Kuna Huu msemo Kuwa "the miserable love company" Miserable Ni Hali ya Kuwa Na huzuni, masononeko Na ugumu wa Maisha" Kwa kifupi Misery Ni kinyume cha furaha.
Sasa company Ni Ile Hali ya Kuwa Na...
Mwandishi wa BBC John Solombi ameripoti kwamba utafiti mpya unaonyesha asilimia 27 ya wanawawake Tanzania wanafanya ngono kinyume na maumbile.
Mtafiti Mwanasayansi Irene Mremi kutoka Taasisi...
Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu.
Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu...
Wana bodi, heshima kwenu.
Kadri muda unavyozidi kwendaa ndio nazidi kuchanganyikiwa, sielewi.. moja haikai, mbili haikai.
Niko kwenye mahusiano na mabinti wawili kwa muda miaka 3+ sasa.. Mmoja...
Aah Salamu kitu gani bana! Iko hivi, nipo Dar hapa , nina mpenzi yupo Mkoa wa Mara border,
Huyu manzi sasa nina mwezi nae tangu tujuane. Lakini kabla sijakutana nae, nilikua na manzi mwingine...
Habari zenu humu ndani.
Baada ya kunyanduana Kwa muda sasa tukapima kila kitu ikiwemo Afya ya akili lakini mwenzangu kichwa ya mwenzangu ina hitilafu.
Najipanga namna ya kumkwepa lakini...
Wakuu hizi ndoa hizi zina mambo!
Iko hivi,
Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu...
Wakati bado tunatafakari hotoba ya bajeti kutoka kwa Waziri wa Fedha na Mipango ebu tusomeni hii kidogo tujue Mambo ya huko duniani
Imepita kama mwezi hivi kuna video ilikiwa ina trend kwenye...
Unaowa mwanamke mzuri unamwaga pesa kumshawishi, unampendezesha, unamfungulia biashara na kumweka kwenye nyumba ya kifahari, unajenga hadi ukweni kutafuta sifa
Alafu unakuta huyo mwanamke ana...
Habari za adhuhuri wapendwa.
Leo napenda kushare nanyi jambo moja.
Kwa kawaida wanaume wengi linapokuja suala la kutafuta mwenzi wa maisha huwa tunapenda wanawake wapole na wastaarabu sana...
Ndugu zangu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza ni Kweli
Mimi ni mmoja ya watu ambao walikuwa hawaamini saana ushirikana kama upo katika mapenzi
Ukweli ni kwamba ushirikana upo Tena saana...
Kuna jamaa yangu mmoja alikuja kunipa changamoto yake kwenye mahusiano; anasema kuna mrembo mmoja amempenda, na huyo mrembo anafanya kazi za ndani kwa tajiri mmoja.
Huyo rafiki yangu alimfahamu...
Habari wana JamiiForums!
Poleni na hongereni kwa utafutaji wenu, Mungu abariki kazi za mikono yenu.
Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naomba usome uzi wangu, na mwisho unaweza nishauri...
Ebu tuache kubuni vitu visivyokuwepo, ivi ni kweli kabisa huyu mdada mzuri kiasi hiki anaishi?. Basi kama ni kweli maisha anayopitia niyakero sana maana kila hatua mbili Gari zitagongana kila mtu...
Ni kisa Cha ukweli kilicho mkuta jamaa yangu.
Yalikua ni malalamiko tu kila siku akisema mkewe hana heshima yaani hamuheshimu kabisa.
Pamoja na kuto kuwa na heshima alikua na kauli chafu Sana...
KWA WANAWAKE WOTE MNAOVUNJA NDOA ZA WANAWAKE WENZENU.
Sio Wachungaji wote wanaweza kuhubiri hili...soma hadi Mwisho.
[emoji625] Ladies, ni hatari sana kuchumbiana na mwanaume ambaye unajua...
Wazee hasa wa mjini daslamu hebu mnisaidie....huyu mwanamke nimemuona yuko hapo ubungo plaza ground floor kwenye bank moja inaitwa sijui akiba au DCB(kama nimekosea mtanirekebisha)...
Huyu...
Nasisitiza hili kwa wanawake wenzangu fungueni hayo masikio mpate kusikia
Kabla hujaolewa na kuingia kwenye ndoa, hakikisha akili, mienendo, moyo na nafsi yako vimekomaa kabisa, umekuwa mwanamke...
Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda!
Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.