Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Katika mwili wa mwanamke kuna hormones ambazo haumsaidia katika kuujenga mwili wake na kumfanya kuwa mwanamke imara kibaiolojia. Kuna kitu kipo very common kati ya binti bikra ambaye...
21 Reactions
50 Replies
2K Views
Waefeso 5:28-33 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali...
2 Reactions
0 Replies
112 Views
Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua. Mmoja alichukua jacket na mwingine...
47 Reactions
240 Replies
4K Views
Wazima wote! Hukumkuta Bikra! Huna uhakika watoto ni wako! Unajua Kabisa Mfumo wa Sheria za sasa katika Masuala ya ndoa unamgeuza mwanaume Msukule wa kuzalisha Mali na kunyonywa. Unajua Kabisa...
14 Reactions
57 Replies
1K Views
My question is, why can't guys be like this when they sleep together in one bed? 🤔
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Kuna jemba fulani rafiki yangu huko Tanzania, jamaa huwatafuna wanawake balaa, na wote huwa hawaoneani wivu, huyu anajua yule kaliwa lakini anajiweka kwenye foleni naye atafunwe. Jamaa ni dogo...
7 Reactions
34 Replies
7K Views
Nini mazuri au madhaifu ya wanaume wafupi? Wenye uzoefu na short kings njooni mtujuze. CC: nakwede97 ⋆ Aaliyyah Leejay49 ⋆ Ms Billionaire Sister Abigail ⋆ Bantu Lady realMamy ⋆ Qashy Lilith...
8 Reactions
50 Replies
927 Views
Sijajua tatizo ni nini kwa wadada wa siku hizi unakuta una urafiki na msichana halafu inafika hatua ukimuelezea hisia zako anazingua na hataki kabisa hizo story za mapenzi yeye anataka muwe...
10 Reactions
56 Replies
12K Views
Wasaalam, Huyu ni jamaa wa pili kumfahamu tumefanya nae kazi kwa muda baadae akaamua kupumzika leo naambiwa jamaa yako amejifumua risasi ya kichwa kwa wivu wa mapenzi, kisa kabaini mke wake...
4 Reactions
125 Replies
13K Views
Aiseee mwanamke unaweza kukaa bar na mpenzi wako huku ukiwa na wadogo zako wa kike umepigwa wimbo unanyanyuka unamuacha mpenzi wako kakaaa, mnaanza kucheza mziki na mdogo wako then anatokea...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Ndugu zangu mpo hali gani? Kuna mada hapa acha nishare kwa wajuba. Katika maisha yako au mpaka sasa ulishawai kuwa na mwanamke ambaye tuseme sio demu wako yani hamjawai tongozana hamsumbuani...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari! Kuna mambo hayabadiliki na hayataweza kubadilika karne na karne. Labda binadamu sisi tuliopo tuondoke duniani na kuja kizazi kingine. Jambo ambalo wanaume wengi hawalijui ni kwamba "...
24 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari Naomba nianzie mbali kidogo, mimi ni mwanaume wa miaka 43. Sijaoa ila niko mbioni kuoa. Wakati nilipomaliza kidato cha nne, nilijikuta katika mahusiano yaliyoniletea mtoto wa ujanani mapema...
39 Reactions
302 Replies
22K Views
Haya mambo kwangu kama mwanaume rijali ninayemudu maisha yangu ya kula milo yote mitatu, kwakweli yananipa shida. Ni vurugu tu za familia, wife kabeba watoto na kuondoka. Hapa nilipo natembea...
17 Reactions
71 Replies
2K Views
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa. Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Kisaikolojia tunasema kila kitu kinategemeana na hali ya ufikiri, kusex na mtu ni matokeo ya hali ya ufikiri baina ya wagonganji na wagongwaji, kila kitu ni state of mind; Nayasema haya kwa...
12 Reactions
48 Replies
9K Views
Wanawake ni wataalamu wa udanganyifu wa kisaikolojia. Wamebobea katika mbinu za hila zinazowafanya wanaume imara kuwa wanyonge bila hata wao kujigundua. Unadhani uko kwenye usukani? Fikiria tena...
3 Reactions
4 Replies
310 Views
Aisee uyu mwamba ni hatari sikuizi haishiwi vituko Week kadhaa uko nyuma nilipost umu aliniomba pesa sasa aumekuwa na muendelezo wa vibweka Sana "Mfano number yangu anayo na Huwa ananipigia then...
0 Reactions
16 Replies
780 Views
Mimi huwa nawaleteaga visa vya kweli ambavyo nimevipitia ili mjifunze Hasa mambo ya wanawake mkiambiwa wanawake ni wa kuishi nao kwa makini muwe mnaelewa Baada ya kuhama kwenye Apartment ya...
76 Reactions
218 Replies
6K Views
Back
Top Bottom