Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo. Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai...
10 Reactions
49 Replies
6K Views
Hadithi ya hii inatokana na maisha ya mwanamke asiyejua thamani yake na haki zake. Imagine mpaka Leo kuna wanawake wanaishi maisha ya mateso. Mwanamke ameachana na mume wake na kila mtu anaishi...
2 Reactions
11 Replies
893 Views
Najua hakuna aliyezaliwa peke ake kwenye hii dunia yenye kila aina ya watu. Tunakutana na wakorofi, wapole, wasumbufu, wacheshi, wakimya na hata wauaji. Kila uzuri na ubaya upo kila sehemu ya hii...
4 Reactions
7 Replies
6K Views
Women are not obligated to give every guy a chance. Just because a lot of men are so desperate that they'll take everything that has boobs doesn't mean women have to be like that too. Women don't...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza Nimefanya kautafiti kadogo toka mwaka Jana kupitia mademu zangu tofauti tofauti na karibia wote warembo Ila mpaka sasa nimebaki na wawili tu na hawa wamekua wakinipa...
61 Reactions
296 Replies
48K Views
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma. Sasa RASMI niliamua kuondoka zangu nakumbuka niliamka alfajiri Sana...
14 Reactions
110 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu; Kuna jambo linanipa tabu kidogo, kuna sister mgeni kanisani kwetu amekuja kuungana na ma sister wengine kuendeleza utume. Sasa kila nikikutana naye huwa kama ananipenda hivi...
10 Reactions
63 Replies
5K Views
Naamini kuna uzima kwa wana jamii. Je ni sahihi wazazi wa binti/mwanamke kudai kuwa mwanaume aliempa mimba aende kujitambulisha hata kama hana mpango wa kuoa? Au ni mbinu ya kulazimisha binti...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sio vizuri kuomba omba kwa mambo uliyoyapanga mwenyewe tena na tarehe unaijua ya tukio Ni wajibu kuchangia matatizo kama misiba, magonjwa ajali nk...kwa sababu hakuna mtu anapanga au hujiombea...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Salaam, Naomba kufahamishwa. Kwa wale polygamists mnapangaje ratiba za kushiriki ndoa na wenzi wenu? Je, ladha huwa ipoje kwa kila mke? Mnawezaje kuzuia ule wivu wa asili baina ya wake zenu...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Enzi hizo ndo najifunza kufukuzia mademu, wakati ule nikuwapa sikio Sana masela walionitangulia katika swala hilo Ila nilijikuta kila Demu ninayemtaka walisema hutomuweza Mara yule kicheche...
1 Reactions
8 Replies
955 Views
Ndugu zangu, Maisha hayajawahi kuwa fair hata kidogo, coz dunia nayo haipo fair kwetu. Wapo wenzetu kwa tofauti hii ya usawa, wamezaliwa na kukuta mambo yapo vizuri kuanzia kuvaa, kula, kulala na...
19 Reactions
156 Replies
10K Views
Kwanini unakuta baadhi ya wadada tunahasira sana sio wavumiliaji,? Tunawasiwasi wa kuachwa na kuattact wapenzi wetu tukihisi kwamba wanachepuka au kutuacha? Hivi tatizo nini??
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna mwanamke, nilihitaji kumuoa tukakubaliana afya tukapima tuko fresh nikiwa ktk harakati za kutoa mahari nikatonywa alishawahi kuolewa na amezalishwa watoto watatu, Sasa hapo kichwa kinaniuma...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kumekuwa na dhana potofu sana pale mtu anaposumbuliwa na mapenzi watu wanamwambia tafuta ela wanashindwa kuelewa mambo yafuatayo. Kuna utofauti wa sex na love, ukiwa na ela itakupa uhakika wa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo; Alikuwa pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia binti mwenyewe ananitii kila nnalomwambia...
41 Reactions
582 Replies
34K Views
Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi. Jumapili iliyopita nilifanikiwa...
18 Reactions
166 Replies
14K Views
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu, Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa...
13 Reactions
88 Replies
7K Views
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe...
13 Reactions
154 Replies
18K Views
Back
Top Bottom