Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Inaumiza sana!! Nilikuwa naanza kazi by then nikiwa na kababy kangu small 5 kwa kimo chake, nilimpata wakati nipo form 3 na yeye form one, ni miaka takriban 8 imepita tangu animwage, nilimpenda...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Mughonile! Rafiki yangu kuanzisha Uzi hapa kisa kaniona Mimi nahonga na sihudumii familia yangu vizuri. Kwanza rafiki tambua Mimi na Wewe tupo tofauti, Mimi ninasura ngumu na isiyovutia, wakati...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Haya yote mawili yana mada zake hapa jamvini, tumefundishana na kufafanuliana vizuri tu kuhusu mlango wa nane na mapooza... Ni vitu vinavyolandana kwa sehemu kubwa kwamba vyote havina positive...
10 Reactions
94 Replies
13K Views
Yaani wanakaa ( wanatega ) maeneo ya Lodge / Guest kisha wanakuangalia kama Mwanaume umeingia na Mkeo au Mchumba au wanaenda kwa Mhudumu wa zamu kama umeingia peke yako kisha kwa Unyenyekevu...
36 Reactions
103 Replies
15K Views
Huwa najiuliza kwanini hii tabia siku hizi imeenea sana kwa baadhi ya wadada. Wiki hii nilikuwa katika eneo ambalo ambalo huwa wanauza nguo za ndani za akina, nguo hizo ni kama vyupi, sidiria...
1 Reactions
323 Replies
110K Views
Wasalaam wanajamiiForums, Mkasa huu ama Kisa hiki ni cha kweli Na kimenikuta ninayeandika hapa. Nilikutana Na mpenzi kama wengine wanapokutana Na wapenzi wao popote. Tukapanga mipangi mingi sana...
99 Reactions
490 Replies
44K Views
Mchepuko wangu (pisi kali), amekuwa na tabia ya kuvaa nguo zangu pale anaponitembelea. Atavaa mashati yangu yale mazuri mazuri ya draft, na kupiga nayo misele mtaa kwa mtaa. Akiwa nyumbani...
1 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, Jamani kwa wale mnakula mbususu za high quality with heavy quantity, huwa mnatumia mbinu gani kuzi nasa, hizo mbususu? Maana wengine, kama mimi, tunaishia kula mbususu za...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Based on my true story! Mwaka 2014: Yeye: sikutaki halafu jifunze kubalance shobo, simaanishi wewe ni mbaya na huna mvuto, hapana, ila tu sijakupenda.(wakati huo anatoka na lecturer na kwao...
19 Reactions
97 Replies
8K Views
Hivi mrembo kama huyu unamuachaje halafu unaenda kwa yule daaah kweli nimeamini mapenzi huwa hayana definition. Daaah sijui huyu mwanamama kjl alimpa nini Yule mmakonde Kwangu mimi mpaka...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Katika nchi ya ahadi, kulikuwa na kijiji chenye watu wenye furaha sana kilichoitwa JamiiForums. Hawa watu walikuwa na upendo mkubwa sana kati yao, na hata kwa majirani. Siku moja wanakijiji...
14 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna ongezeko kubwa sana la talaka Kuna ongezeko kubwa sana la single mothers Kuna ongezeko kubwa sana la watoto wa kambo Kuna ongezeko kubwa sana la watoto wa mitaani Je, wakulaumiwa ni nani...
65 Reactions
261 Replies
19K Views
Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye...
69 Reactions
92 Replies
12K Views
Twende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mama wa mtoto 1, nimebahatika kukutana na mbaba ambaye yeye amedivorce na mke wake. Ila kadri navyozidi kuwa naye ndivyo kadri navyoshindwa kuendelea...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Ukiwa na mahusiano na mwanamke anayependa vitu vya anasa anasa, au anayekupiga mizinga mikubwa mikubwa mara kwa mara; mpe ujauzito ili kufidia zile gharama alizotumia. Kufanya hivyo, kutakupa...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Mapenzi hayanitesi sana siku hizi, lakini kiukweli warembo wanazidi kunikataa na sielewi ni kwanini. Huwa najiuliza wasichana huwa mnawaza nini kabla ya kumkubali Mwanaume, Tuweke mbali Pesa...
0 Reactions
4 Replies
594 Views
Mara nyingi ,Faith Macharia hukutana na wakati mgumu anapokutana na watu njiani, wengi hugeuka kumtazama tena. Hii hutokea kwa sababu ya jambo ambalo hawezi kuligeuza, kwamba yeye ni mwanamke ila...
4 Reactions
83 Replies
9K Views
Iko hivi, hili tukio limetokea hapa ninapoishi, jamaa akiwa amekaa zake ndani amepumzika na mihangaiko ya hapa na pale, mkewe na majirani wenzie wapo nje kibarazani wakipiga stori. Katika stori...
5 Reactions
62 Replies
5K Views
Nilitengeneza himaya yangu kwake nikaamini ndiye atakuwa mama watoto wangu badala yake mambo yamekuwa tofauti na nilivyotegemea. Kilichonipendeza ni tabia yake ambayo ilikuwa ya tofauti kidogo...
17 Reactions
78 Replies
3K Views
Back
Top Bottom