Rafiki yangu Leo nimemsikia akiniambia sauti anazotoa yule mke wangu chumbani zinaweza kuniua. Fikiria nyumba moja mmegawana vyumba wewe na aliyekuwa mkeo baada ya kuachana. Wamepatana kila mtu...
Hili ni swala la kukumbushana tu, sikuhizi watu wanajivika vitu vya thamani si haba na wala si dhambi,lakini kumbuka ndani yako ndio inajenga nje yako!
Nje yako unajisitiri na nguo za gharama...
Habari zenu wanandugu watanzania wenzangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada kama inavosomeka hapo juu.Ni siku chache toka nifike hapa Dar nikitoka zangu mkoani pia nimepata kutembelea sehem...
Watu wanaikosa sana hii huduma,yaani ile huduma ya kusingwa mpaka mwili unakuwa mwepesiiiii.Unakuta umekaa kwenye kiti ofisini siku nzima,mgongo umeganda na kuuma hata ujinyooshe bado mwili mzito...
Habari wanajamvi,
Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye...
Kwasasa usitegemee mwanamke anaweza kukuonea huruma wewe mume wake, haijalishi unapambana vipi kwa ajili ya familia yako, anytime anaweza kukufanyia tukio la hatari.
Kwasasa hawa viumbe tuliozoea...
Unapokuwa binadamu mwenye uwezo mzuri wa akili lazima ujue kuchuja vitu na lakuongea si kila jambo nilakutiririka tu!.
Kuhusiana na mtu ni sehemu ya utimilifu wa hisia pamoja na akili. Baadhi ya...
Kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenzi hulifanya penzi lenu kuwa hai.
Kufanya mapenzi ni kichocheo muhimu cha kuamsha...
Jamani za weekend natumai nyote ni wazima na buheri wa afya
Ndugu zangu aisee nimekamatika najuta kukatongoza katoto ka kinyamwezi. Yapata mwaka mmoja tangu niwe kwenye mahusiano na huyu mtoto...
Wanawake wamekuwa wanatulaumu sana kwamba huwa wanatuvumilia sana kwenye mahusiano tunapokuwa hatuna kitu yaani apeche alolo,juu ya mawe!,lakini tukipate pesa tunaenda kwa wanawake pisi kali na...
Nahisi uvumilivu umemshinda
Katokea sehemu wanaongea kifaransa kwenye story za hapa na pale kwao kuna WANAUME WANAOJIUZA yaani kama ilivyo kwa wadada nimeshangaa sana
Kwamba inawezekanaje
Ni ngumu sana kupata mwanamke ambaye.
1. Ana akili
2. Ana rangi nzuri
3. Ana sura nzuri
4. Ana body nzuri
5. Anajiheshimu
Nimeshauriwa hapo nioe wanawake tofauti tofauti kama watano au zaidi...
Salamu zenu nyote.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kuperuzi mitandao nimekutana na mtu mmoja mwenye mtoto alie na cancer ya damu. Lakini pia mke wake alishafariki miaka ya nyuma so ni...
70% ya wamarekani wameshafanya "casual sex" na mtu fulani japo mara moja na hata takwimu zinaonyesa na na za UK, naamini pia hata kwa hapa kwetu.
Kubali au kataa, kwa sasa tunaishi ulimwengu...
Hivo kwa nini mtu akitoa post yake mnamponda nakutoa maneno mabaya raja yenu nini?
A. Hatujawaomba uoe wanawake wasiowapenda wasiowadhamini au wanaume wasiowadhamini maana ndio stress zipo hapo...
Habari wanajf
Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata...
Natumai siku imeenda vizuri!
Moja kwa moja kwenye mada, katika jamii yetu ya Kiafrika kuwa na wake zaidi ya mmoja (ndoa ya mtaala) ni jambo la kawaida toka enzi. Changamoto iliyojitokeza ni ujio...
Hapa nataka kuongea na vijana wanao jipanga kuvuta majiko au walio vuta majiko mabovu.
Nikisema mwanamke mwenye njaa namaanisha mwanamke asie na kazi au mwanamke asie taka kujishughulisha...
Habari watu wa JF
Mimi ni msichana 23yrs sikuwahi kuingia kwenye mahusiano, ila 2019 nilianza mahusiano na kijana fulani yeye ni 31 yrs, ni mwanaume wa kwanza kwangu alinipenda sana na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.