Unapomsaidia mtu pasipo kutarijia feedback yoyote kutoka kwake ni uncondioned love/agape love, mfano unapomsomesha mchumba wako bila kutarajia kuwa baadae utamuoa, Endapo ataleta pingamizi...
Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?
Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka...
Habari wakuu hii ni thread ambayo itakuwa inazungumzia mambo yanayohusu watu wote wenye jinsia ya kiume, hasahasa kipindi cha balehe mpaka utu uzima kuna changamoto mbalimbali vijana huzipitia...
Leo nimekumbuka mkasa huu nikawa nacheka sana. Ingawa imepita miaka karibia mitano hivi lakini ntajitahidi kusimulia tukio jinsi lilivokua pale KGB ilikupokumbana na ujasusi wa CIA. Moto uliwaka...
Mume wangu ashanipiga matukio lakini ile kufikishwwa kileleni jamani ni adimu sijawahi pata popote. Kwa hiyo najikuta mwaka wa 5 huu.
Usiwaone watu wapo kwenye mahusihano mabaya mbele ya macho...
Kwenye wimbo wa Celine Dion
𝐢𝐭'𝐬 𝐚𝐥𝐥 𝐜𝐨𝐦𝐢𝐧𝐠 𝐛𝐚𝐜𝐤 𝐭𝐨 𝐦𝐞 𝐧𝐨𝐰
Celine anaanza kukumbuka moments walizo share na Ex wake, anakumbuka hisia alizokuwa nazo juu ya mtu wake[emoji7]
Celine tena...
Nataka kuhuliza bro’s
Kuna mwanamke ambaye nilikuwa naye kwenye relationship huyo mwanamke tulipendana saana mimi na yeye mpaka tukatambulishana kwa wazazi
Kwao mimi walinikubali ila kwetu...
Why Should I feel Bad?
[Story12]Once, there was this guy, who was in love with a girl. She wasn’t the most beautiful and gorgeous but for him, she was everything. He used to dream about her...
Habar Wana Jf.
Dada zangu wanaume hatupendi mtufanye kama mama zetu, hatupendi kuongozwa/ kusimamiwa, haya ndio makosa ambayo wanawake wengi wanayafanya katika ndoa zao.
Mwanamke ukiwa na Tabia...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Maake kuna jibaba huwa linafaulishwa mida ya saa 2 asubuhi kwenye chumba cha mwanamke ambaye mume huondoka kwenda kazini saa 12 asubuhi!
Leo mume karudi nyumbani saa 4...
Swala la kuwa mama wa kambo kwa wale wanawake tunaopenda wahenga kwa kweli huwa haliepukiki
Kusema kweli watoto wa kiume wana raha sana labda mwanamke uwe na shida zako binafsi changamoto ni...
Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa.
Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe...
S𝐡𝐚𝐤𝐢𝐫𝐚 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐚𝐮𝐭𝐢𝐟𝐮𝐥, 𝐚𝐧𝐚𝐡𝐞𝐥𝐚, 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐚𝐫𝐮𝐟𝐮, 𝐚𝐧𝐚𝐢𝐦𝐛𝐚, 𝐤𝐚𝐦𝐳𝐚𝐥𝐢𝐚 𝐏𝐢𝐠𝐮𝐞 𝐰𝐚𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚2, 𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 11 𝐩𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚, walikutana southAfrica 2010 baada ya Shakira kutumbuiza wimbo maarufu wa mpira 𝐰𝐚𝐤𝐚𝐰𝐚𝐤𝐚, katika...
Nilijaribugi kuoa mwanamke wa kizungu hakika wanajua mapenzi hawa viumbe
[emoji39] SIFA ZA WANAWAKE WA KIZUNGU[emoji39]
Wapo real sana sio watu wa drama
Wakikupenda wamependa kweli yani, hawana...
Rangi ya ngozi yake ni nyeusi, urefu wa kimo tunaendana japo nimemzidi kidogo. Napenda sauti yake anaponiita mpenzi wangu Errick.
Ananishauri sana kuhusu maisha na pale ninapo mshauri kuhusu...
Uzi maalumu kwa ambao washawahi salitiwa na mke/mume au mpenzi
Watoe shuhuda ilikuaje?
Walijuaje kama ka cheat?
Waliona viashiria gani?
Je baada ya kuhoji je mke/mume/ mpenzi alikubali...
Sio tatizo kumpongeza Mtu alivyovaa na kupendeza, lakini ni vipi unampongeza Mtu kwa kuwa ni Mzuri au umbile lake zuri?...sio tatizo kumpongeza Mtu aliyefanya mazoezi na kutengeneza muonekano wa...
Salaam wakuu,
Kwanza nitoe angalizo kuwa mada yangu hailengi kuwaondolea heshima wanawake kwani umuhimu wao kwenye jamii zetu umetukuka.
Nimeona niwashirikishe kisa kufupi Cha mwanamke huyu...
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu.
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo...
Ipo hivi na pisi mbili. Mmoja ni mzuri tako lipo and very respectful. Huyu mwingine sio mzuri anatako ila sasa ni mtu wa viwanja na expensive things.
Na worse ni wa show off kujipost kila mda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.