Habari wadau!
Kiukweli na kiasilia mwanamke wa kiafrika ndio mwanamke wa kwanza (mzuri, mwenye upendo wa kweli na vigezo vya mke mwema)kuliko race yoyote Duniani,wazungu walilijua hili...
Watoto katika hatua zao za ukuaji na kujifunza wanakuwa na mambo flani flani ya kufurahisha sana yaani mwanao anaweza kukuvunja mbavu balaa.
Mfano
1. Mwanangu (1.5years) anaweza kuwa anatazama...
Salaam!!
Ee bana eeh haya maisha bana mambo hubadilika anytime
Nakumbuka enzi hizo nikiwa chuo kikuu nilikuwa na rafiki ambae urafiki wetu naweza kusema ulifikia level za undugu kabisa, ni...
Salama wakuu.
Naleta Uzi huu kwenu mnipe ushauri napata shida kufikiri Sana kwamba shanga zinaongeza mahaba kwa mwanamke kivipi?
Au zimewekewa ashiki kuwa mwanaume akiziona dushe linatuna na...
Mwenyezi MUNGU tunusuru waja wako,
Tunahitaji huruma yako na ututie nguvu ili tuwe na mwisho mwema. Iko hivii, Jana ilikuwa ni siku ya furaha kiasi, nimemaliza kazi zangu ndogo ndogo ofisini...
Juzi jumapili nikasema ngoja niende kanisani kwanza japo nikashiriki na watu katika ibada ya hapa na pale nikachukua kagari kangu ka ist kabovu nikatoka magetoni kipati mbagala hadi keko kanisa la...
1. Ngono inaweza kubadili kila kitu
Ngono ina tabia na kubadili vitu, na kama ukishiriki tendo la ndoa na rafiki yako wa karibu, aina you ya urafiki wenu hubadilika kabisa. Unapomtazama mtu ambaye...
Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona...
Wanaume wenzangu tunatafuta pesa kwa tabu sana, pia tukishapata pesa nazo zitutese kweli?
Hawa wanawake tunaowaita pisi kali ni pasua kichwa, wanaume tukishapata mafanikio tunajinasibu kuwa sasa...
Heshima zenu wakuu?
Ni tumaini langu kwamba hamjambo wote humu ndani na mnaendelea vyema katika mapambano ya kuyatafuta maisha yaliyo bora na mazuri.
Wakuu kama mjuavyo, ujana una mambo mengi...
Katika Maisha yangu mimi kula vizuri kulala katika Godoro la Futi 10, Mboga za majani Nyama, juice Safi hayo ndo Maisha yangu napenda. So siwezi kuishi kwa kuwatengenezea Maisha watu watakaozaliwa...
Mpo wana MMU.
Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake...
Nina jamaa angu ambaye ni kama kaka angu ameajiriwa kama mwalimu ya shule ya msingi moja ya shule hapa jijini dar es salaam tangu mwaka 2004. Mwaka 2006 ticha alifanya kosa moja la kizembe sana...
Mara nyingi tunaposikia sheria za MUNGU tunaona kama vile zinatubania tu! Sio ajabu, ndio uongo wa nyoka tangu mwanzo alipomwambia Eva kwamba mkila hamtakufa, sio kwamba MUNGU kawakataza kula...
Hiyo couple ya awali tusiilaumu sana kwa kula lile tunda!,laiti wasingekula wao naimani kabisa kuna mwamba huko na pisi kali yake wangekula tu!.. just jiangalie hata we mwenyewe na huyo partner...
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume.
Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni...
Jirani yangu Rosa alijaliwa mtoto mmoja wa kiume. Walimsomesha mtotoekatika shule za gharama na walimpa kila kilichokua katika uwezo wao. Rosa na mume wake walijenga nyumba nadhifu na mume...
1. Baadhi ya jamaa zako wanangojea kwa siri kushindwa kwako.
2. Hakuna anayejali jinsi maisha yako yalivyo magumu isipokuwa wazazi wako tu.
3. Watu wengi hawabadiliki wanajifanyisha tu wawapo...
Shoo Shoo Kali ni Kali !
Kwa ufupi tu unapotaka kula njaa ni yako na kushiba ni jambo binafsi na kuridhika na msosi ni jambo binafsi hasa ladha ya ulimi wako, ubora wa meno, test ya chumvi...
Kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuwa na stress kiasi kwamba wanapopata msongo mwingi wa mawazo wanafikia hata kuongea barabarani peke yao kiasi kwamba ameshindwa wa kumshirikisha jambo lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.