Niliamua kuishi na mke wangu kwetu. Lakini mama yangu amekuwa changamoto kwa mke wangu.
Tumeamua kuhama tumepanga bado anampigia mke wangu usiku na matusi juu. Lawama zilizidi kati ya ndugu kuja...
Heshima zenu wadau wa jukwaa hili.
Juzi niliandika thread iliyo kwenda na title ya uliwezaje kuachana na mpenzi wako uliye mpenda baada ya kutoa kisa Changu na kusikiliza maoni ya wadau kupitia...
Siku za nyuma niliandika kisa cha mapenzi na safari yangu ya kuanza maisha upya ndani ya mkoa mpya.
Update: nilipo fika mkoa X mambo yangu kwakweli hayajaenda vizuri kama ilivyo kua matarajio...
Chura wanavutia sana,hasa wale wanaojua kujiweka katika mazingira ya usafi.Uzi huu ni kwa ajili ya kuwatembelea wale wote wenye chura...taja sehemu ulipo mabaharia tuweze kufika.
Mabaharia kwemaa?
Eeh bana kuna ngarangara moja nilkuwa naipenda kinyama afu nilkuwa nina machale si mchezo, siku moja nimetoka dom manzi akanicheki kuniuliza niko wapi, nikamchana niko somewhere...
Wanaume tunatafuta pesa kwa jasho sana.. ukiacha sisi wachache ambao tunakula kwa ulaini kidogo. ila wanaume wengi ni wapumbavu. wanaenda kufanya kazi ngumu sana. katika mazingira magumu...
Rachael alipata kazi katika shirika la kimataifa, akiwa pale alikutana na James kijana kutoka Cameroon, wakaka wa Cameroon wako very romantic, Rachael alijikuta ameingia mazima. Walipata mtoto na...
Bwana mmoja huko Sopango Ug Zimbabwe amemuua mkewe kwa kumchinja kisa kikidaiwa kuwa mke aligoma kupewa talaka ili mume amuoe house girl huyoo!
Hivo baada ya vuta nikuvute mke akaamua kumfukuza...
Habari zenu wana JF.
Wakuu nimekuwa na hili tatizo kwa zaidi ya miaka 10 sasa, limekuwa likijirudia mara kwa mara.
Yaani ni kwamba imekuwa kawaida nikiwa natembea njiani nikiona mdada mwenye...
Hi!
Ngoja kwanza nianze kwa kucheka.
Niko kwenye ofisi za umma yapata miaka 7 sasa.
Dunia haiachi maajabu, anayelipwa mshahara yuko katika uhitaji wa pesa kuliko yule ambaye halipwi mshahara...
Habari za wakati wana jukwa!
Dunia inaenda kasi saana hasa kwa wadada. Ukitongoza mwanamke akikubali muwe wapenzi baada ya siku 2 tu yafuatayo yanatokea.
1.Utaletewa mahitaji meeengi yake kama...
Habari wanajamvi.
Juzi Kati nilileta infor humu kuhusiana na mwanamke nilietaka kumuoa,
Mambo aliyo nifanyia na mpaka ikabidi suala la ndoa life,[emoji51][emoji51]
Yeye aendelee na maisha yake na...
"A man and his wife went to the zoo. They found a Monkey who was passionately playing with his female. His wife said to him, "What a romantic animal."
Then, they found a Lion and his Lioness...
Wakuu salam!
Nimekuwa nikihangaika kutafuta msichana wa kuoa kwa miezi kadhaa bila mafanikio. Nikadiriki kuleta uzi kule love connect kutafuta msichana wa kuoa lakini sikuambulia hata salam ya...
Kawaida inajulikana mwanaume ndio baba wa familia kuanzia huduma hadi ulinzi. Kama hana kazi, mkewe au mpenzie avumilie na kumhudumia mpaka atakapopata kazi au kibarua cha kumpatia pesa.
Lakini...
Kutongoza ni kupoteza muda na kutumia nguvu bila sababu za msingi, mimi nikiona mwanamke mzuri namwita kwa heshima, namwambia umependeza, unamwonekano mzuri utasikia Asante, hapo naingia mfukoni...
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu!
Wengine ni mabachela, hatuna wake, tunaamka asubuhi tunapishana na ninyi kwenye korido mkiwa na khanga moko! Mnapotuona tu mnatulegezea khanga! Mara mloweshe...
Salaam wakuu,
Streight kwenye mada,
Kiasili mwanamke hua anatafuta upenyo wowote kumtawala mwanaume, haishangazi hata pale Eden alipoambiwa atakuwa kama Mungu alishawishika kula tunda maana...
Fikilia mwanamke unapimiwa samaki ambae kaisha haribika sawa hukuona sababu uko bize unachezea simu yako sasa tuseme hata harufu ya kuoza huisikii kweli.
Aisee mwenzenu leo usiku nalala njaa sa...
Rashid alizaliwa mkoani, baba yake ni mkulima wa mahindi na wana shamba la ekari 200. Mahindi yao wanauza Zambia. Hawako vibaya kiuchumi lakini baba yao aliwafundisha heshima ya pesa. Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.