Huwa nasemaga tu kwa nilichokishuhudia na sidanganyagi
Nimepitia hapa Ubungo nikasema nitafute lodge nipumzike mwenyewe tu mara Gafla kaingia jamaa mmoja mfupi kama nyundo ni balaa kachomekea tu...
Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu
Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko...
Moja ya vitu ambavyo tunavyo baadhi ya wanaume ni kuwachukulia poa wale wanawake wanoonyesha kutupenda kupitiliza, unakuta una mwanamke anakujali mnyeyekevu anakuheshimu alafu unamchukulia poa poa...
Kuna mdau aliwahi kukazia humu kuwa mwanaume anayejielewa usijiwekee asilimia miamoja kuwa mwanamke uliyenaye anaweza kuwa nawewe milele , usijiwekee asilimia mia siku akibadilka utakuja kulia...
Wakuu wasaalam,
Issue inaanzia hapa wamekutana miaka kadhaa ilopita Binti no 4; ntatumia no ili kueleweka vzr akiwa ni single Maza wa mtoto mmoja wa kike kwa madai yake ni kwamba alibeba ujauzito...
Hi?
Mzee wangu alikula mke wa jirani yetu mapenzi yalipowanogea kamtoa kwa mumewe na kwenda kumpangia gest house jamaa alipogundua akawafata kwa lengo la kufumania na kumkataza mzee aachane na...
Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu..
Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua...
Salam wakuu, andiko hili ni kwa ajili ya kuelimisha jinsi jamii inavyo paswa kuishi na ma jobless pro max.
Jamii yetu ina watu mbali mbali, wapo wenye ajira, ma jobless pro max, watu wa daraja la...
Hello humu jf,
Hebu tusaidiane mawazo na mtizamo huyu mtu ananiona vipi?
Mimi ni kijana na umri wangu miaka 28 sijao
Sasa kuna mwana kitaa hapa ninapoishi yeye ameoa na mtoto mmoja umri wake...
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
Happy Saturday wananchi wa Sameer
Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka Sina Nia ya kumpoint mtu au Sina Nia Mbaya kuleta Uzi huu.
Back to our mission
Nimejiunga na JF Sina mda mrefu Sana Ila...
Guys week end naona imeisha sasa mnajipumzisha ili kesho muianze juamatatu kwa nguvu zote.
Sasa basi, mwaka huu ulipoanza moja ya resolution nilizokuwa nimefanya ni kuwa karibu na Mungu na...
Niko hapa kituo flan cha daladala
Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana...
Hello dears
Poleni na majukumu.
Kuna mmama fulani alikuwa anafuatilia nyendo za mumewe (waliyezaa nae watoto kadhaa bila ndoa) basi akagundua mzazi mwenza anapewa kisamvu cha kopo na...
Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.
Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa...
Wanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo
Jikite...
RECONCILIATION AFTER 6 YEARS OF DIVORCE???.
Afrobeats Diva Tiwa Savage has reconciled with her ex-husband and baby daddy @Teebillz after six years of divorce.
The couple who were married in 2013...
Kuna watu wanajiona ni wanaume na hata huwa wanaoa wanawake na kuzaa nao lakini kiuhakika wake si wanaume kweli.Kama wanawake wangekuwa si uwanawake wao basi wangewakataa mapema kabla ya ndoa...
Ifahamike kwamba sio wanaume wote ni waadilifu, vilevile siyo kila Mwanamke huwa mpenda ugomvi.
kuna wanaume hutumia upole, huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu ambao mwanamke...
Nimeona single mothers wakistruggle kulea watoto wao wa kiume peke yao bila baba za hao watoto kuwepo.
Je unaweza kumjua mwanaume aliyelelewa na mama peke yake? Je tabia zake zinakuwaje? Anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.