwana wa hapa jukwaani. Sijui ni mimi peke yangu tu ama ni macho ya wengi pia yanatazama kama nitazamavo mimi.... Nimekuwa nikishuhudia matukio kadhaa ya kustaajabisha...
18 Reactions
81 Replies
2K Views
JamiiForums imepata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
18 Reactions
107 Replies
5K Views
Kuna tabia ime ibuka kwa kasi sana dada zetu, ndugu zetu kujilipia mahari, yupo radhi ata aka kope, auze vitu vyake aombe kwa wazazi wake kisha ampe mwanaume aje kulipa kwao.
3 Reactions
5 Replies
233 Views
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe Imagine unakuta...
39 Reactions
369 Replies
5K Views
Bonnie Blue avunja rekodi ya dunia Kwa kufanya mapenzi bure na wanaume 1057 ndani ya saa 12. Usiku WA jana only fans kulikua pamoto Sana mitandaoni, gumzo Kila mahali, mwendo WA bandika bandua...
23 Reactions
126 Replies
5K Views
Wakuu hivi karibun Nimeanza maisha ya ndoa. Mwanamke wangu ni aina ya wale wanawake ambao akifika kileleni basi kitanda chote kinakuwa tepetepe(kinalowa). Tumekuwa tukitumia mashuka mengi...
16 Reactions
96 Replies
2K Views
I lost over $38-billion in cash and 35% of Amazon to my ex-wîfe, MacKenzie. I was worth about $76-billion by then." __ Jeff Bezos "I can nēver make the mîstake of getting married again. I was...
17 Reactions
40 Replies
2K Views
Back
Top Bottom